Binafsi nimeona haya
Mosi:
Yanga walianza kucheza kimasihara, na kuwachukulia poa Rivers united, walicheza kama vile wanacheza ndondo.
Nilirudi sasa kwenye ufundi
Rivers walianza na Viungo 5 wenye uwezo mkubwa wa kukaba.
Yanga ilianza na kiungo mkabaji mmoja ambaye ni Zawadi Mauya, na...