Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Sheikh Mussa Kundecha, Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Maimamu na Viongozi wa Kiislam Tanzania
Baraza Kuu la Maimamu na Viongozi wa Kiislam Tanzania wanasema wanaopinga na kukosoa ripoti ya Chande ni wahalifu na walihusika katika matukio ya Oktoba 29, 2025 na baadaye wakageuka watetezi wa watuhumiwa, na sasa wanatumia nguvu kubwa kupinga ripoti ya Jaji Chande kwa kuhofia kuwajibishwa.
Sheikh Kundecha anasema kuwa watu hao baadaye watakuja kupinga maridhiano kwa lengo la kutokuwepo utulivu na amani ili kuvifanya vyombo vya dola na mamlaka husika visiwashughulikie