Sijui nani amemcopy nani, ila kuna chuma nimeiona mitaa ya matajairi bwana, inaitwa Toyota Century 2023. Kwa mbali nikajua ni Rolls Royce Cullinan kumbe ni mali ya Wajapan aisee.
Hii chuma ni SUV, engine 3.5L 2GR V6, model code yake ni G70, (sedan yake ndio G60). Unaweza angalia picha jinsi...