PostGE2025 Sheikh Kundecha: Wanaopinga Ripoti ya Tume ya Jaji Chande walihusika katika uchochezi

PostGE2025 Sheikh Kundecha: Wanaopinga Ripoti ya Tume ya Jaji Chande walihusika katika uchochezi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Je Maendeleo yanausiana mambo ya Dini
jibu ndio

kama watu wanaangaika muda mwingi namambo ya Dini kunauwezekano mkubwa kuchelewesha Maendeleo yao na miji yao naTaifa!!

Tufanye tafiti ndogo

Waislam wana swali mala 5 kwa siku moja

lkn wamewekewa vipengele vingi wachague wenyewe!!

Waislam wanaweza mchana kuchapakazi tu
na kwenda kulipia nyumbani zile swala wamezikosa !!!!

faida ya kusali pamoja na kusali nyumban pekeyako zote zinamaelekezo yake ya kutosha ndani ya Dini ya UISLAM✍️


Kusali japo swala 5 lkn Kila swala moja itachukua sio zaidi ya dakika 10 mpaka 7 fanya 10x5 jibu lake muislamu kwa siku nzima kuweza kuswali msikitini atatumia dkk 50!!!

kila muda dkk 10. Manake saa moja haijafika siku nzima!!!

kumbuka muislamu anasali popote ni ngumu kumkuta muislamu anapanda Daladala kwenda kusali kwengine na msikiti jiran upo ukiona ivyo kunasababu zengine sio zakimungu

Lkn uwezi sema Maendeleo ayatohasilika lkn kwa atua ndogo sana!!!

Sasa ukija kwa Cristian sala yake moja tu masaa yake yanadhidi dkk 50 za muislamu!!!

mbaya zaidi yeye uweza kutoka kivule kuja kusali mjini au kawe au Tabata Ubungo njiani tu saa 1 adi 2 kafika!!!

nyimbo za kumtukuzwa bwana zinaanza napo saaa kadhaa !!!!!!

Umeona tofaut ipo wapi
Muislamu anaitaji dkk 10 kusali na kusepa

Cristian nauri na saa kadhaaa kwenye Daladala kwenda kanisani kwake !!
pesa ya maji pengine na msosi mchana.

Waislam ndiomana matajiri miji yao pia tajiri ile Nairobi wengi hawajui ukweli ni jamii ya wasomali ndio wameshika kitomvu cha Utajiri pale Nairobi !!!

Namba moja ni Msomali namba pili Muhindi ndio wenye Uchumi pale Nairobi wanaojisifia Wakenya!!!

Cristian wapo wapo na rohoo mbaya zao!!
Michongo yao kukodi nyumba ya mtu kuanzisha kanisa kukusanya Sadaka


wkt uho uho wanapoteza muda wa vijana kuwajaza sehemu moja muda mrefu bila vijana kuingiza chochote mbaya zaidi muda wote kijana uyu anatikwa jina la YESU tu na chuki dhidi ya iman zengine muda mwingi ndio mana vijana wa wa Kikristo wana chuki sana na rohoo mbaya sana!!!

badala kijana kupata muda kuchanganua akili yake zaidi au kwenda sehemu kwenye semina za ubunifu wa Kibiashara siku zote wazo moja lenyewe uzaa wazo lengine

Kagame na Rwanda wameliona mapema wamepiga kufuli makanisa kibao na misikiti michache.

Serikali inawajibu kuwalinda vijana wasikunyanywe ovyo ovyo😥😥

maana ni Serikali iyo iyo ndio wamewasomesha tangu wadogo wanapaswa kulindwa na kuendelezwa manufaa ya kesho yao ndio yetu kwapamoja kama Taifa,,
 
Wanadhalilisha Waisilam na Uisilamu hapa Tanzania. Wenzetu wakitoka wanakuja kuzungumza vitu vya maana sisi ni Uchawa tu🚮.
 
Sheikh Mussa Kundecha, Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Maimamu na Viongozi wa Kiislam Tanzania

TOKA MAKTABA :

Mapito ya sheikh wetu Kundecha :

Sheikh Mussa Kundecha asimulia kashikashi nyingi alizopitia akiwa mwanaharakati Tanzania

View: https://m.youtube.com/watch?v=rDaa_3GLI2Y

Kiongozi wa Baraza Kuu la Jumuiya na Taasisi za Kiislamu asimulia jinsi alivyopewa kesi ya mauaji baada ya kutoafikiana na Polisi waliolazimisha aongee mbele ya vyombo vya habari kituo cha Polisi awaombe Waislamu waliokuwa na mpango wa kuandamana wasifanye hivyo. ...

Wakati huo Polisi Dar es Salaam mkuu wa upelelezi mkoa ni RCO Abdallah Zombe anaongoza .... nikatupwa selo asubuhi mahakamani nikasomewa kesi ya mauaji ya watu wawili kwa risasi mmoja askari polisi na mwingine raia, kutoka hapo nikapelekwa rumande Segerea miezi 6 ....

Kuhusu siasa Sheikh Mussa Kundecha anasema huwezi tenganisha siasa na dini.

Upande wa elimu anaelezea umuhimu wa suala hilo ... nilisoma Tabora kisha kwenda nje Burundi, Kenya, Saudi Arabia kuongeza elimu nikarudi Tanzania nikafundisha Tabora, Arusha na Dar es Salaam mitaa wa Kiungi Magomeni pia Kinondoni Mkwajuni na msikiti wa Kichangani Magomeni.

Mihadhara ya MwembeChai iliyoshamiri kuanzia mwaka 1994 hadi 1997 jijini Dar es Salaam iliniletea matatizo miaka hiyo ikiongozwa na kina sheikh Mazinge na wengine ...

Pia nilifanya kazi ya kuunganisha waislamu ambao ni wasomi (professionals) wa elimu pana ya kisecular na masheikh wa wanaotoa elimu ya dini, kwani makundi haya mawili yaani professionals wa kiislamu waliona masheikh wao hawana ufahamu wa masomo ya elimu ya secular huku pia masheikh wakiona waislamu wasomi kuwa hawana ufahamu wa dini yao.

Harakati hizi zimeleta mafanikio kuna misikiti zaidi ya 3,000 na huku kuna shule zaidi ya 300 za waislamu kutokana na kuunganisha nguvu za waislamu ....

Mussa Kundecha anaulizwa sheikh ni nani hasa ... pamoja ya kuwa sheikh ni kama inatumika kuonesha kuwa ni mtu mzima isipokuwa katika utaratibu ....

Sheikh Mussa Kundecha akiangalia mbele kuhusu kupata elimu ya dini, anashukuru kuwa mazingira yanazidi kuwa mazuri vitabu vipo vingi tofauti na zamani hapa Tanzania kilikuwapo kitabu kimoja cha Sheikh Abdullah Saleh Al-Farsy .. sasa kuna vingi zaidi ...

Kuhusu BAKWATA - Baraza Kuu La Waislamu Tanzania kutokubaliwa na baadhi ya waislamu, Sheikh Mussa Kundecha anasema kila mmoja ana nafasi yake hivyo ...

Wateja wengi wa Islamic Banking Tanzania ni wale wasio waislamu na wamewapita kwa idadi kubwa huku waislamu wakiwa wachache hivyo ni jambo jema la kijamii kwa wasio waislamu kuwa wengi sana kwa idadi ktk Benki za Kiislamu ...anabainisha Sheikh Kundecha
 
Huyo mama amefanyiwa fitna na kanisa bila sababu za msingi,au labda sababu za kanisa ni za msingi na hatuzijui, lakini ilianza baada ya DP world
DP World kuingia pale TPA mtandao mkubwa wa upigaji ikabidi ufe kifo cha kawaida, wale wafaidikaji wa pesa za bure bure za kila siku hawakukubali kirahisi tu kuuacha mkate wao uwakimbie.

Kuku anapokatwa kichwa kwa kupigwa kisu cha shingo huwa akifa kwa kutapatapa, damu zinamwagika katika eneo lote la machinjio.
 
Rais gani kipindi chake hakukua na ufisadi?..usiseme magu,ntauliza trilioni mbili zilienda wapi?..usiseme mkapa,aliingia mikataba ya mrabaha 3% na makaburu halafu kila mwaka akitembelea mikoa yenye migodi na kupewa kilo za dhahabu,aliiuza NBC kwa makaburu 1997 kisha wakamkopesha 100m,aliiwekeza ATC kwa makaburu kwa thamani ya beberu 11,hayo ni machache tu ya mkapa,lakini kwenye tamko la TEC uchaguzi 2000 wakasema watamuunga mkono no matter what,hapo cuf Iko moto
Kwahiyo huyu achekewe kisa wenzake nao walifanya?
 
Chapaaa nyumbu awa na wengi wao Walokole!!!

kila Rais muislamu mikelele kibao!! Propaganda kibaooo wkt viongozi wa kislam ndio wametafuta uhuru wa Tanganyika!!!

wkt Wakristo wanalishwa vibeskuti na Askofu wa kizungu Makanisani Wakristo wakajiona maisha wameyapatiaaa!!!

Yeye anafungua Domowaaa kupokea kiandazi cha mzungu mungu wao!!!

kama sio juhudi za Waislam taifa lingekuwa ovyooo ovyoo sana,,,
Wakatoliki
 
Kampala, Uganda

MASHEIKH WAPINGA MUSWAADA WA BUNGE 2026

Masheikh 24 wapitia muswada wa bunge sovereignty bill 2026, under one umbrella of different muslim communities


View: https://m.youtube.com/watch?v=Fr8bJu7vfXs

Imam Kasozi, Sheikh Kalisa, Sheikh Kasule, Sheikh Twaha Matovu, Sheikh Shiraji... Protection of Sovereignty Bill 2026, Imam Kasozi stuns Parliamentary committee, puts up strong resistance ....Imam Kasozi says the speed at which the sovereignty bill is moving, one can not take away the fact the most of the MPs have been bribed to sell ...

Imam Iddi Kasozi demonstrates the potential impact of the National Sovereignty Bill 2026


Imam Kasozi is a political analyst and a lecturer at Islamic University in Uganda...
 
Baraza Kuu la Maimamu na Viongozi wa Kiislam Tanzania wanasema wanaopinga na kukosoa ripoti ya Chande ni wahalifu na walihusika katika matukio ya Oktoba 29, 2025 na baadaye wakageuka watetezi wa watuhumiwa, na sasa wanatumia nguvu kubwa kupinga ripoti ya Jaji Chande kwa kuhofia kuwajibishwa.

Shura ya Maimamu yajaa na sababu nzito za kuwa Tume ya Jaji Chande imejengwa nje ya misingi.

Na Shura ya Maimamu imetoa waraka mzito wa kurasa 12 wenye mapendekezo manne. La kwanza ni rais aitoe ripoti maana si mali ya Ikulu bali mali ya raia, ...

06 May 2026

Shura ya Maimamu Yaichambua Ripoti ya Tume "Imewalinda Waliofanya Mauaji ya Oktoba 29"

View: https://m.youtube.com/watch?v=svT4PaqTrd4
Shura ya Maimamu imefanya uchambuzi wa kina wa ripoti ya Jaji Chande kuhusu matukio ya Oktoba 29, 2025, na kuibua maswali kuhusu uhalisia na uadilifu wa yaliyomo kwenye ripoti hiyo.

Katika tathmini yao, viongozi wa Shura ya Maimamu wamesisitiza umuhimu wa haki kutendeka kwa waathirika wa tukio hilo, wakitaka hatua za wazi za kisheria na uwajibikaji kutoka kwa wahusika wote waliotajwa au kuhusishwa.

Aidha, Shura ya Maimamu imeitaka Serikali na mamlaka husika kuhakikisha kuwa mapendekezo ya ripoti hiyo hayabaki kwenye makaratasi, bali yanatekelezwa kwa kuzingatia haki, usawa na kulinda amani ya taifa

Source : The Chanzo
 
Mwanaharakati uchwara sheikh Kundecha umeusoma waraka wa Shura wa Maimamu uliotolewa 06 May 2026?
 
10 May 2026

UWAKTA: TUTAENDELEA KULINDA AMANI NA KUDUMISHA MSHIKAMANO NCHINI
10 May 2026

View: https://m.youtube.com/watch?v=a_-sEKreCCg
Umoja wa Wahadhiri wa Kiislamu Tanzania umesema utaendelea kutoa elimu kwa wananchi kuhusu umuhimu wa amani ili kudumisha mshikamano ulioasisiwa na viongozi wa taifa na kuhakikisha Tanzania inaendelea kuwa nchi yenye utulivu.

Akizungumza leo jijini Dar es Salaam katika mkutano mkuu wa mwaka wa UWAKTA, msemaji wa umoja huo, Sheikh Said Kinyogoli amesema amani ndiyo msingi wa maendeleo ya taifa kwani huunganisha wananchi na kuwezesha shughuli mbalimbali za kijamii na kiuchumi kufanyika kwa utulivu.

Kwa upande wake, Sheikh Othman Mazinge amesema kulinda amani ni jukumu la kila Mtanzania na si la mtu mmoja pekee, huku akiwataka wananchi kuendelea kuimarisha mshikamano na kuzuia vitendo vinavyoweza kuhatarisha usalama wa nchi.

Nao Ustiniia Zlatoverkhovnikova mwandishi wa Russian News Agency na jarida la African Initiative lenye makao Dar es Salaam Tanzania pamoja na Gipson Gerald wamesema Tanzania imeendelea kuwa mfano wa amani na mshikamano barani Afrika, hali inayopaswa kulindwa ili mataifa mengine yaweze kujifunza kupitia misingi iliyoachwa na waasisi wa taifa.
1778504546478.jpeg

Mwandishi wa habari Ustiniia Zlatoverkhovnikova
 
Back
Top Bottom