Kwanini nasema life is spiritual..
Kila jambo linaanzia rohoni
Usipoishugulisha akili (nafsi) yako kujua hivi vitu jiandae kuwa mtumwa, tena mtumwa haswa
Mtumwa wa mapenzi, mtumwa kifedha, na mtumwa kimaamuzi.
Mtu ni
i. Roho +
ii. Nafsi +
iii. Mwili.
Akili (mind) inakaa katika Nafsi, na...