ripoti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. YEHODAYA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sehemu ya Ripoti ya BBI ya Kenya jinsi ya kumaliza ukabila naiweka Watanzania tusome Tuwashauri hapa

    Hii ni sehemu tu ya reporti ya Building Bridge Intiative (BBI) iliyokabidhiwa kwa Raisi Uhuru Kenyatta katika kipengele cha jinsi ya kumaliza ukabila nchini Kenya Mimi nawashauri kuwa wapige marufuku matumizi ya lugha za kikabila kwenye public places kama ofisi za serikali,mikutano ya...
  2. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Vyama vyote vinatuma mawakala vituoni ili kwenda kukisimamia chama husika na kurudisha ripoti

    In short mawakala kwa kipindi hiki huwa wameajiriwa kwa muda mfupi na vyama vyao kwa posho pengine isiyozidi 20,000, ni wajibu kurudisha ripoti kwa muajiri wao yaani vyama vyao na haiwezi kuwa ni hekima kukataliwa kuondoka na ripoti ambayo ndiyo wametumwa kuisimamia wakashindwa kutekeleza hilo...
  3. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Ripoti Maboresho kwenye Wizara ya Elimu 2015-2020

    Ripoti ya Wizara ya Fedha na Mipango kuhusu utekelezaji wa Serikali ya Awamu ya Tano katika Sekta mbalimbali inaonesha kuwa kumekuwa na ongezeko la asilimia 32 ya idadi ya wanafunzi wanaojiunga na elimu ya msingi mwaka 2020 ukilinganisha na hali ilivyokuwa miaka mitano iliyopita, huku idadi ya...
Back
Top Bottom