ripoti ya cag

  1. Ripoti ya CAG yaibua madudu ikiwemo watoto wachanga na ambao hawajazakiwa kupokea Kshs 31 Milioni (Tshs Milioni 628) kutoka Serikalini

    Ripoti hii ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu huko nchini Kenya imebaini dosari kubwa za kifedha katika ajenda ya Rais Wiilliam Ruto ya "Hustlers Fund" Kwa mujibu wa ripoti ya mwaka wa fedha 2023/2024, Hustler Fund imetoa hadi KSh 31 milioni (Tshs Milioni 628) kwa jumla ya wateja 253,717...
  2. Mnaopata kiungulia kila Ripoti ya CAG ikitolewa oneni madudu yanayotokea kwenye nchi za wazungu

    Wakati Tanzania ikizozana kuhusu uwajibikaji wa matumizi ya fedha za umma, hebu tutazame hali katika mataifa yanayodai kuwa vinara wa uwazi na utawala bora. Ripoti za hivi karibuni kutoka Marekani zinaonyesha kuwa Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) inashindwa kupitisha ukaguzi wa hesabu...
  3. SoC04 Mabadiliko ya kufanyika ili kuchochea uwajibikaji katika ubadhirifu kwenye ripoti za CAG ili kujenga Tanzania Tuitakayo

    Utangulizi Ripoti za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) zimekuwa zikionyesha matukio mbalimbali ya ubadhirifu wa fedha za umma na utawala mbovu katika taasisi za serikali. Hali hii inazorotesha maendeleo na kuathiri ustawi wa wananchi. Ili kujenga “Tanzania Tuitakayo,” ni...
  4. SoC04 Hatua gani zichukuliwe kwa ubadhirifu unaobainishwa kwenye ripoti ya CAG ili kuchochea uwajibikaji?

    Nini maana ya UBADHIRIFU? Ubadhirifu ni hali ya kukosa uwezo wa kujizuia au kujidhibiti, katika matumizi ya Fedha au Rasilimali mbalimbali, na hii hutokea kwa wale waliopewa mamlaka za kuongoza Serikali ama Taasisi mbalimbali katika jamii zetu. Je, nini kifanyike ili kuchochea Uwajibikaji dhidi...
  5. Usanii wa CCM: Badala ya kushughulikia Ripoti ya CAG yenye utatuzi kisheria mnatumia mikutano kudhalilisha halafu imeisha

    Hakika huu ni usanii mkubwa na very calculated. CCM ambayo ndio ina dhamana ya kuongoza serikali inatumia ujinga wetu kutuhadaa ili tuone wanastahili kuendelea kushika dhamana hiyo pamoja na madudu yao ya kutisha. Kwa mujibu wa sheria Mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali CAG ni mtu...
  6. B

    Hoja: Sababu zipi zinaipeleka ripoti ya CAG Bungeni ikiwa hakuna linalofanyika?

    Ikiwa Bunge linajadili taarifa ya Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali (CAG), kisha hakuna azimio linalotekelezwa? Ni sababu zipi kisheria na Kikatiba zinaruhusu ripoti hiyo kusomwa Bungeni? Je Bunge linapitisha Bajeti wasiyoweza kusimamia na kuamua matumizi yake au lina kazi gani haswa...
  7. K

    Watu Wamepoteza Mwamko wa Kusikiliza Ripoti ya CAG

    Ni takribani miaka mitatu sasa CAG amekuwa akitoa taarifa zilizojaa madudu ya ufisadi na rushwa pasi na mamlaka ikiwemo serikali kuchukua hatua yeyeote kukabiliana na tuhuma hizo kwa kipindi chote hicho. Imefikia hatua sasa wananchi wamepoteza kabisa imani ya kuendelea kusikiliza ripoti...
  8. Ripoti ya CAG, Kazi Inaendelea ya Kufuja Fedha za Umma

    Maeneo kumi (10) muhimu katika Uchambuzi wa Ripoti ya CAG mwaka 2022/23. Kama ambavyo tumekuwa tukifanya kila mwaka, uchambuzi wetu mwaka huu utajikita kwenye mambo kumi (10) ambayo tunaona ni muhimu Watanzania kuyatambua na tutayatolea mapendekezo ili yaweze kuchukuliwa hatua. Katika...
  9. Act Wazalendo inafanya uchambuzi wa ripoti ya CAG

    Act Wazalendo inafanya uchambuzi wa ripoti ya CAG https://youtube.com/live/NUZV2KCIntw?si=tEvs29-aBxTF6TT9
  10. Ripoti ya CAG. Tunaishia kupiga kelele na hatuna la kuwafanya. Kuna ukweli...

    Kibonzo cha msanii Massoud Kipanya kinafumbua fumbo lisilojadilika. Nani mwenye uthubutu? Hata Rais mwenyewe anaonekana kuvuta miguu kwenye kuwachukulia hatua wabadhirifu waliotajwa kuhusika na ukwapuaji wa fedha za umma. Tutafakari pamoja..... Je, tunajadili kama wananchi kwa lengo gani...
  11. Kuna hasara mashirika ya umma kwa kuwa hakuna uwajibikaji

    Kitu kikubwa nilichogundua ni kuwa, Namna pekee ya Kuyaokoa mashirika ya serikali yanayo andamwa na hasara kubwa ni namna ya kupata waendeshaji wawajibikaji. Imekuwa ni kawaida sana Kipindi hiki cha Uongozi wa Rais Samia Watu kubadilishiwa vitengo tu badala ya kuwajibishwa. Utakuta Kiongozi...
  12. Kila ripoti ya CAG inapotolewa ubadhirifu wa pesa ni mkubwa lakini pesa hizo mtaani na kwenye mzunguko hakuna

    Madudu na mawashawasha ya ripoti za CAG nyingi tunasikia ubazilifu mkubwa kila kona pesa ambazo zimetumika vibaya ila cha kushangaza huku mtaani hakuna mwenye pesa kwa wale mimi na wewe. Kipindi cha jakaya angalau tumeona pesa ilikuwepo na maisha kwenye mzunguko ukilinganisha JPM na Samia...
  13. Ushauri: Ripoti ya CAG isirudiwe tena kusomwa hadharani, inatia hasira na kuleta manung'uniko, wanaotuhumiwa hawajawahi kukamatwa

    Ibaki kuwa siri ya Rais na watu wake baasi, maana kiukweli pamoja na madudu yote yanayoanikwa lakini hakuna hata mmoja aliyechukuliwa hatua. Zaidi ya kuleta manung'uniko na hasira kwa wananchi, hakuna lolote linalofanyika , kuna haja gani sasa ya kutupotezea muda kuangalia na kusikiliza ripoti...
  14. Ripoti ya Ukaguzi wa CAG kwa Mwaka 2022/23 kutua kwa Rais wiki hii

    MKUTANO wa Bunge la Bajeti umepangwa kufanyika kuanzia Jumanne ya juma lijalo. Pamoja na mambo mengine, ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa Mwaka 2022/23 itawasilishwa kwa mujibu wa sheria. Ibara ya 143 ya...
  15. Wakurugenzi wa Halmashauri 2 wasimamishwa kazi kwa kushindwa kusimamia Miradi ya Maendeleo

  16. Azim Dewji: Siku za Nyuma ripoti ya CAG ilikuwa Siri. Wanaochezea pesa za miradi watungiwe Sheria kali

    Mfanyabiashara maarufu nchini, Mzee Azim Dewji amezungumza na vyombo vya habari kumpongeza Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuruhusu mjadala wa ripoti ya CAG unaoendelea bungeni kuwa mjadala wa wazi, amesema uwazi huo utasaisia wezi wa pesa za miradi kuacha tabia hiyo Kwa upande mwingine...
  17. Ushauri kwa Rais Samia: Kwenye mabadiliko ya Cabinet kufuatia Ripoti ya CAG, tumia wazoefu; Fedha mpe Dkt. Kimei, Biashara Uwekezaji mpe Deo Mwanyika

    Huu ni Ushauri wa Bure kwa Rais Samia kwenye mabadiliko tarajiwa ya cabinet kufuatia Ripoti ya CAG, namshauri Rais Samia, asibabaike sana na kuangalia ma vyeti ya usomi kwenye uteuzi wa cabinet yake, atumie watu wenye uzoefu, mfano Waziri wa Fedha wa sasa Dr. Mwigulu Mnchemba ni msomi mzuri wa...
  18. Ripoti ya CAG: Bunge limehitimisha mjadala leo, nini kitafuata? Waliohusika na ufisadi na ubadhirifu watafanywaje?

    Kwa siku kadhaa, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Spika Dkt. Tulia Ackson limejadili Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG). Kimsingi, Wabunge wengi wameuona, wameusemea na kuukaripia ufisadi na ubadhirifu mkubwa ulioainishwa kwenye Ripoti ya CAG. Wabunge...
  19. Spika Tulia: Wabunge hawasemi uongo, Ripoti ya CAG inaonesha kuna ubadhirifu

    Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amesema kutokana na mjadala wa Wabunge kuonesha Halmashauri nyingi zina Ubadhirifu mkubwa, anapata wakati mgumu kusikia kauli za Mawaziri wakisema Wabunge wanasema uongo wakati taarifa za Kamati zinaonesha kuna ubadhirifu katika Halmashauri hizo. Akitolea...
  20. R

    Luhaga Mpina: Hakuna hatua mahususi zilizochukuliwa mpaka sasa toka Ripoti ya CAG itolewe Machi 2023

    Luhanga Mpina akitoa mchango wake amesema, amesoma taarifa ya CAG mwaka 2021, amesoma majumuisho ya majibu ya serikali na mpango wa utekelezaji wa taarifa ya CAG, hakuna sehemu kwenye majumuisho ya mpango wa utekelezaji wa taarifa ya CAG inayoonesha hatua mahususi zilizochukuliwa mpaka sasa toka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…