Tukiweka itikadi pembeni, kiukweli pale bungeni simuoni mtu mwenye uwezo wa kuichambua ripoti ya CAG kama walivyokuwa Zitto Kabwe, J J Mnyika, James Mbatia na Tundu Lissu.
Kuwa mwanasiasa mzuri ni jambo moja lakini kuwa mwanasiasa " mahiri" ni jambo lingine kabisa.
Hao niliowataja unapofika...
Bunge la Bajeti ,mkutano wa 19 kikao cha 38 limeendelea kujadili hoja ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za serikali za Mitaa[LAAC] kuhusu ripoti ya Mkaguzi na mdhibiti mkuu wa Hesabu za Serikali[CAG] huku serikali ikishauriwa kuanzisha chuo cha Wizi ili kukabiliana na ubadhilifu wa mali...
Zitto aibua mazito ripoti ya CAG
• Matrilioni yatumika ‘juu kwa juu’
• Serikali hoi kwa madeni
• Aifananisha na mchana
• Ahofia ‘EPA’ nyingine BoT
SERIKALI ya Tanzania imevunja Katiba kwa kutumia kiasi cha shilingi trilioni 1.7 bila ya kupitia Mfuko Mkuu ambao hukaguliwa na Ofisi ya Mdhibiti...
Hizi jumuiya za CCM yaani UWT, UVCCM na Wazazi zimekuwa zikihusishwa na ufisadi unaokichafua chama mara kwa mara.
Last year ilikuwa UVCCM ambapo CAG Prof Assad alifoka sana leo ten Jumuiya ya wazazi imerudia yale yale na kukemewa vikali na Kichere.
Kama vipi hizi Jumuiya zivunjiliwe mbali ili...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli anakabidhiwa Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kwa mwaka 2018/2019 inayowasilishwa na Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa Hesabu za Seriakali (CAG) Charles Kichere.
Aidha Mhe. Rais atapokea Ripoti ya Taasisi ya Kuzuia na...
Shirika la Ndege Air Tanzania limejitahidi kupunguza hasara kutoka TZS 15b mwaka 2017 mpaka TZS 10b mwaka 2018. Hata hivyo Shirika la ATCL kiuhalisia limefilisika kwani Madeni yake yamezidi Mali zake kwa TZS 177b mwaka 2018 kutoka TZS 173b mwaka 2017.
Chanzo: CAG Audit Report
Chanzo: Twitter
Wakuu,
Mnaweza kuipakua ripoti kamili hapa:
http://www.nao.go.tz/?p=2077
Lakini, endapo tovuti itakuwa na shida basi naambatanisha hapa mafaili yote
NB: Ripoti imesainiwa na Prof. Assad
Kwa ufupi...
BUNGENI Ofisi ya CAG imetisha mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake jijini Dodoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.