Ibrahim Mussa, commonly known as Roma Mkatoliki, is a Tanzanian artiste, political activist, and member of Rostam, a hip hop group from Tanzania.Aside from being a member of Rostam, he is also pursuing a solo career. Some of his hit releases include Anaitwa Roma, Mkombozi, to mention a few.In 2007, Roma was kidnapped alongside other artistes at the studio. An incident that fans claimed it was staged for popularity.
Ukifika mji mkuu wa italy Rome kuna jengo maarufu liko kama uwanja wa mpira linaitwa colloseum. Jengo hilo lilijengwa AD 70-80 kama miaka 1940 hivi iliyopita.
Maana yake ni kwamba baada ya miaka kama 70 hivi kupita toka yesu kristo kupaa mbinguni. Najiuliza sana wakati haya yanafanyika kule...
Askofu Mkuu Renatus Leonard Nkwande, wa Jimbo Kuu la Mwanza, nchini Tanzania
Usuli
Ifuatayo ni Barua ya Kichungaji kuhusu Maadhimisho ya Sinodi ya 16 ya Maaskofu Katoliki.
Sinodi hii, inanogeshwa na kauli mbiu isemayo, “Kwa ajili ya Kanisa la Kisinodi: Umoja, Ushiriki na Utume.”
Maadhimisho...
KATIKA karne ya tano ilitokea sintofahamu katika Kanisa Katoliki Jimbo la Hippo, eneo hilo leo linaitwa Annaba, nchini Algeria, lililokuwa likiongozwa na Mtakatifu Augustine. Mtafaruku huo umeacha alama na funzo kubwa kwa jamii yetu hata leo.
Katika mafundisho ya Kanisa na kwa mtazamo wa Mt...
KUELEKEA 2025, ROMA LOCUTA, CAUSA FINITA!
KATIKA karne ya tano ilitokea sintofahamu katika Kanisa Katoliki Jimbo la Hippo, eneo hilo leo linaitwa Annaba, nchini Algeria, lililokuwa likiongozwa na Mtakatifu Augustine. Mtafaruku huo umeacha alama na funzo kubwa kwa jamii yetu hata leo.
Katika...
Profesa J na Ney wa Mitego walijitokeza hadharani kuonyesha masikitiko yao na kupinga Roma Mkatoliki Kutekwa Yeye na watu wengine pale Studio, na walipaza sauti zao ili arejeshwe akiwa hai.
Jambo hili lilimfanya aliyekuwa RC wa Dar es Salaam Paulo Makonda kutangaza kwamba Roma atarudishwa kabla...
William Tyndale alikuwa mwanatheolojia Mwingereza, kasisi ya kanisa na mtaalamu aliyetafsiri Biblia mara ya kwanza katika Kiingereza cha kisasa. Alizaliwa huko Gloucestershire mnamo mwaka 1494 - aliuawa Vilvoorde (Brabant - Ubelgiji ya leo) tarehe 6.9.1536. Tafsiri yake ya Biblia ilikuwa toleo...
Msanii Roma anaeunda kundi la ROSTAM amefungiwa kutokujihusisha na sanaa kwa muda wa miezi sita ikiwa ni kama adhabu ya yeye kutokutii agizo la baraza la sanaa tanzania (BASATA) la kufungiwa kwa nyimbo yake ya KIBAMIA akiwa na Stamina wakimshirikisha Maua Sama!
Nyimbo hio ilifungiwa mapema...
Taarifa ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kuhusu tukio la kukamatwa kwa ROMA Mkatoliki na watu wasiojulikana.
Imesema imewasiliana na vyombo vya Usalama, na hakuna chombo Kikichomshikilia Msanii Roma.
Wizara ya Habari yawaomba wananchi kushirikiana na Polisi kwa kutoa taarifa...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida leo kile kipindi cha XXL kilichokuwa kinaruka moja kwa moja toka Dodoma kimegeuka majonzi baada ya mamia ya vijana kunyoosha mabango yaliyoandika FREE ROMA
Watanganzaji walilazimika kubadili interview na kumwambia naibu waziri habari utamaduni na michezo Antony...
Ikiwa leo ni siku ya pili tangu ilipotolewa taarifa kuwa msanii Roma Mkatoliki alitekwa na watu wasiojulikana akiwa pamoja na Moni Centrozone, mtayarishaji wa muziki wa Tongwe Records, Bin Laden katika studio za Tongwe Records, Waziri wa zamani wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye...
Jeshi la polisi Dar kupitia kwa kamanda Simon Sirro limekana kuhusika kwa lolote lile lililomtokea msanii Roma Mkatoliki na kwamba linafanya jitihada kumpata.
Jeshi hilo limeomba mtu mwenye taarifa zinazomhusu msanii huyo kupeleka taarifa kwao mara moja.
Msanii huyo alitekwa juzi jioni akiwa...
Binafsi nimependa ushirikiano na jitihada alizozianzisha juu ya kupatikana kwa Roma
Amewataka wasanii wote SAA 6 wakutane Tongwe kujadili namna ya kumtafuta na kumpata Roma..
source page yake Instagram..
Pia Soma: Utata: Msanii Roma Mkatoliki na wenzake wakamatwa/tekwa nyara
Habari wakuu nimekuta bandiko katika ukurasa wa Prof. Jay kuhusu kukamatwa kwa msanii ROMA na kuchukuliwa kwa baadhi ya vitu vya studio ya Tongwe record sijui ni kiki au kweli? Mwenye kujua kinachoendelea.
=======
Baada ya kuzagaa kwa taarifa kuhusu kukamatwa kwa Msanii Roma Mkatoliki akiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.