USAFI WA MWILI NA ROHO, FUNGUO NO 2.
Kwa Mkono wa, Robert Heriel
Andiko hili ni moja ya maandiko ya msingi, ambayo sharti uyazingatie. Usijesema mimi Baba yako, sikukwambia.
Jumbe hii isomwe wana na binti zangu, na rafiki zao, na familia zao, na jamaa, pia ikiwapendeza na wote waishio...