robo fainali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Wana simba tukiingia robo fainali CAFL mwaka huu tuchinje tembo kabisa na kufanya party kubwa

    Yes ndiyo nimesema kwa sababu ya mechi ya utopolo, nimegundua tu kwamba mzungu wetu ni very stubborn yaani ana ka system chake fulani hakana plan b Tusijipe ugonjwa wa moyo kwamba eti nusu fainali WE SHOULD FORGET ABOUT IT hii ngoma inaweza kufia makundi kabisa hata robo fainali tukifika tuombe...
  2. Joseverest

    Full time: Robo fainali Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 3-0 Kaizer Chiefs | Benjamin Mkapa National Stadium - Mei 22, 2021

    Naaaaaaam Barabara kabisa... Karibuni wapendwa wanamichezo katika mpambano wa kukata na shoka kati ya Simba ya Tanzania dhidi ya Kaizer chiefs ya Afrika Kusini, mechi hii ni ya mkondo wa pili baada ya ile ya kwanza kuchezwa Afrika kusini jumamosi iliopita 15/5/2021 ambapo Matokeo yalikuwa...
  3. homeless1

    Robo Fainali CAFCL: Simba Sc kukutana na Kaizer Chiefs

    Leo ni siku iliyosubiriwa kwa hamu na wapenda kandanda Africa baada ya kuisha hatua ya Makundi ya michuano ya klabu bingwa Africa na Kombe la shirikisho Africa Kuelekea kupangwa kwa droo ya robo fainali kaa nami upate live updates ujue nani kakutana na nani na mechi zitachezwa kuanzia lini...
Back
Top Bottom