Watu mashuhuri huwa wanakutana kwa ajili ya mkutano wa World Economic Forum huko Davos hii hupelekea kushahimiri kwa biashara nyingine zinazozunguka mji huo ikiwemo ya ukahaba.
Huwa wanakutana kuzungumzia kupatia suluhisho la maswala yanayoikumba dunia ikiwemo umasikini.
Naona wana deal kweli...
Ripoti ya hivi karibuni ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) kuhusu hali ya deni la mataifa 186 duniani imeonyesha kuwa Tanzania inazidi kuimarika kiuchumi chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan.
Katika ripoti hiyo ya Economic Outlook ya Oktoba 2024, Tanzania imeorodheshwa na uwiano wa deni...
Uthibitisho wa ripoti ya Fitch Ratings umeipa Tanzania kiwango cha alama B+ kuwa na Uchumi unaokua kwa kasi na uwezo wa Kulipa Madeni ya Nje kwa Muda Mrefu (IDR).
Ripoti hiyo imeonyesha mtazamo thabiti wa mafanikio makubwa yaliyopatikana chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan.
Sera...
Katika ripoti waliyoitoa juzi, shirika la haki za binadamu la Amnesty International limeeleza kuwa kuna ushahidi mwingi wa kuwa Inachokifanya Israel huko Gaza ni mauaji ya Kimbari (Genocide). Wakieleza kuwa kwa mujibu wa makubaliano ya kimataifa, kosa la genocide linahusisha, mauji, kutenda...
Leo katika pitapita zangu nimekutana na kitu kinaitwa Rand Corporation 2019. Hii ni ripoti yénye kuelezea mbinu ambazo Marekani na washirika wake wanaweza kutumia kwa ajili ya kuidhoofisha Urusi pamoja na uwezekano wa kila mbinu kutimiza lengo hilo.
Kilichonishtua zaidi ni kuona kwamba yale...
Wakati Tanzania ikizozana kuhusu uwajibikaji wa matumizi ya fedha za umma, hebu tutazame hali katika mataifa yanayodai kuwa vinara wa uwazi na utawala bora. Ripoti za hivi karibuni kutoka Marekani zinaonyesha kuwa Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) inashindwa kupitisha ukaguzi wa hesabu...
Yaani Tanzania ni nchi ambayo kila kitu sasa ni fake
Maajabu ya TZ: Chaguzi fake, mikataba fake, mifumo fake, ripoti za Raisi fake na marafiki fake-machawa
Je kuna nchi Dunia hii watu wako fake kama Tanzania
1. Tuna mfumo wa Demokrasia ambao serikali ndiyo inaongoza kudidimiza!
2. Ripoti za...
Ni mwendo wa kula uliwe
Urusi inakadiriwa kuipatia Korea Kaskazini zaidi ya mapipa milioni moja ya mafuta tangu Machi mwaka huu, kulingana na uchambuzi wa picha za satelaiti kutoka kwa Open Source Centre, kikundi cha utafiti kisicho cha faida chenye makao yake makuu nchini Uingereza.
Mafuta...
Hili ni suala linalogusa hisia za wengi, hasa inapokuja kwenye uwajibikaji wa serikali na tija ya Tume zinazoundwa mara kwa mara. Ni kweli kuwa Tume zimekuwa sehemu ya utamaduni wa kushughulikia masuala mazito nchini, lakini mara nyingi matokeo ya kazi zao hayaonekani kufanyiwa kazi kwa kiwango...
Katika siku ya pili ya mkutano #EARACGs, mjini Nairobi, Kamishna Mkuu TRA Bw. Yusuph Mwenda alishiriki pamoja na Makamishna Wakuu wenzake katika uzinduzi wa ripoti ya Utendaji wa Mamlaka za Mapato za Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa mwaka wa fedha 2023/24 pamoja na Ripoti ya...
Ripoti mbali mbali za kila siku ambazo zinaagizwa na wanasiasa lakini hatuambiwi chochote zinaonekana kwa wengi ni fake tu.
Ripoti mpaka za Raisi hazijulikani kama zilitoa au yalikuwa maneno ya kisiasa tu. Uongo ongo kwenye hii serikali umekuwa mwingi sana. Master wa uongo bahati mbaya ndie...
Mwaka 2006 Jengo la Chang'ombe Inn liliporomoka pale Keko!
Wakati huo Serikali ya Awamu ya nne ilikiwa ndio kwanza ya moto.
Chini ya Waziri Mkuu Edward Lowasa iliundwa Tume ! Tume ilifanya kazi na kuwasilisha ripoti yake! Nakumbuka mojawapo ya taarifa ya Tume hiyo ilibainisha kuwa majengo...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limechapisha ripoti mpya kuhusu hali ya Kifua Kikuu (TB) ikifichua kwamba takriban watu milioni 8.2 waligunduliwa hivi karibuni kuwa TB mwaka wa 2023 - idadi ambayo ni kubwa zaidi iliyorekodiwa tangu WHO ilipoanza ufuatiliaji wa TB duniani mwaka 1995.
Hili...
Jana vyombo vya habari vya kimataifa vilitangaza taarifa iliyotolewa na taasisi ya kimataifa ya human right watch juu ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaoendelea nchni. Nimepita magazeti karibu yote habari hiyo haikuandikwa popote. Paskali mara nyingi huwa unajitokeza kutetea wanahabari...
Nchi za Lesotho, Malawi, Namibia, Zambia, Zimbabwe, Angola na Msumbiji zimeripotiwa kukumbwa na hali mbaya ya Upatikanaji wa Chakula, hali inayosababisha takriban Watu Milioni 27 kutokuwa na uhakika wa Chakula.
Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani...
Kumekuwa na utamaduni wa kudanganywa hata na uongozi wa juu. Mama Samia aliomba riport ya kutekwa tekwa kwa watu nchini. Cha ajabu hakuna mtu anaongelea ripoti na wengi kujisahaulisha. Isije ikawa tena tunadanganya danganywa na uongozi wa juu. Chunguzi nyingi za utekaji hazifanyiki maana...
Ripoti ya UNESCO "The Chilling: Global Trends in Online Violence Against Women Journalists" inaeleza kuwa wanawake wanaojulikana hadharani kama waandishi wa habari, watetezi wa haki za binadamu, wanaharakati, na wabunge wanakumbwa na viwango vya juu vya ukatili wa mtandaoni.
Takwimu zinaonyesha...
Wanabodi,
Kama unaishi Tanzania basi bila shaka utakuwa unafahamu kuwa media zetu haziko free kama ambavyo zinatakiwa ziwe.
Suala la kukosoa serikali limekuwa ni nadra sana kusikika kwenye media za Tanzania ambapo media nyingi zimekuwa ni mouthpiece ya chama tawala wakiogopa kuikosoa serikali...