Ongezeko la idadi ya watu pamoja na joto ulimwenguni ni sababu zinazotajwa kuongeza joto mijini, matatizo ya kiafya na kufanya iwe vigumu kuhamia maeneo ya mijini hasa katika mataifa maskini, kulingana na utafiti mpya.
Ripoti hiyo iliyochapishwa na jarida la Chuo cha Taifa cha Kisayansi...
Kundi la Wanasayansi wa Kimataifa limesema Chanjo za nyongeza (Booster shots) dhidi ya Virusi vya Corona hazihitajiki kwa Umma katika hatua hii ya mlipuko na ushahidi zaidi unahitajika kuzihalalisha
Wameeleza hayo katika Ripoti iliyochapishwa na Jarida la The Lancet ambapo pia wamesisitiza...
Baada ya kuungua kwa Soko la kariakooo yalisemwa mambo mengi ikiwemo hujuma au kuunguzwa kwa makusudi kwa soko husika. Lakini Waziri Mkuu aliunda Tume ya Uchunguzi na akawapa maagizo ya kumletea report ndani ya wiki mbili.
Kama ilivyo ada report iliwasilishwa ndani ya wiki mbili => Waziri Mkuu...
Shirika la Haki za binadamu la Amnesty limesema mashambulizi yameongezeka Magharibi mwa Niger tangu mwaka 2021 kuanza, huku idadi ya Watoto wanaolengwa ikiongezeka
Watu zaidi ya 500 wamepoteza maisha katika Mkoa wa Tillaberi ambao unapakana na Nchi za Mali na Burkina Faso kuanzia Januari 01...
06 September 2021
Morogoro, Tanzania
LHRC YAWASILISHA RIPOTI YA UTAFITI WA SHERIA YA MWENENDO WA MAKOSA YA JINAI NA UHUJUMU UCHUMI, YALIA
WASHIRIKI kutoka taasisi za Serikali, viongozi, wahadhiri vyuo vikuu UDSM na UDOM, Asasi za Kiraia, walimu wa vyuo vikuu pamoja na waandishi wa habari...
Ripoti ya Jukwaa la Uchumi Duniani 2021 (World Economic Forum) ya pengo la Jinsia imeeleza kutokana na athari za mlipuko wa COVID-19 inaonyesha kuwa madhara ya kiafya na mtikisiko wa kiuchumi umeathiri zaidi wanawake kuliko wanaume, hivyo kizazi kingine cha wanawake kitalazimika kungojea usawa...
Mwenyekiti wa NEC, Jaji mstaafu Semistocles Kaijage, Agosti 21 akiwasilisha ripoti ya Uchaguzi Mkuu 2020 kwa Rais Samia alitoa mapendekezo saba ya kufanyiwa kazi, likiwemo la kuanzishwa kwa Sheria ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambayo itawapa meno zaidi.
Mapendekezo ya NEC ya kutaka ianzishwe...
Wakuu, natumai hamjambo!
Mbali na CHADEMA, walioonesha nia ya dhati ya kutoshiriki hafla ya kukabidhi report ya uchaguzi 2020 inayotarajiwa kufanyika Leo , tar 21/8/2021, Vyama vya ACT na NCCR, vimetoa misimamo yao ya kutohudhuria hafla hiyo kwa madai mwaka 2020 hakukua na uchaguzi.
Kwa...
Ripoti iliyotolewa Agosti 9 na jopo la kimataifa kuhusu mabadiliko ya tabia nchi (IPCC), imetoa tahadhari kuwa mabadiliko ya tabia nchi yanayoendelea kutokea duniani yanaweza kuchukua maelfu ya miaka kurudi katika hali ya kawaida. Lakini pia ripoti hiyo hiyo imetoa matumaini kuwa kama juhudi za...
Tangu janga la moto, waziri mkuu aliunda kamati ya uchunguzi akaipa wiki moja, then ikaongezewa wiki ya pili!
Hivi sasa mwezi umepita bado kimya, Je tuendelee kusubiri report au LAH?
Leo Tarehe 29 Julai, 2021 Benki ya Dunia inazindua Toleo la 16 la Ripoti ya Hali ya Kiuchumi ya Tanzania, yaani "16th Tanzania Economic Update"
Toleo la Hali ya Kiuchumi Tanzania huchapishwa mara mbili kwa mwaka na Benki ya Dunia, likiwa na lengo la kutoa mtazamo wa uchumi wa ndani wakati pia...
Serikali ya Rwanda imetangaza marufuku ya kutoka nje ya muda wa siku 10 katika mji mkuu wa Kigali na wilaya nane baada ya ripoti za vifo na wagonjwa wa corona kuongezeka.
Watu wametakiwa kutotoka nje ya nyumba zao kuanzia Jumamosi tarehe 17 mpaka tarehe 26 Julai, ili kuzuia maambukizi ya virusi...
Leo napenda kuwatonya wanawake kuwa wawe Makini na wanaume kwa sababu zifuatazo.
Gazeti la Independent lilichapisha Ripoti iliyo tolewa na UN mwaka 2019.
Ripoti hiyo ilijumuisha idadi ya watu duniani na kufafanua kama ifuatavyo.
1- Ripoti ilionyesha kuna jumla ya watu Billion 7.8 duniani...
Mtandao wa simu wa Halotel umekuja na njia rahisi ili kuripoti utapeli.
Piga *148*90# kisha chagua lugha.
Baada ya lugha chagua tena njia moja wapo
Baada ya hapo ingiza namba ya tapeli
Mfano 062xxxxxxx kisha tuma.
Mamlaka Ya mawasiliano Tanzania (TCRA) imewaomba wanachi kuripoti utapeli wowote unao fanywa kwa njia ya mitandao kwa kutuma aina ya message na namba iliyo tumika kufanya utapeli kwenye namba 15040.
Utapeli huo ni wa Aina yeyote hata ule unao andika "...Ile pesa itume kwenye namba..."
Au...
Ripoti hii inahusisha utazamaji wa video zote za kazi zao zote za Youtube mpya na za zamani, kuna wengine hawajatoa kazi muda mrefu ila bado watu walikuwa wanacheki kazi zao za zamani.
Namba hazidanganyi, kama mnavyoona lebo ya WCB wasanii karibu wote wamo, kwa upande wa lebo nyingine labda...
Rais Samia alikabidhiwa ripoti hiyo kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, kama alivyoagiza uchunguzi ufanyike wa fedha zilizotolewa benki hiyo kati ya Januari na Machi, mwaka huu.
Wakitoa maoni yao baada ya kuzungumza na Nipashe jana kwa nyakati...
Hii ni moja ya habari katika magazeti ya leo na pia iko mitandaoni, hivyo wacha tusubiri hiyo kesho kusikia kilichomo katika hiyo ripoti.
Swali ni je, ripoti hiyo itajibu maswali watu waliyonayo au ndio itaongeza maswali na pengine kukatisha watu tamaa?
Kuna mtu ukimuona amehudhuria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.