Nianze Kwa kutaja miamba iliyoondoka chadema na sifa zao na hawakutakiwa kutoka!
David silinde, huyu jamaa alikuwa jemedari wa nyanda za kusini aliishika sana Tunduma, sijajua kwanini CHADEMA waliruhusu mazingira yamuondoe!
Dr. slaa, huyu aliishika nchi kisawa sawa, watu hawakuwa wanaogopa...