PostGE2025 Sheikh Kundecha: Wanaopinga Ripoti ya Tume ya Jaji Chande walihusika katika uchochezi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Sheikh Mussa Kundecha, Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Maimamu na Viongozi wa Kiislam Tanzania

Baraza Kuu la Maimamu na Viongozi wa Kiislam Tanzania wanasema wanaopinga na kukosoa ripoti ya Chande ni wahalifu na walihusika katika matukio ya Oktoba 29, 2025 na baadaye wakageuka watetezi wa watuhumiwa, na sasa wanatumia nguvu kubwa kupinga ripoti ya Jaji Chande kwa kuhofia kuwajibishwa.

Sheikh Kundecha anasema kuwa watu hao baadaye watakuja kupinga maridhiano kwa lengo la kutokuwepo utulivu na amani ili kuvifanya vyombo vya dola na mamlaka husika visiwashughulikie
Zamani nilimuona huyu mzee ana nafuu kumbe naye mpuuzi tu
 
Ndugu zetu katika iman vp uyo shekhe ndio kiongoz weni wa kiroho?
 
Huyo mama amefanyiwa fitna na kanisa bila sababu za msingi,au labda sababu za kanisa ni za msingi na hatuzijui, lakini ilianza baada ya DP world
WE unaamini kabisa ishu ni DP WORLD tu, na unaamini kanisa linamtikisa kisa muislam?
So anayofanya mwanamama kwako ni okay, kisa uislam ama kisa una mapemzi nae tu, je we ni mfaidika kutoka kwa mama?
 
Zogo na mama lilianza lini?..siyo 2021 wala 2022,kila mtu alimpenda mama,then ikaja dp world,zogo likaanza
Tuliofuatilia mambo toka enzi za magazeti na ITV na star TV kuwa media kuu tunajua kuwa kanisa Lina machinery zake za kupiga kelele,kumbabaisha kiongozi anayeswali kuelekea Makkah,hii ni tangu mwinyi
Aliyenipa taarifa za kanisa kuandaa vijana oktoba 29 alinipa taarifa pia kuwa kanisa lilimtisha mama,likamwambia utaona,na tumeona kweli
Kwa akili ya kawaida kwa nini wanakua na matamko mengi rais akiwa muislam na matamko machache baridi rais akiwa mkristo?
 
Attachments

  • Screenshot_2025-11-20-16-55-40-719.jpg
    Screenshot_2025-11-20-16-55-40-719.jpg
    132.6 KB · Views: 10
Zogo na mama lilianza lini?..siyo 2021 wala 2022,kila mtu alimpenda mama,then ikaja dp world,zogo likaanza
Tuliofuatilia mambo toka enzi za magazeti na ITV na star TV kuwa media kuu tunajua kuwa kanisa Lina machinery zake za kupiga kelele,kumbabaisha kiongozi anayeswali kuelekea Makkah,hii ni tangu mwinyi
Aliyenipa taarifa za kanisa kuandaa vijana oktoba 29 alinipa taarifa pia kuwa kanisa lilimtisha mama,likamwambia utaona,na tumeona kweli
Kwa akili ya kawaida kwa nini wanakua na matamko mengi rais akiwa muislam na matamko machache baridi rais akiwa mkristo?
So we unahisi samia anapigwa vita udini wake, oky, je hiyo dini yake anaiishi? Ana kipi anakifanyia dini yake kiasi wakristu wampige vita.
Wanayotenda ndio sababu ya kupigwa vita mie ni muislam lakini samia simuelewi, siwezi mtetea mtu kisa dini 1 na mimi..
Samia sio DP tu ufisadi kila sekta.. mama yako anazingua kina kairuki na mambo kede wa kede.
 
Samia alianza kuchukiwa kwa kufuata nyayo za Magufuli kuteka na kuua wakosoaji. Hakuna mtu anamchukia kwa dini yake, kwanza hata dini yenyewe haifuati anakunywa pombe na mambo mengine machafu anafanya ambayo yanakatazwa katika Uislam.
 
Huwa unakunywa nae?
 
So we unahisi samia anapigwa vita udini wake, oky, je hiyo dini yake anaiishi? Ana kipi anakifanyia dini yake kiasi wakristu wampige vita.
Wanayotenda ndio sababu ya kupigwa vita mie ni muislam lakini samia simuelewi, siwezi mtetea mtu kisa dini 1 na mimi..
Samia sio DP tu ufisadi kila sekta.. mama yako anazingua kina kairuki na mambo kede wa kede.
Rais gani kipindi chake hakukua na ufisadi?..usiseme magu,ntauliza trilioni mbili zilienda wapi?..usiseme mkapa,aliingia mikataba ya mrabaha 3% na makaburu halafu kila mwaka akitembelea mikoa yenye migodi na kupewa kilo za dhahabu,aliiuza NBC kwa makaburu 1997 kisha wakamkopesha 100m,aliiwekeza ATC kwa makaburu kwa thamani ya beberu 11,hayo ni machache tu ya mkapa,lakini kwenye tamko la TEC uchaguzi 2000 wakasema watamuunga mkono no matter what,hapo cuf Iko moto
 
Chapaaa nyumbu awa na wengi wao Walokole!!!

kila Rais muislamu mikelele kibao!! Propaganda kibaooo wkt viongozi wa kislam ndio wametafuta uhuru wa Tanganyika!!!

wkt Wakristo wanalishwa vibeskuti na Askofu wa kizungu Makanisani Wakristo wakajiona maisha wameyapatiaaa!!!

Yeye anafungua Domowaaa kupokea kiandazi cha mzungu mungu wao!!!

kama sio juhudi za Waislam taifa lingekuwa ovyooo ovyoo sana,,,
 
UISLAM ndio fahari kuu ya Tanzania

Nyerere mwalimu aligunduaa mwishooo kabisaa!!!

tazama miji kwenye Wakristo wengi ukiacha kusini ambayo Serikali ilichangia Umasikini wao kwa pamoja kwakuchelewa kuwajengea barabara nk.

tatizo la Umasikini chanzo ni rohoo mbayaaa !!!

sasa Cristian wengi wana rohoo mbayaaa sana.!!!

Nipinge kwa hoja sio matusi !!!

Tazama jinsi wanauwa albino kuchunana ngozi kukatana korodani kuuwa Wazee kisa macho mekundu yote aya yanatokea kuliko Cristian wengi !!
wenye rohoo mbayaaa

Maendeleo yatokea vip kama wakazi wake wana rohoo mbayaa sana.
 
Back
Top Bottom