rigathi gachagua

Geoffrey Rigathi Gachagua (born 1965) is a Kenyan politician who is serving as the 12th and current deputy president of Kenya since September 2022. He previously served in multiple capacities in public administration such as Assistant Secretary in the Ministry of Home Affairs & National Heritage, Personal Assistant to the Head of the Public Service, Personal Assistant to Uhuru Kenyatta, who was then Minister for Local Government and as a District Officer.
He was elected as the Member of Parliament for Mathira Constituency, Nyeri County from 2017 to 2022 under the Jubilee Party. Gachagua ran for the Deputy President in the 2022 Kenyan General Election on a joint ticket with William Ruto's running mate under the United Democratic Alliance party, winning with just over 50% of the votes.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    Wakenya Wakinukisha tena, Waimba "RUTO MUST GO" Katika Kituo cha Bomas ya Kenya katika Sakata la Kufukuzwa kwa Naibu Rais Rigathi Gachagua

    Wakenya walikusanyika kwa wingi na kuanza kuimba kwa nguvu "RUTO MUST GO." Mkutano huo ulilenga kujadili kufukuzwa kwa Naibu Rais Rigathi Gachagua, na umeshuhudia wananchi wakionesha hasira na kutoridhishwa na uongozi wa sasa. Cheche kali za kisiasa na wakati mwingine vurugu zilishuhudiwa huku...
  2. W

    Wananchi kushirikishwa kumtoa madarakani Naibu Rais wa Kenya

    Spika wa Bunge la Kitaifa la Kenya, Moses Wetang'ula ametangaza ushiriki wa wananchi katika hoja ya kumng'oa madarakani Naibu Rais, Rigathi Gachagua Oktoba 4, 2024 kutokana na tuhuma za matumizi mabaya ya Ofisi Mchakato huo utafanyika katika kaunti zote 47 na Wetang'ula amebainisha kuwa...
  3. Tlaatlaah

    Nani kurithi kiti cha Naibu wa Rais Kenya baada ya Rigathi Gachagua kubanduliwa?

    Endapo muswada wa kumbandua Rigadhi Gachagua naibu wa Rais wa sasa utafanikiwa, unadani ni yupi kati ya hawa wanaotajwa, ana nafasi kubwa zaidi kukwaa nafasi hiyo muhimu serikalini? 1. Anne Mumbi Waiguru, governor wa county ya kirinyaga na ambae anaungwa mkono na mke wa kinara wa odm mama Ida...
  4. JanguKamaJangu

    Corruption, bullying, undermining Ruto: 10 reasons why MPs want DP Gachagua gone

    Corruption, bullying, undermining Ruto; 10 reasons why MPs want DP Gachagua gone Deputy President Rigathi Gachagua will face his moment of truth on Tuesday afternoon when the impeachment motion will be tabled before Parliament. In a document seen by Citizen Digital, Kibwezi West MP Eckomas...
  5. Tlaatlaah

    Wabunge Kenya waomba Usalama wa Rais kuimarishwa na kuongezwa ulinzi kwa Wabunge zaidi ya 290 waliounga mkono hoja ya kuondolewa Naibu wa Rais Kenya

    Hayo yameelezwa na wabunge baada ya hoja maalumu ya kumbandua naibu wa Rigathi Gachagua kuwasilishwa bungeni mchana wa leo Oct 01.2024. Kiongoza wa wachache bungeni Mh.Junet Mohamed alitoa angalizo la kiusalama mbele ya spika na kwamba Inspekta Generali mpya wa polisi anawajibika kuwahakikisha...
  6. Tlaatlaah

    Rigathi Gachagua adinda kujiuzulu, asema bila yeye Ruto asingeingia Ikulu

    Naibu wa Rais wa Kenya Rigathi Gachagua, amejigamba kwa kudai kwamba yeye ndie pekee aliesababisha na kuchangia pakubwa Rais Dr. William Ruto akashinda uchaguzi wa 2022, la si hivyo bila jina lake kuwako kwenye karatasi za kupigia kura, kamwe asingeshinda urais wa Jamuhiri ya Kenya wakati huo...
  7. Tlaatlaah

    Naibu Rais wa Kenya ana machaguo matatu tu ili abaki kwenye medani za siasa nchini humo

    Chaguo la kwanza, Ni ama ajiuzulu nafasi yake kwa hiyari yake mwenyewe, kuepuka fedheha ya kubaduliwa na bunge kutoka kwenye wadhifa wa naibu Rais kutokana na tuhuma za kukiuka katiba zinazomkabili. Chaguo la pili, Awe tu muungwana, ajishushe chini kiungwana na aombe radhi kwa Rais boss wake...
  8. A

    Ni busara DP Gachagua kunyamaza

    Naibu Rais Gachagua ni vyema akadhibitiwa kabla hajatamka neno lolote Kwa wakati huu. Maana jamaa linamtoka lolote linalomjia kinywani. Kenya Kwa sasa inahitaji utulivu na uponyaji
  9. J

    Rigathi Gachagua ailaumu Idara ya Usalama wa Taifa ya Kenya kwa kumpa Rais Ruto taarifa zisizo sahihi

    Gachagua amevilaumu Vyombo vya Usalama Kwa kushindwa kumpa taarifa sahihi Rais Ruto na hatimaye kusababisha Vifo vya Watoto Wasio na hatia Gachagua amesema Hata Polisi wamelalamika hawakupewa taarifa na idara ya Usalama wa Taifa mapema Aidha Gachagua amesema Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa la...
  10. BARD AI

    Naibu Rais Gachagua akosoa Magavana wanaoongea na Wanahabari badala ya kusadia waathirika wa Mafuriko

    Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Chagua amewakosoa Magavana wa maeneo yaliyokumbwa na Mafuriko nchini humo na kueleza kuwa hajaridhishwa na hatua wanazochukua ili kukabiliana na janga hilo lililoua zaidi ya Watu 80. Gachagua amesema Magavana wengi wamekuwa wakionekana tu kuongea na Vyombo vya...
  11. M

    Rigathi Gachagua huwa akihitubia anachekesha sana

    Wakuu, Leo Ikulu ya Kenya imeandaa iftar sasa kama kawaida hotuba za viongozi, Riggy G baada ya salamu kasema kwanza amefurahi kufika kwenye sherehe ile, yaani iftar kwake ni sherehe tayari. Ukisikia anasema hii mzee ya maandamano ujue anamsema Raila. Ukisikia anasema hii mutu ya cerelac ujue...
  12. Kenyan

    Naibu wa Rais Rigathi Gachagua awahi ofisini saa 11 alfajiri kwa siku ya 3 mfululizo

    Naibu wa Rais Rigathi Gachagua leo kwa mara nyingine tena alifika ofisini kwake, Harambee House, saa kumi na moja alfajiri na kama ilivyo ada alichapisha picha kwenye ukurasa wake wa Twitter akitoa Rai kwa wananchi kupambana katika kazi zao za Kila siku. Aliandika: "Kenya ni taifa la...
  13. TODAYS

    Gachagua anatoa kauli kama za Hayati Magufuli. Ndiye ataleta machafuko Kenya

    Kauli kama hii ni mwiba mkali sana kwa muzee RAO ambaye anajinasibisha kuwa kinara na bingwa wa mabadiriko ya siasa za Kenya. Jamaa anamponda Odinga na Uhuru na kusema waende wakafanya bargain amendment wa walichopora na siyo kutaka hand shake! Taarifa kwenye vyombo vya habari vya Kimataifa...
  14. JanguKamaJangu

    Gachagua: Nitahakikisha Ruto na Odinga hawapeani mikono

    Akizungumza katika mahojiano na waandishi wa habari, Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua amesema “Hata (Raila Odinga) akienda mtaani kufanya ghasia akiamini Rais (William Ruto) atamwalika kwa mpango wa kupeana mkono, hilo halitafanyika.” Ameongeza “Ikitokea hivyo, nitakuwa nikizurura maeneo...
  15. Lady Whistledown

    Gachagua: Tupeni Miezi 3, Tutatatua Mgogoro wa Kiuchumi

    Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua amesema Serikali ya Awamu ya 5 imerithi Uchumi mbaya kutoka katika awamu iliyopita na kuwataka Wananchi kuwa na subira maana Ndani ya Siku 90 hadi 100 Uchumi utaimarika Amesema, "Hali ni mbaya sana, hakuna pesa katika Hazina, na kidogo tunachokusanya...
  16. B

    Naibu Rais Mh Rigathi Gachagua: Tunaingia ofisini Kenya ikiwa na serikali imefilisika kifedha na kiuchumi

    13 September 2022 Nairobi, Kenya HOTUBA MARA BAADA YA KUAPISHWA NAIBU RAIS MH. RIGATHI GACHAGUA Naibu wa Rais wa Kenya Mh. Geoffrey Rigathi Gachagua amewaelezea raia wa nchi hii ya Kenya kuwa hali si hali pamoja ya kuwa ni nchi inayohesabika ina uchumi mkubwa na utajiri katika eneo hili la...
  17. Kumbusho Dawson Kagine

    Naibu wa Rais Gachagua ashikwa na kiwewe wakati wa kuapishwa

    Video ni Naibu wa Rais wa Kenya Mh. Rigath Gachagua mapema siku ya leo amelazimika kurudia tena kuapa baada ya kushikwa na kiwewe hivyo kukosea kuapa. Unadhani ni Kwa Nini Naibu wa Rais wa Kenya Mh. Rigathi alishikwa na kiwewe?. Disemba 9, 2020 mbele ya Rais Magufuli Naibu Waziri mteule wa...
  18. M

    Nimemfahamu Rigathi Gachagua majuzi tu - hivi alikuwa wapi?

    Mzuka wanajamvi! Huyu makamu wa Rais mtarajiwa wa Kenya Rigath Gachagua Mbona hakuwa anasikika na kujilikana kwa saanaa? Inaonekana ni mwanasiasa mkimya Sana na anafanya kazi na mambo yake kwa vitendo siyo blah blah blah. Mimi mara yangu ya kwanza kumfaham ni Ruto alipomchagua kuwa mgombea...
Back
Top Bottom