Baada ya subira ya muda mrefu, hatimaye ripoti ya timu ya wataalamu wa Shirika la Afya Duniani, WHO iliyopewa kazi ya kuchunguza chanzo cha maambukizi ya virusi vya corona inatarajiwa kutolewa wiki hii.
Ujumbe huo uliwasili Wuhan mwezi Januari kufanya uchunguzi kwa muda wa mwezi mmoja katika...
Leo Machi 3, 2021 Benki ya Dunia inatoa Ripoti yake ya uchambuzi huru wa hali ya kiuchumi ya Tanzania ikiwa ni toleo la 15.
Jiunge nasi tukikuletea taarifa mubashara.
LIVE:
YouTube:
Facebook:
Salaam za ufunguzi zilizotolewa na Mara K. Warwick, Mkurugenzi wa Benki ya Dunia kwa nchi za...
Benki ya Dunia inatarajia kufanya uzinduzi wa Toleo la 15 la Ripoti ya Hali ya Kiuchumi ya Tanzania “Tanzania Economic Update” kesho tarehe 3 Machi, 2021.
Ripoti hii ya uchambuzi huru wa Benki ya Dunia inaangazia changamoto, mafanikio ya kiuchumi, hali ya umasikini, vipato, rasilimali watu...
Baada ya kusubiriwa kwa miaka miwili, hatimaye ripoti ya Shirika la Ujasusi la Marekani kuhusu kuuawa kwa Jamal Khashoggi imeachiwa siku ya Ijumaa ikionesha kuhusika kwa uongozi wa Saudi Arabia katika tukio hilo.
Ripoti hiyo yenye kurasa nne imemtaja Mwanamfalme wa Saudi Arabia, Mohammed Bin...
Imeripotiwa kuwa mawimbi ya umeme yanaweza kuongeza hatari ya saratani, haswa kwa watoto na vijana.
Kila mwaka, zaidi ya watoto 400,000 na vijana chini ya umri wa miaka 20 hugunduliwa na saratani ulimwenguni.
Kiwango cha kuishi kwa watoto walio na saratani kinashuka kutoka karibu asilimia 80...
Habari!
Mwanasayansi wa nyuklia wa Iran aliyeuawa karibu na mji mkuu Tehran mwezi Novemba mwaka 2020, aliuawa kwa bunduki ya otomatiki iliyoingizwa nchini humo na shirika la ujasusi la Israel Mossad ikiwa katika vipande maalumu, kwa mujibu wa ripoti.
Ripoti ya The Jewish Chronicle kutoka...
Wanabodi, tahadhima kwenu.
Nianze kwa kuwauliza, hivi ni kwa nini viongozi waandamizi wa CCM wastaafu na walioko madarakani hawathubutu kumkosoa Rais Magufuli Mwenyekiti wao? Hivi ni kweli Magufuli yuko kwenye right track kiuongozi kiasi kwamba hatakiwi kukosolewa kwa lolote?
Mara ya mwisho...
UTANGULIZI
Kama nilivyoahidi hapa JF siku chache zilizopita kuwa nitakuja na ripoti kamili ya ziara yangu ya kutembea na kujifunza mkoani Kilimanjaro katika jamii ya kabila la Wachaga wakati wa kwenda kusheherekea sikukuu ya Krismasi na mwaka mpya. Kila kitu kwa ufupi na ufasaha nitakiweka hapa...
RIPOTI YA MAMBO YANAYOENDELEA KATIKA SEKTA YA WAFANYAKAZI WA MAJUMBANI KWA MWAKA 2020
Muandaaji, Robert Heriel
UTANGULIZI
Imekuwa ni kawaida yangu kila mwisho wa mwaka kutoa Ripoti ya kile kinachojiri katika Sekta ya wafanyakazi wa ndani ili kuonyesha yanayoendelea humo, mapungufu na maboresho...
Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (MB) ametangaza kuivunja Bodi ya ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira ya Mji Mdogo wa Rujewa katika Wilaya ya Mbarali, mkoani Mbeya kwa kushindwa kuisimamia ipasavyo menejimenti ya mamlaka hiyo kutimiza majukumu yake kwa ufanisi...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limeripoti kutokea kwa makosa ya jinai 1,791 mpaka kufikia Desemba 2020 ikilinganishwa na makosa 2,189 yaliyoripotiwa katika kipindi kama hicho mwaka jana.
Ripoti hiyo imetolewa leo Desemba 29, na Kamanda wa polisi mkoani humo, Wankyo Nyigesa alipokuwa akizungumza...
Ripoti mpya ya taasisi ya kimataifa ya utafiti wa amani SIPRI yenye makao yake mjini Stockholm, SIPRI imeonyesha kuwa makampuni ya silaha ya China na Marekani yalilidhibiti soko la silaha ulimwenguni kwa mwaka 2019. Lakini pia ripoti hiyo imesema Mashariki ya Kati kwa mara ya kwanza imeingia...
Jana kiongozi mkuu wa chama cha ACT-Wazalenda ndugu Zitto Zubeir Kabwe ameitisha mkutano wa waandishi wa habari na kuelezea mambo mazito ya ukiukwaji wa haki za binadamu wa kutisha uliofanywa na vyombo vya usalama huko Zanzibar.
Akieleza waandishi wa habari yaliyojiri, Ndugu Zitto alitoa...
Hii ni sehemu tu ya reporti ya Building Bridge Intiative (BBI) iliyokabidhiwa kwa Raisi Uhuru Kenyatta katika kipengele cha jinsi ya kumaliza ukabila nchini Kenya
Mimi nawashauri kuwa wapige marufuku matumizi ya lugha za kikabila kwenye public places kama ofisi za serikali,mikutano ya...
In short mawakala kwa kipindi hiki huwa wameajiriwa kwa muda mfupi na vyama vyao kwa posho pengine isiyozidi 20,000, ni wajibu kurudisha ripoti kwa muajiri wao yaani vyama vyao na haiwezi kuwa ni hekima kukataliwa kuondoka na ripoti ambayo ndiyo wametumwa kuisimamia wakashindwa kutekeleza hilo...
Ripoti ya Wizara ya Fedha na Mipango kuhusu utekelezaji wa Serikali ya Awamu ya Tano katika Sekta mbalimbali inaonesha kuwa kumekuwa na ongezeko la asilimia 32 ya idadi ya wanafunzi wanaojiunga na elimu ya msingi mwaka 2020 ukilinganisha na hali ilivyokuwa miaka mitano iliyopita, huku idadi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.