Unamleta Dar demu kutoka Arusha, umemlipia tiketi ya ndege go and return, umelipa hoteli chumba super deluxe 150,000/, maandalizi kibao umeyafanya ambayo yamegharimu hasa kipato chako.
Umeenda airport kumpokea mchuchu, mashamsham kibao, halafu demu anakwambia ameanza kubleed wakati wa take off...