Rais Samia amesema CAG ameshakamilisha ripoti ya CAG kuhusu Benki kuu kwa kipindi cha kuanzia January hadi March 2021 na ataikabidhi kwake siku ya Jumatano au Alhamisi.
Umma utaelezwa yaliyomo ndani ya ripoti hiyo, amesisitiza Rais Samia.
Chanzo: ITV
Kassim Majaliwa , Fedha zilizochotwa hazina kwa ajili ya posho ikihisiwa hazikufuata taratibu ni ndogo sana. Ukitaka kusimamisha watumishi wengi Tafadhali rejea ripoti ya CAG , hapo tutakupigia makofi ya kutosha. Hizo ni pesa za mboga tu mkuu.
Huu ndio ukweli mchungu kuhusu wadanganyika watu wa maneno mengi mitandaoni pasipo uthubutu wa kutaka kuona wahusika wa madudu katika ripoti hizi wanachukuliwa hatua.
Tusubiri na ripoti sijui ya kuchunguza madudu huko BOT tupige kelele kama tumewehuka then tujikalie kimya kama mandondocha...
Mantiki ya kisiasa ya wapinzani wa kisiasa hapa Bongo hasa ACT wazalendo na Chadema kuwa ikitokea kuna suala fulani ndio iwe upenyo wa kupata kick za kisiasa sasa hivi halina nafasi tena. Maana watanzania wanafanya mambo yao kwa kutumia busara.
Huwezi ukawq upo Dubai umejifungia na kudhani...
Ukitafakari kwa kina utaona hakuna umuhimu wa ripoti ya CAG kupelekwa Bungeni. Spika wa Bunge amekuwa mtu wa Kwanza kudharau kazi ya CAG ambayo wapo wataalamu wanalipwa kuifanya.
Aliikataa bila sababu za msingi ripoti ya Prof. Assad CAG mstaafu na leo ameonyesha wazi kutokubaliana na ripoti ya...
Watanzania tujadili kwa kina kuhusu taarifa zinazosambaa kuhusu Zitto kuchambua ripoti ya CAG kupitia televisheni siku ya leo ambayo Mbowe alipanga kulihutubia Taifa.
Je, hii haina maana ya kuwavuruga watu waliojipanga kumsikiliza Mbowe? Kwanini Zitto asingepanga siku nyingine?
Upinzani...
Habari hii ni kwa mujibu wa tweet ya ACT-Wazalendo UDSM ambapo wamearifu uchambuzi huo utaanza saa sita kamili mchana wa leo.
===============
ZITTO AMSHAURI RAIS SAMIA KUUNDA TUME YA MAJAJI KUCHUNGUZA KESI ZILIZOLIPWA KWA DPP
Kuanzia mwaka 2017 kumekuwa na kawaida ya watu wanaokamatwa na...
Ukiisoma kwa umakini ripoti ya CAG miradi ya maendeleo ukurasa wa 98 utagundua kuwa kuna upotoshaji mkubwa kuwa upembuzi yakinifu haukuhuishwa kabisa na hivyo data zinazotumika kutekeleza huu mradi ni za mwaka 1970 na mwaka 1980. Jambo ambalo sio kweli.
Huu mradi unaosimamiwa na TANESCO kupitia...
Hili ndio swali langu la leo kwa wananchi wote wa Tanzania, kwamba pamoja na njaa waliyonayo watanzania ukichanganya na huu wizi uliovunja rekodi ya Jumuiya ya SADC uliofichuliwa na CAG, hivi bado kuna Mtanzania yeyote anayeamini nchi yake imeingia kwenye Uchumi wa Kati, kwa lipi hasa?
Magufuli pamoja na mazuri yote yanayosemwa kama yapo, lakini ndio kiongozi pekee Tanzania aliedhibiti sana vyombo vya habari kuliko Raisi yoyote yule. Kama Kuna watu hawalioni hili kuna tatizo.
Baada ya kuanzisha Bunge Live, ni Utawala wa Magufuli pekee ndio ulioondoa Bunge kuoneshwa Live.
Ni...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Devotha Mdachi kupisha uchunguzi wa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha na rasilimali za serikali.
===============
DEVOTHA MDACHI
===============
"Mimi naweza kuwekwa Pembeni...
Na Thadei Ole Mushi.
Someni Ripoti ya CAG, Kuna madudu mengi mno mengine yanatia kinyaa kabisa. Ukurasa wa 70 wa Ripoti hiyo unazungumzia issue ya Kucheleweshwa ujenzi wa kiwanda Cha Pamba kule Simiyu. Naomba kuinukuu hiyo Ripoti neno kwa neno:
"Mnamo tarehe 11 Novemba 2016 Ofisi ya Mkuu wa...
HII RIPOTI YA CAG TUTAANZA KUKANYAGANA, "SIJUI TUANZE KUMLAUMU NANI"?
Na Elius Ndabila
0768239284
Riporti ya mwaka huu ya CAG inaonyesha kunaubadhilifu mkubwa wa fedha za umma. Rushwa sasa inaonekana imeota mizizi mikuu. Waliokuwa wakikemea rushwa kwa mkono wa kulia, walikuwa wametega mkono wa...
Habari zenu ndugu zang watanzania mliopo humu. Ndugu zang nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana yanayoendelea nchini, hasa kuhusu tuhuma za ufisadi zinazoelekezwa kwa aliyekuwa Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hayati John P Magufuli.
Najua na inajulikana wazi tu kwamba tokea...
KUONDOKA mapema kwa Rais John Magufuli, kumeiacha Tanzania katika njia panda, wananchi wakijiuliza ni nini kitafuata baada ya hapa.
Nini hatma ya Tanzania baada ya Magufuli? Ndilo swali kubwa kwa sasa kwa watanzania na bila shaka Afrika na dunia yote. Baada ya kazi kubwa ya ujasiri mkubwa...
Dodoma. Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amewataka wabunge kuchangia Mpango wa Taifa wa Maendeleo kwa kuishauri Serikali kama iendelee na mpango wake wa kununua ndege au isitishe hadi itakapoweka mambo sawa.
Ndugai amesema hayo bungeni mjini Dodoma leo Alhamisi Aprili 8, 2021 kabla...
Sisi wana wa maskini tuna miaka takribani 6 sasa mtaani bila ajira baada ya kuhitimu vyuo. Wanatwambia wanajenga uchumi imara kwanza ndipo watuajiri.
Kumbe kujenga uchumi ndiko huku? Mamilioni kwa Mabilioni kwa matrilioni, wametafuna. Sisi tunateseka mtaani bila ajira,huku HESLB nao...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), chama cha siasa ambacho kimeshikilia rekodi ya dunia ya kushambuliwa na serikali, kimeonekana na CAG kuwa chama kinachozingatia weledi katika matumizi ya pesa zake, na hivyo kuudhihirishia ulimwengu kuhusu umakini wa viongozi wake, jambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.