rivers united

  1. Kilenzi _Jr

    Niliyoyaona katika mechi ya Yanga vs Rivers United

    Binafsi nimeona haya Mosi: Yanga walianza kucheza kimasihara, na kuwachukulia poa Rivers united, walicheza kama vile wanacheza ndondo. Nilirudi sasa kwenye ufundi Rivers walianza na Viungo 5 wenye uwezo mkubwa wa kukaba. Yanga ilianza na kiungo mkabaji mmoja ambaye ni Zawadi Mauya, na...
  2. K

    KIlichowaponza Yanga mechi dhidi ya Rivers united chabanika...

    Maandalizi hafifu ndani ya uwanja huku nguvu kubwa ikiwekwa katika kutimiza malengo ya wadhamini ambayo ni kuuuza bidhaa zao kwa kuwekeza zaidi katika njia ambazo kwao walizani zitaweza kutangaza bidhaa za Club zaidi na sio uwanjani... Vingozi wa Club Yanga kuingiliwa katika unendeshaji wa Club...
  3. P

    Yanga vs Rivers United (0-1) | CAFCL | Uwanja wa Mkapa Dar es Salaam

    UPDATES 00' Kipenga kinapulizwa kuashiria mwanzo wa mchezo na Yanga inaanza kwa kushambulia lango la Rivers, hata hivyo shuti linapaa juuu. 03' Rivers wanafika lango la Yanga, Adeyum katika jitihada za kuokoa anagongana kichwa na mchezaji wa Rivers 05' Ukwa Nelson anaingia lango la Yanga kwa...
  4. OKW BOBAN SUNZU

    Rivers United tumetua Dar mapema, kupata kamseleleko

  5. N

    Rivers United tumeuza mshambuliaji Sweden

    IGWEEEE! Mshambuliaji wetu Godwin Aguda kasajiliwa na team ya Falkenberg inayoshiriki ligi daraja la kwanza huko Sweden,tunamtakia kila la kheri katika maisha yake mapya ya kisoka Vilevile Nitaendelea kuwajuza maendeleo ya team katika michuano maalumu ya kujipima nguvu inayofanyika huko Benin...
  6. N

    Rivers United tumesajili majembe mawili

    Habari njema kwetu mashabiki wa Rivers United tumesajili majembe mawili ya kazi, karibuni sana kutoa comments zenu msisahau pia tuko katika michuano maalumu inayofanyika huko Benin ikishirikisha top clubs za west africa kujiandaa na klabu bingwa, matayarisho ni muhimu sana Tumemsajili Branabas...
  7. N

    Rivers United yamsajili Nyimwa Nwagua

    Habari njema kwetu mashabiki wa Rivers utd ya Nigeria, tumemsajili striker refu linalotisha liitwalo Nyimwa Nagua kutoka klabu kubwa ya kano pillars hili jamaa liliwahi kupiga kona na kuiwahi kabla hajafika kwenye six yard likapiga kichwa lilishawahi kupiga shuti likavunja goal post, kuna kipa...
Back
Top Bottom