Wakuu,
Kuna namna viongozi wetu wanatuchukulia sisi ni wasahaulifu au hatutilii maanani yale maneno ambayo wanayasema. Wanatuchukuliaje?
Baada ya jengo la kariakoo kuanguka tuliambiwa kuna tume inaundwa chini ya usimamizi wa Majaliwa ili kujua kinagaubaga cha jengo hilo kuporomoka, lakini...