Sheikh Mussa Kundecha, Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Maimamu na Viongozi wa Kiislam Tanzania
Baraza Kuu la Maimamu na Viongozi wa Kiislam Tanzania wanasema wanaopinga na kukosoa ripoti ya Chande ni wahalifu na walihusika katika matukio ya Oktoba 29, 2025 na baadaye wakageuka watetezi wa...
..sikiliza tamko hapo chini na tuhuma kwamba AG wa kipindi cha Rais Magufuli, Prof. Kilangi, aliwahi kuwa Padri.
https://www.youtube.com/watch?v=RhbFPe8Z3yU
Ndugu Sheikh Kundecha, nimetizama wasilisho lako katika msikiti wa Qiblatein Mwananyamala la baraza la Eid.
Kwa kweli nimesikitishwa sana na jinsi ulivyoacha kuisemea dhulma inayotamalaki nchini, ya utekaji watu, mauaji ya watu na dhulma dhidi ya watu.
Wanaotekwa si watu wa dini nyingine, hata...
Sheikh machachari Kundecha Akizungumza na chombo kimoja cha habari amemsifia mkuu wa wilaya ya Ubungo kwa kutekeleza maagizo ya dini katika opeareshi yake ya kupambana na madanguro na madada poa.
Sheikh Kundecha anasema Bomboko sio anatekeleza tu maagizo ya serikali bali maagizo ya Mungu hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.