ripoti ya cag

  1. Roving Journalist

    Rais Mwinyi anazungumzia Ripoti ya CAG iliyosababisha Mkurugenzi wa ZAECA ajiuzulu

    RAIS wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt Hussein Mwinyi, leo Septemba 05, amezungumza na wanahabari kuhusiana na masuala mbalimbali ikiwemo Ripoti ya CAG ya Mwaka 2021. RAIS MWINYI: NAANZA ZIARA ZA KUSHTUKIZA TAASISI ZA UMMA Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ameahidi...
  2. BARD AI

    Ripoti ya CAG Zanzibar yaondoka na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi (ZAECA)

    Taarifa ya Ikulu imethibitisha kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amekubali barua ya kujiuzulu kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi (ZAECA), Ahmed Khamis Makarani. Hatua inakuja kufuatia maelekezo ya Rais Mwinyi...
  3. figganigga

    Ripoti ya CAG inaonesha ACT WAZALENDO wanaongoza kwa Ufisadi Zanzibar. Allah Wasaidie Wazanzibar

    Salaam Wakuu, Zitto Kabwe na Chama chake cha ACT WAZALENDO, kimeshindwa kujitofautisha na CCM baadaya Ufisadi mkubwa kutokea kwenye Wizara Wanazoongoza. Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK), waligawana Madaraka na Vyeo huko Zanzibar. Mfano: Nassoro Mazrui ambaye ni Naibu Katibu mkuu wa Chama...
  4. beth

    Kinana: Serikali iwachukulie hatua waliotajwa Ripoti za CAG

    Makamu Mwenyekiti wa CCM, Abdulrahman Kinana amesema ni wakati wa Serikali kuchukua hatua dhidi ya watu waliokutwa wameenda kinyume na maadili katika Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Amesema, "CAG hazushi, anafanya kazi zake kitaaluma. Katika Ripoti zake anaeleza kasoro...
  5. Replica

    Waziri Ndalichako: Mifuko ya Hifadhi ya Jamii ni Himilivu. Agoma kupokea taarifa kuhusu ripoti ya CAG

    Leo waziri wa nchi, ofisi ya waziri mkuu, Kazi, Ajira na wenye ulemavu akiwa Bungeni amekanusha mifuko ya hifadhi ya Jamii kutokuwa himilivu. Alipohojiwa na Esther Bulaya juu ya ripoti ya CAG kusema vinginevyo, ameendelea kushikilia msimamo wake kwa madai ripoti hiyo inaishia June 2021. Waziri...
  6. Stroke

    Ripoti ya CAG kwa mwaka wa fedha 2025/2026 au 2030/2031 itaonesha ubadhirifu wa awamu ya sita

    Kwa namna siasa zetu zilivyo tutarajie kwamba . Kama Samia atapita 2025 basi mambo yatabakia hivi hivi nikimaanisha kwamba ripoti ya fedha kwa mwaka 2025/2026 ya CAG itakua safi sana. Ila kama mambo yakiwa tofauti basi isikilizie kwani lazima itaukandia mno awamu ya sita. Lakini kwa uhakika...
  7. J

    Askofu Niwemugizi: Ripoti ya CAG imedhihirisha uongo wa watawala

    Askofu wa Jimbo katoliki la Rulenge-Ngara, mhashamu Severine Niwemugizi amesema ripiti ya hivi karibuni ya CAG imedhihirisha uongo wa watawala. Katika salaam zake za Pasaka, Askofu Niwemugizi amesema waumini wajifunze kuwa wakweli na kuepuka uongo kama Yesu alivyokubali kufa msalabani kwa...
  8. J

    Kubenea achafuliwa baada ya kusema vibaya awamu ya 5 ripoti ya CAG

    Baada ya Gazeti la Raia Mwema ambalo moja ya wamiliki na waandishi wake ni Said Kubenea kuandika Wizi Mkubwa Awamu ya 5, Wapo watu hawakufurahishwa na habari hiyo na kumchafua kiongozi huyo na ku edit vichwa vya habari, ambapo amesema atawatafuatilia na kuwafungulia mashtaka
  9. B

    Ripoti ya CAG Ina mapungufu makubwa ya kimantiki; "non-compliance" imetumika kama ubadhirifu kufurahisha umma

    Watanzania wengi wanaweza kujiuliza kwanini riport ya CAG Ina madudu mengi lakini Mhe. Rais na serikali Kwa ujumla awachukui hatua? Wanajiuliza awamu ya sita inafumbia macho wizi na ubadhirifu tofauti na awamu ya Tano? Lakini wapo wanaohoji kama madudu hayayamefanyika wakati wa JPM je mbona...
  10. Idugunde

    Wanachadema ripoti ya CAG hamuioni? Mbona hatusikii mkinanga juu ufisadi kama ilivyokuwa huko nyuma?

    Mlipiga sana kelele miaka ya nyuma baada ya ripoti ya CAG kuwa inaleta tashwishwi juu ya ufisadi kufanyika. Mlikuwa mnapaza sauti na kupayuka kuwa kuna upigaji mkubwa, hasara za ATCL na matumizi mabaya ya pesa za umma. Swali, mbona sasa hivi mpo kimya juu ya kuchambua na kupiga kelele juu ya...
  11. K

    Ripoti ya CAG hati nzuri CCM, ACT-Wazalendo na CHADEMA

    Inasikitisha wakati mwingine kuona watu wengi wanapenda sana mabaya kuliko mazuri. Sasa hivi vyama vyote vina hati nzuri lakini watu hawasemi maana kuzuri sio drama. Wengi walikuwa wakisubiria kushambilia wapinzani hasa Chadema na ACT. Vyama ambayo vina hati mbaya kwasababu ni wasindikizaji...
  12. Chakaza

    Tunapokea Ripoti ya CAG 2020/21, ila wapi utekelezaji wa Ripoti ya 2019/20?

    Sasa imekuwa kama mchezo wa mazoea, yaani kabla ya 30th March CAG kwenda kumsomea Rais ripoti yake ya ukaguzi kisha kuikabidhi Bungeni na mchezo unaishia hapo. Mwaka unaofuata hakuna taarifa ya utekelezaji wa ripoti ya nyuma bali watu wanakaa kusikiliza ripoti nyingine. Ripoti iliyopita ilijaa...
  13. Magazetini

    Rais Samia apokea ripoti ya CAG, deni bado ni himilivu. Mafao yazidi mapato ya mifuko ya hifadhi

    Kuwa nami, CAG anasoma mambo muhimu kwenye ripoti yake ambayo anaiwasilisha kwa Rais Samia. Inaanza kwa hali isiyo njema kwa vyama vya siasa. Endelea... ========= CAG: Upande wa vyama vya siasa, ADC hati mbaya, Chauma hati mbaya, TLP hati mbaya, UMD hati mbaya, CUF hati yenye shaka, UDP...
  14. OKW BOBAN SUNZU

    Rais Samia kupokea ripoti ya CAG leo Machi 30, Ikulu Dodoma

    Leo Rais Samia atakuwa anapokea ripoti ya CAG Charles Kichere kwa ukaguzi wa hesabu za mwaka 2020/202. Shughuli hivo pevu itaanza saa 4 asubuhi. CAG ana machagua mawili tu,ama kuanika uozo wote wa awamu ya sita au kuchakachua kutaka kuonyesha mama anaupiga mwingi. Kama amenyofoa kurusa zenye...
  15. Ritz

    CHADEMA, ripoti ya CAG inakuwa nzuri inapoigusa Serikali; kikiguswa chama chenu mnakaa kimya

    Wanaukumbi. CHADEMA ILITUMIA MILIONI 377 NJE YA BAJETI Ukaguzi umebaini Tsh. 100,000,000 zilitumika kwa shughuli ambazo hazikuwepo kwenye bajeti Chama kilinunua Magari 5 kwa 227,430,000 na kutumia 50,000,000 kununua nyumba ya Ofisi Kanda ya Serengeti. Ripoti ya CAG ukurasa 266, imebainisha...
  16. beth

    Ripoti ya CAG: Hali ya Utekelezaji wa Mapendekezo ya Miaka Iliyopita

    Sehemu hii, inazungumzia utekelezaji wa mapendekezo yaliyotolewa na CAG pamoja na maagizo ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) Hali ya Utekelezaji wa Mapendekezo ya CAG kwa Ofisi ya Rais - TAMISEMI Ripoti ya ukaguzi ya mwaka 2019/20 inaonesha kuwa, kati ya...
  17. beth

    Ripoti ya CAG 2019/20: Upungufu wa Miundombinu kwenye Shule za Msingi na Sekondari

    Kutokana na utelekezaji wa Sera ya Elimu Msingi bila malipo ya mwaka 2015/16, kumekuwa na ongezeko la wanafunzi kila mwaka. Ongezeko la wanafunzi lilipaswa kwenda sambamba na uboreshwaji wa miundombinu ya shule kama vile vyumba vya madarasa, madawati, matundu ya vyoo nk. Kwa mwaka 2019/20, CAG...
  18. beth

    Ripoti ya CAG: Ufanisi katika uendeshaji wa Mfuko wa Uwezeshaji wa Wanawake, Vijana na Watu Wenye Ulemavu

    Katika ukaguzi wa uendeshaji wa Mfuko wa Wanawake, Vijana na Watu Wenye Ulemavu, CAG amebaini Mapungufu kadhaa yakiwemo; 1) 65% ya Mikopo iliyotolewa kwenye Vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu Wenye Ulemavu haikurejeshwa. Kwa mwaka 2019/20, CAG alionesha Mamlaka za Serikali za Mitaa 130...
  19. beth

    Ripoti ya CAG: Mapungufu katika ulipaji wa Mishahara na Mikopo

    CAG ameonesha mapungufu yafuatayo katika ulipaji wa mishahara kwa watumishi katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa (MSM); a) MSM 36 kushindwa kulipa madai mbalimbali ya watumishi yenye thamani ya TZS. 27.84 bilioni b) MSM 46 kushindwa kuwasilisha makato ya kisheria ya mishahara yenye thamani ya...
  20. beth

    Ripoti ya CAG: Mapungufu katika ukusanyaji wa mapato

    Ripoti ya CAG inaonesha makusanyo ya Mapato ya Mamlaka ya Serikali za Mitaa kuongezeka kwa 11%, kutoka Tsh. Bilioni 639.4 mwaka 2018/19 hadi Tsh. Bilioni 703.9 mwaka 2019/20 Licha ya kuongezeka kwa ukusanyaji wa Mapato, kumekuwepo changamoto mbalimbali. Mapato ya Tsh. Bilioni 23.88...
Back
Top Bottom