TUNAHITAJI NINI SASA KULINGANA NA RIPOTI YA MKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI.
Ofisi ya Mkaguzi wa Hesabu za Serikali imekuwa ikijitahidi sana kufuatilia matumizi bora ya raslimali za Umma na kutoa taarifa zinazoonesha namna gani raslimali hizo hutumika kwa maslahi mapana ya Taifa hili.
Takwimu...
Na Thadei Ole Mushi.
Someni Ripoti ya CAG, Kuna madudu mengi mno mengine yanatia kinyaa kabisa. Ukurasa wa 70 wa Ripoti hiyo unazungumzia issue ya Kucheleweshwa ujenzi wa kiwanda Cha Pamba kule Simiyu. Naomba kuinukuu hiyo Ripoti neno kwa neno:
"Mnamo tarehe 11 Novemba 2016 Ofisi ya Mkuu wa...
CAG ana kazi kuu mbili ya kwanza kudhibiti na ya pili kukagua, cheo chake anaitwa Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa Hesabu za serikali.
Ninavyomuona anajikita kwenye kukagua mahesabu kuliko kudhibiti. Hiyo ripoti aliyosoma CAG yenye madudu kibao inamhusu, yeye alikuwa wapi kudhibiti yasitokee? Ni...
HII RIPOTI YA CAG TUTAANZA KUKANYAGANA, "SIJUI TUANZE KUMLAUMU NANI"?
Na Elius Ndabila
0768239284
Riporti ya mwaka huu ya CAG inaonyesha kunaubadhilifu mkubwa wa fedha za umma. Rushwa sasa inaonekana imeota mizizi mikuu. Waliokuwa wakikemea rushwa kwa mkono wa kulia, walikuwa wametega mkono wa...
Habari zenu ndugu zang watanzania mliopo humu. Ndugu zang nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana yanayoendelea nchini, hasa kuhusu tuhuma za ufisadi zinazoelekezwa kwa aliyekuwa Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hayati John P Magufuli.
Najua na inajulikana wazi tu kwamba tokea...
Dodoma. Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amewataka wabunge kuchangia Mpango wa Taifa wa Maendeleo kwa kuishauri Serikali kama iendelee na mpango wake wa kununua ndege au isitishe hadi itakapoweka mambo sawa.
Ndugai amesema hayo bungeni mjini Dodoma leo Alhamisi Aprili 8, 2021 kabla...
Ripoti hii ya CAG imeacha Serikali uchi na Waziri Mkuu kiongozi wa shughuli za kila siku za Serikali na msimamizi wa shughuli za Serikali za kila siku anapaswa aachie ngazi mara moja.
Ni aibu kwa madudu haya mpaka sasa upo ofisini, unafanya nini? Ona aibu mwenyewe uchukue hatua kwa heshima...
Niwaambie tu, hawa CCM na serikali yao, japo kwa sasa wanaonekana kugawanyika, ila ukweli ni kwamba wote ni wale wale tu (wapigaji), hivyo msitarajie jipya kutoka kwao zaidi ya maigizo ya kuwahadaa kwa muda na kisha waendelee kulindana.
Ripoti za CAG tangu enzi za Kikwete ni madudu matupu, na...
Sisi wana wa maskini tuna miaka takribani 6 sasa mtaani bila ajira baada ya kuhitimu vyuo. Wanatwambia wanajenga uchumi imara kwanza ndipo watuajiri.
Kumbe kujenga uchumi ndiko huku? Mamilioni kwa Mabilioni kwa matrilioni, wametafuna. Sisi tunateseka mtaani bila ajira,huku HESLB nao...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), chama cha siasa ambacho kimeshikilia rekodi ya dunia ya kushambuliwa na serikali, kimeonekana na CAG kuwa chama kinachozingatia weledi katika matumizi ya pesa zake, na hivyo kuudhihirishia ulimwengu kuhusu umakini wa viongozi wake, jambo...
Siku ya leo sijui tuuiteje huko; Mbaya? Au nzuri sana?
Ripoti ya mkaguzi mkuu wa serikali inayoendelea kusomwa muda huu si kwamba tu inawaweka CCM na watetezi wa mwendazake kwenye wakati mgumu sana, lakini tayari imechefua wananchi wengi kwa kiwango kisichomithilika.
Madudu ya SHUJAA WA AFRIKA...
Nimepewa dokezo kwamba leo CAG atawasilisha ripoti yake Bungeni.
Japo naona taarifa hazijawekwa wazi sana lakini tusubiri muda sio mrefu kila kitu kitakuwa wazi.
Hali ni mbaya sana kwa TAMISEMI na Halmashauri zake. Kuna wizi na uozo mkubwa sana utawekwa wazi.
Usiondoke
Japan nchi za Umoja wa Ulaya na Marekani zimesema wanasayansi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) walichelewa kufuatilia asili ya Virusi vya Corona.
Aidha wamesema hawakupewa ushirikiano wa kutosha na China kwa kuwa walinyimwa uwezo wa kupata taarifa sahihi za ugonjwa huo. Hivyo wanaona ni vyema...
Ripoti ya pamoja ya shirika la afya duniani WHO na China kuhusu chanzo cha mlipuko wa COVID-19, inaonyesha kwamba maambukizi kutoka kwa popo kwenda kwa binadamu huenda yalipita kwa mnyama mwingine na sio kutoka maabara.
Ripoti ya pamoja ya utafiti wa shirika la afya duniani WHO na China...
Baada ya CAG kuwasilisha ripoti ya mahesabu ya mwaka 2019/ 2020 tumeambiwa kuwa kuna hasara ya Tsh 60 Bilion kwa ATCL. Na kwamba hata miaka ya nyuma ATCL ilikuwa inapata hasara kila mwaka kinyume na Magufuli alivyotuaminisha. Naamini Charles Kicheere alikuwa na uhuru wa kutosha mwaka huu kuliko...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Edward Kichere leo tarehe 28 Machi, 2021 amemkabidhi Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ripoti za ukaguzi kwa mwaka wa fedha unaoishia tarehe 30 Juni 2020 katika halfa fupi iliyofanyika Ikulu...
Tukiweka itikadi pembeni, kiukweli pale bungeni simuoni mtu mwenye uwezo wa kuichambua ripoti ya CAG kama walivyokuwa Zitto Kabwe, J J Mnyika, James Mbatia na Tundu Lissu.
Kuwa mwanasiasa mzuri ni jambo moja lakini kuwa mwanasiasa " mahiri" ni jambo lingine kabisa.
Hao niliowataja unapofika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.