Sir Keir Starmer atakuwa waziri mkuu ajaye wa Uingereza baada ya Rishi Sunak kukubali kushindwa katika kukabiliana na chama cha Labour.
Waziri Mkuu Sunak alisema wapiga kura wametoa "uamuzi wa kutisha" juu ya chama chake baada ya miaka 14 madarakani.
Kiongozi wa chama cha Labour Sir Keir...
Wananchi wa Uingereza leo wanapiga kura katika uchaguzi mkuu wa kuchagua Waziri Mkuu na Wabunge.
Wagombea wanaopewa nafasi kubwa ya kushinda ni Waziri Mkuu wa sasa Rishi Sunak kutoka Chama cha Conservative na Keir Starmer kutoka Chama cha Labour.
Vyombo vya habari vingi vimetabiri kuwa Chama...
Afisa wa polisi anayefanya kazi kama sehemu ya timu ya ulinzi wa karibu ya Waziri Mkuu Sunak amekamatwa kwa madai ya kufanya kamari kuhusu muda wa uchaguzi mkuu, BBC imebaini.
Kwa kuwa mlinzi wa Waziri Mkuu ni mtu wa karibu na inawezekana alisikia maongezi ya ya Sunak kuhusu tarehe ambayo...
As Rishi Sunak and Keir Starmer faced their first head-to-head debate of the election campaign, all eyes were on how they would perform.
But cybersecurity experts at Cardiff University working with ITV News noticed a collection of accounts with "unusual behaviour" on TikTok pushing support for...
Huku ikielezwa umebaki muda mfupi jeshi la Israel lianze kujingia Gaza kupigana mitaani na wapalestina,waziri mkuu wa Uiengereza naye ametua uwanja wa Ben Gurion kuonana na waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu.
Hiyo ni siku moja tu tangu kumalizika kwa aibu kwa ziara ya rais wa Marekani...
Rishi Sunak, (42) ameshinda Kura za Uongozi wa Chama cha Conservative na atakuwa Mhindu wa kwanza na Mtu wa kwanza ‘wa rangi’ kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza
Sunak anakuwa Kiongozi mwenye Umri Mdogo zaidi kushika Wadhifa huo kwa zaidi ya Miaka 200 na Waziri Mkuu wa 3 wa Nchi hiyo Ndani ya Miezi...
Boris Johnson ajiondoa kwenye kinyang'anyiro cha kumtafuta Waziri Mkuu mpya
Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Boris Johnson Jumapili alijiondoa katika kinyang'anyiro cha kumrithi Liz Truss kama kiongozi wa nchi hiyo inayoendelea kukabiliwa na misukosuko ya kisisasa.
Johnson alisema wabunge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.