ripoti ya cag

  1. R

    Ripoti ya CAG haina wizi, ina ukiukaji wa taratibu

    Kila siku CAG anakuja na report kuhusu upotevu wa mabilioni kwenye secta ya umma lakini hakuna hatua zinazochukuliwa. Wakati CAG akija na hoja hizo mara nyingi PCCB hakuna sehemu anakuja na hoja zakuthibitisha huo wizi badala yake kesi nyingi uisha Kwa matumizi mabaya ya Ofisi. Mtizamo wangu NI...
  2. O

    Madudu ripoti ya CAG, tunaua nchi wenyewe

    Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amewataka watendaji wa Serikali, kusimamia vema rasilimali za nchi kwa kutumia mifumo na kuweka nidhamu, akisema kinyume na kufanya hivyo ni sawa na kuiua nchi yetu wenyewe. Mkuu huyo wa nchi ameeleza hayo wakati akifafanua kuhusu uzembe wa upitishaji wa...
  3. M

    Sijasikia Zitto Kabwe na chama chake wakitangaza uchambuzi wao wa Ripoti ya CAG

    Kipindi cha magufuli Zitto Kabwe na kijana wake Ado Shaibu walijinasibu sana kuichambua report ya CAG na wakaja na madudu ya 1.5 t kuwa zimopotea na hazijulikani ziliko na walijinasibu kweli, kwa bahati nzuri report ya CAG ipo kila mwaka na report ya awamu hii yote inagusa utawala wa Samia...
  4. Erythrocyte

    Lakini Je, wangapi waliwahi kushitakiwa Mahakamani au hata kufungwa Jela kutokana na Ripoti ya CAG?

    Hili ni Swali ambalo Watanzania tunapaswa kujiuliza , kwamba kwa miaka mingi ofisi ya CAG imejitahidi sana kuanisha mapungufu , Wizi , upotevu na Uchafu wote unaofanywa kwenye mashirika na idara za serikali , wako walioonyeshewa vidole moja kwa moja ( Wengi wao majina yao yanafahamika ) Lakini...
  5. CHIBA One

    Rais linda heshima na imani ya wananchi kwako fukuza hao tamaa mbele tafadhari

    Mhe Rais, Kwanza nikupongeze kwa nia yako ya dhati ya kupambania maslahi ya nchi na watu wake. Umeonyesha utu, ari, na malengo ya dhati ya kuhakikisha mambo yanaenda na kutekelezeka kwa wakati, ninakupongeza. Mhe Rais, Katika mikutano yako kadhaa na waandishi wa habari, umekuwa ukionyesha...
  6. MTAZAMO

    Rais Samia, angalia tusivune mabua!

    Mkuu wangu wa nchi, Humu JF miaka ya nyuma tulikuwa tunapata "nyepesinyepesi" jinsi fedha za uchaguzi mkuu zilivyokuwa zinatafutwa. Hizo fedha baadae huwapa watu jeuri na kusumbua wakipigania madaraka. Sasa uchaguzi wa 2025 imebakia miaka 2 na ushee tu na tukiweka na miezi ya kuanza harakati...
  7. GENTAMYCINE

    Je, ilikuwa ni sahihi Kupokea Madudu ya nchi kutoka kwa CAG jana wakati Usiku tunampokea Mgeni mkubwa Duniani?

    Au Tukio hilo (Ratiba ile) iliwekwa Kimkakati (Kimakusudi) ili Mgeni mkubwa Duniani akija ajue kuwa tunasimamia vyema Fedha zetu ili tumuombe nyingine nyingi au avutiwe tu hata Mwenyewe kutusaidia bila Masharti nasi tuendelee Kujenga Mahekalu yetu Mbweni, Madale, Mbezi Beach, Kawe Beach, Masaki...
  8. Championship

    Ninatarajia IGP Camillus Wambura atatuletea taarifa ya kuwakamata watuhumiwa wote baada ya ripoti ya CAG na matamshi ya Rais Samia

    Mheshiniwa Rais leo ametueleza uwepo wa watuhumiwa wengi sana kutokana na ripoti ya CAG. Kwa matamshi ya CAG pamoja na Rais ni dhahiri kwamba kuna wahalifu wengi sana. Sasa kwasababu Rais ni amiri jeshi mkuu basi ninategemea kuona taarifa ya jeshi la Polisi kuanza kuwakamata na kuwapeleka...
  9. S

    Bunge na Watanzania kwa ujumla, tulichukua hatua gani kwa waliohusika na madudu katika Ripoti Ya CAG iliopita? Another political silly season!

    Binafsi sishangai haya yaliobainishwa katika Ripoti ya CAG ya 2021/2022, bali nawashangaa wanaoshangaa yaliyoibuliwa katika ripoti hii. Kama `Bunge lenye wajibu wa kuisimamia serikali halikuchukua hatua kuhakikisha waliousika na ubadhirifu na ufisadi katika ripoti iliyopita wanachakuliwa hatua...
  10. BARD AI

    Mashirika 14 yameitia hasara Serikali kiasi cha Tsh. Bilioni 183.6

    Mashirika 14 ya umma ya kibiashara yamepata hasara katika uendeshaji. Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imeonesha. Akizungumza wakati wa uwasilishaji wa ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, CAG Charles Kichere amesema utafiti huo ni katika...
  11. S

    Bosi wa Reli, ATCL na TANESCO mnasubiri nini ofisini?

    Ripoti za CAG na TAKUKURU zilizowasilishwa mbele ya Rais Mapema leo Machi 29, 2023 zimeonyesha ufisadi mkubwa katika Mashirika Makubwa ya TRC, ATCL na TANESCO, Mhe Rais amesema waondoke swali je mnasubiri nini? ATCL “Kuna mradi hapa tumetengeneza Ndege ya mizigo ambayo tunakaribia kuipokea...
  12. Guselya Ngwandu

    Tuna Rais asiyepuuza ripoti ya CAG. Hongera Rais Samia

    Nimemkumbuka Mzee wetu Prof Assad. Nimekumbuka alivyoondolewa madarakani kwa mabavu, nimekumbuka ile IST yake siku anaondoka ofisini. Nimekumbuka pia kwamba RIPOTI YA CAG ilikuwa inaogopwa na Serikali na kupingwa vikali. Nimekumbuka wapinzani kuishi kama digidigi pale wanapojaribu kujadili yale...
  13. Roving Journalist

    Rais Samia apokea Ripoti za CAG na TAKUKURU za Mwaka 2021/2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea ripoti ya taarifa za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na TAKUKURU kwa mwaka 2021/2022 leo Machi 29, 2023 Ikulu ya Magogoni, Dar es salaam. CP. Salum R. Hamduni, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia...
  14. Tryagain

    Ripoti ya CAG 2021-2022; Waziri Mkuu hana msaada kwa Rais, Baraza livunjwe

    Kama kuna siku Mheshimiwa Rais ameongea kwa uchungu sana ni leo. Ni wazi kuwa Waziri Mkuu na wizara hazimsaidii kabisa wako busy tu kupiga hela kwenye miradi mikubwa makubwa haya Kodi ya zuio ilipwe hata hawa JKT walipe Mashirika yote yalipe hila exception Deni la serikali - tunakopa kwa...
  15. ChoiceVariable

    Ripoti ya CAG 2021-2022: Mfuko wa Bima ya Afya Umepata Hasara ya Shilingi Bilioni 189

    Mfuko huu ukiacha hasara wanayoingiza Serikalini pia wametajwa na TAKUKURU kwenye ubadhirifu. Aidha Huu mfuko.unaongozwa na yule anayejiita Kamisama WA sensa na Spika Mstaafu Anna Makinda. Mh.Rais watu Hawa walioshindwa kazi Fukuza mda wa kuleana Kwa kuwakomoa Watanzania umekwisha.
  16. K

    Ripoti ya CAG 2021-2022: Rais Samia ataka baadhi ya mashirika yasiyo na tija kufutwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu leo amepokea ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) pamoja na TAKUKURU. Katika ripoti hiyo CAG aliyataja mashirika 14 yanayoendeshwa kwa hasara ikiwemo TRC, ATCL na NDC. Rais Samia alisema kwa muda baadhi ya makampuni yamekuwa...
  17. BARD AI

    Ripoti ya CAG kuhusu zilipo Fedha za 'Plea Bargain' inatoka lini?

    Wakati bado wananchi wakiwa kwenye sintofahamu ya nini kilitokea kwenye utaratibu wa kumaliza kesi za uhujumu uchumi uliotumika na Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Hayati Rais Magufuli, swali jipya linaibuka zikiwa zimebaki siku chache mwezi Machi 2023 kumalizika na hakuna taarifa yoyote...
  18. BARD AI

    Wabadhirifu 3 tu kati ya 585 walifukuzwa kazi kwa ripoti ya CAG, 384 wakihamishwa vituo

    Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Angellah Kairuki amesema watumishi 116 wamechukuliwa hatua kutokana na ubadhirifu fedha za umma. Kairuki ameyasema hayo Jumamosi Novemba 5,2022 wakati akichangia taarifa za Kamati za Kudumu za Bunge za Hesabu...
  19. SULEIMAN ABEID

    Mpina aanika bungeni madudu ya kutisha Ripoti ya CAG

    Mbunge wa jimbo la Kisesa wilayani Meatu - mkoa wa Simiyu aanika bungeni madudu Ripoti ya CAG. ===Fungua kiambatanisho.
  20. voicer

    Kwanini CAG hatoi Ripoti ya Matumizi ya Tume za Uchunguzi?

    Imekuwa utamaduni wa kila siku,kusikia zikiundwa tume kuchunguza matukio kadhaa, yanayoleta kadhia mbalimbali ambazo huikumba jamii. Tume hizo huteuliwa na viongozi wa ngazi mbalimbali tofauti, kuanzia ngazi ya taifa hadi mikoani. Hii ikiwa ni kwa mamlaka wanayokuwa wamepewa kwa mujibu wa...
Back
Top Bottom