roho

Rohō Yukio (born March 9, 1980 as Soslan Feliksovich Boradzov, Russian: Сослан Феликсович Борадзов, in Vladikavkaz, Republic of North Ossetia–Alania in the Russian Federation) is a former sumo wrestler. The highest rank he achieved was komusubi. His younger brother is also a former sumo wrestler, under the name of Hakurozan. In September 2008 both were banned from the sport for life after testing positive for cannabis.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Roho inaniuma vile nahukumiwa kwa kitu ambacho sijawahi fikiria kumfanyia huyu

    Poleni na majukumu wakuu, NAHITAJI ushauri wenu Kwa hili..,Mimi nipo na mrembo wangu kwa muda Sasa alienivumilia kwa mengi na tumedumu karibun miaka miwili.ni msichana alienipenda kwa dhati na Hilo nilidhihirisha baada ya kunikuta Sina mbele Wala nyuma lakin hakujali, na hata ingetokea nina...
  2. Unique Flower

    Watanzania acheni roho mbaya

    Yaani watanzania wana roho mbaya nyie. Mtu eti anamwomba mtu msaada basi hawezi kumpa mpaka amzungushe au adai penzi. Acheni hii tabia itawacost nyie. Nipo sure hizi roho za kwanini zitawacost. Nimesema ukweli nasio uongo. Mwanaume mzuri wakila kitu na bado anaroho mbaya kutoa usaidizi ni...
  3. Jidu La Mabambasi

    Mniambie kama si roho mbaya kuvunja Bilicanas, basi ni nini?

    Ukumbi huu ulikuwa mzuri na wa kiasi chake miaka hiyo. Mara ikatoka amri kulivunja jengo, kupiti NHC na aliyetoa taamko ni Mchechu, Mkurugenzi Mkuu wake. Jengo lilikuwa la kihistoria na Club Bilicanas ilikuwa yavuti hata watalii kw ajili cafe yake ya Hard Rock. Nimepita hapo leo, ni parking...
  4. K

    Watu wenye roho za kikatili waumizwa na Mdude kuwa huru

    Hukumu ya mahakama iliyomweka Mdude huru imewaumiza watu wasio na roho ya kibinadamu wanaoamini kwenye kukandamiza wenzao. Mashambulizi yao mitandaoni yanadhirisha kwamba walitamani aendelee kuozea ndani kitu ambacho siyo sahihi. Wapo waliojinasibu kumchangia kumbe hakuna mchango wamewahi kutoa...
  5. GENTAMYCINE

    Mwaka huu ( 2021 ) Israeli Mtoa Roho anaupiga mwingi sana kwa wenye Majina yao nchini Tanzania

    Nimekutana na bonge la Foleni Daraja la Kijazi wakati nikitokea Stendi ya Magufuli ili niwahi kupita Daraja la Mfugale kuelekea Nyumbani tayari kwa Kujiandaa na Safari yangu ya kwenda Mkoani Dodoma Kesho ili nikatembelee pia Soko la Ndugai ambalo nasikia kutokana na lilivyoharibika japo...
  6. jitombashisho

    Kwanini binadamu yeyote mwenye roho na matendo mema kifo humpata mapema?

    Ulishafanya utafiti kwako na kama bado nashauri ufanye. Ipo hivi watu wenye roho na matendo mema huwa ni vigumu mno kuzidi umri wa 50+. Wengi wao hufariki chini ya umri huo na kawaida vifo vyao huacha simanzi kuu! "...baba wa watu alikuwa mwema ama kijana wa watu ndiyo kwanza ameanza maisha...
  7. F

    Kuna wanawake hata ukiwahonga mamilioni roho haiumi

    Habari wadau Katika harakati za maisha.. nimehudumiwa na mama lishe graduate .. yaani mpaka nimemuonea wivu bwana wake.. Kizazi hiki cha slay queens binti kama huyu haitaji maswali mengi kumvalisha shela na kama una mahela unamuwezesha mpaka amiliki kempiski yake ama hata ukumbi wa maharusi...
  8. Mmawia

    Tulia Ackson (Mbunge wa Mbeya Mjini) Roho inamsuta

    Waswahili wanasema ukizoea vya kunyonga basi siku ukiambiwa kuchinja utaona unaonewa. Sisi wananchi wa Mbeya hatujawahi kuikubali CCM tangu tulipopatiwa option ya nini cha kuchagua kati ya chama cha viongozi na chama cha watawala. Tulia jitazame na ujitafakali kwa hiyo nafasi yako ndani ya...
  9. T

    Je, Mapambano ya Wanaharakati na Diamond yana faida kwa nchi?

    Huu ni wito kwa Tuzo za BET zinazoendeshwa na kutayarishwa na Black Entertainment Television (BET) kumzuia Diamond Platnumz kushiriki tuzo. Movement #ChangeTanzania started this petition to bet awards and 3 others Hadi 8/6/2021 saa 02;00 Asubuhi, 19,566 have signed. Let’s get to 25,000...
  10. Kiume3000

    Roho inauma, mwili unaona nafsi Inakata tuombane radhi

    Kwenye nukta ya somo hapo nafafanua. Niombe Radhi Sana kwa yeyote niliyemkwaza. Sio aina ya mtu mwenye Roho mbaya, ingawa wakati mwingine naona kama Kuna jambo halijakaa sawa hapo moyo unauma na kuanza kujilaumu na kulaumu wengine. Nafsi inapoona haki haijatendeka, moyo unauma, unauma sana...
  11. jiwe gizani

    Mtu anapoomba maji baada ya ajali na ukampatia, ni nini kitamtokea?

    Habarini wananzengo, Nimeshuhudia baadhi ya visa vya watu kuomba maji wakiwa hoi sana wengi wao ikiwa ni baada kupata ajali. Kuna jamaa alianguka kutoka kwenye mti akawa analia apewe maji lakini hakuna mtu aliyempa. Mwengine aligongwa na gari akawa analia huku akisema"naombeni maji, majii tu"...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    Usafi wa Mwili vS Usafi wa Roho; Funguo no 3

    USAFI WA MWILI NA ROHO, FUNGUO NO 2. Kwa Mkono wa, Robert Heriel Andiko hili ni moja ya maandiko ya msingi, ambayo sharti uyazingatie. Usijesema mimi Baba yako, sikukwambia. Jumbe hii isomwe wana na binti zangu, na rafiki zao, na familia zao, na jamaa, pia ikiwapendeza na wote waishio...
  13. M

    Jeshi la Israel lahuzunika sana kulikosakosa gaidi la Hamas lenye roho Tisa kama ya paka

    Akizungumza kwa masikitiko sana mkuu wa majeshi wa Israel southern command Eliezer Toledano amesikitika kwa kumkosa kumuua mara mbili wiki iliyopita gaidi bishi la Hamas Mohammed Deif, 55 pichani hapo chini. Deif ambaye ni gaidi zoefu ameponea na kukoswakoswa kuuawa mara kadhaa 2011, 2013...
  14. M

    Tafadhali hizi Kanzu Nyeupe nyingi Mitaani leo zifanye hata Roho zetu ziwe Nyeupe kwa Mungu hadi Funga ijayo 2022

    Ni matumaini yangu makubwa Krav Maga hivi ninavyopishana na Kanzu nyingi nyeupe Mitaani leo basi hata Wahusika nae kwa Miezi 11 ijayo nao Roho zao zitakuwa Nyeupe hivyo hivyo. Ushauri wa bure wengine ambao huwa hampendi Kuvaa Kanzu au hamjazoea Kuzivaa basi muanze Kuchukua Mazoezi taratibu ya...
  15. B

    Ukipata matatizo watu wakafanya sherehe bila kuwepo wanaosikitika na wewe Basi una roho mbaya na katili

    Paul Makonda toka ametumbuliwa hakuna mtu aliyewahi kujitokedha adharani kusikitika kuondoka kwake, hata Wana CCM wa ngazi zote hawakuwahi kusikitika naye si mitandaoni Wala adharani. Huyu mtu ana roho mbaya na si mtendaji wakikabidhiwa watu aongozi. Ole Sabaya ametumbuliwa leo hadi Bukoba...
  16. mediaman

    Ee Mungu iweke roho yake mahali pema peponi

    Ooh, ni huzuni, ni majonzi, ni maombolezo. Mwenzetu ametutoka akiwa bado kijana. Alikuwa mwema sana, tena mkarimu. Hakupenda ugomvi, fitina wala chuki. Hakuwa mchoyo wala bahili. Wote waliokuwa wakimuomba awakopeshe pesa, walipewa mikopo tena bila masharti. Na wale walioshindwa kurudisha mikopo...
  17. Chizi Maarifa

    Ile roho ya Nyerere kutojilimbikizia Mali na kutotapanya Aliitoa wapi? Mbona baada ya yeye tunapata Marais majanga tu?

    Roho ya kujitosheleza,kutotaka Makuu na kutojilimbikiza Mali. Hii roho nyerere aliitoa wapi? Zama zile nadhani Nyerere angekuwa amejilimbikizia Mali nyingi na Familia yake au Ukoo ungekuwa moja ya Koo Tajiri sana Tanzania au Africa. Lakini tunaona watoto wake wanapambana wao kama wao walisoma...
  18. D

    Ushauri: Nina roho ya kusaidia watu na kufuja pesa

    Vipi ndugu zangu naitaji msaada wa ushauri kutoka kwenu. Mimi Ninafanya kazi ambayo inanilipa pesa nzuri tu dollar za Canada 1900 sawa sawa na milioni tatu na zaidi za Kitanzania. Lakini ndugu zangu mimi nimesumbuliwa na shetani wa kusaidia watu kitu ambacho kinaniingiza katika hasara kila...
  19. Analogia Malenga

    Afungwa jela kwa kuwapiga picha polisi wakikata roho

    Mwanaume mmoja nchini Australia amehukumiwa kifungo cha miezi 10 gerezani kwa kosa la kuwadhihaki na kuwapiga picha maafisa wa polisi wakati wakiwa wanakata roho katika ajali. Mwezi uliopita Richard Pusey alikutwa na hatia katika shitaka ambalo si kawaida kutokea kwa kusababisha hasira kwa umma...
  20. Bata batani

    Roho inaniuma nimetimiza miaka 35 sina mtoto wala maisha

    Roho inaniuma jamani leo nimetimiza miaka 35 kamili sina mtoto wala sina maisha licha ya kutumia miaka 10 katika kupambana na maisha. Uzee sasa umepiga hodi taratibu hapa nilipo nahisi naanza kuchanganyikiwa kwa umri huu mpaka leo hii naishi maisha ya kubangaiza nipate hela ya kula miaka 35...
Back
Top Bottom