Unahonga bil 10 ku support viongozi wabovu. Ili uendeshe ma Rolls Royce. Utayapitisha barabara zipi?

Unahonga bil 10 ku support viongozi wabovu. Ili uendeshe ma Rolls Royce. Utayapitisha barabara zipi?

LUCHESI

Member
Joined
Nov 18, 2025
Posts
72
Reaction score
197
Hawapeleki hela Road Fund, wanazitafuna kwa kuishi kwa kufuru kwa hela ya serikali.

Zinazofika zinajenga kitu cha mwaka mmoja.

Usimamizi wa ukarabati hakuna. Uongozi mbovu.

Umewapa hela za kampeni ili na wao walinde biashara zako corrupt. Dili zako have to be corrupt kwa saab kwa nn unawahitaji? Bill Gates hahongi serikali biashara zake ziende.

Hayo ma Phatom Royce Rolls mtayapitishia wapi sasa ?

Nilidhani Waarabu na Waajemi na Wa Syria mna akili kuzidi mtu mweusi ndiiiii.

Mbona sasa ni yale yale vichwani?
 
Hawapeleki hela Road Fund, wanazitafuna kwa kuishi kwa kufuru kwa hela ya serikali.

Zinazofika zinajenga kitu cha mwaka mmoja.

Usimamizi wa ukarabati hakuna. Uongozi mbovu.

Umewapa hela za kampeni ili na wao walinde biashara zako corrupt. Dili zako have to be corrupt kwa saab kwa nn unawahitaji ???? Bill Gates hahongi serikali biashara zake ziende.

Hayo ma Phatom Royce Rolls mtayapitishia wapi sasa ?

Nilidhani Waarabu na Waajemi na Wa Syria mna akili kuzidi mtu mweusi ndiiiii...

Mbona sasa ni yale yale vichwani ??? ???
Utaambiwa sisi ndio tunaongoza kwa matajiri nchini.

ChoiceVariable (Dogo my take)

adriz de mbusii
 
Mwaka jana spending cap kwa mgombea Urais ilikuwa bil 2. Sheria ya Kikwete, mwaka 2010,
CAP 278.

CCM wakaitisha fund raising event yenye malengo ya kukusanya bilioni 100.

Siku moja kabla ya fund raiser waandishi wakamuuliza Katibu Mkuu Nchimbi, hapo vipi, imekaaje kisheria hiyo ?

Emannuel Nchimbi akajibu akasema si kazi ya CCM ku enforce sheria za matumizi ya hela kwenye kampeni.

Kesho yake watu wakaja Mlimani City, wakamwaga bilioni kumi kumi!

Ili kulainisha mapito machafu ya biashara zako.

Halafu unatembea na kanzu nyeupe umekunja mikono kama mtakatifu!

Unashuka kwenye Rolls Royce. Limepita njia za vumbi. Viongozi corrupt uliowasapoti wamehujumu mradi wa barabara. Wewe unaona ni utu huo ?
 
Huyu mama apumuzishwe sasa.

Anafanya watu tuwe nchi isiyoeleweka. Hakuna dila wala nini.

Kwa sasa ukiulizwa serikali yake inasimamia nini ni hakuna, Kila kitu kiko autopiloted.
 
Back
Top Bottom