roman abramovich

  1. JanguKamaJangu

    Hatimaye dili la Roman Abramovich kuiuza Chelsea kukamilika ndani ya saa 24 zijazo

    Hatimaye Serikali ya Uingereza imeonesha njia ya wazi kwa Bilionea Roman Abramovich kuiuza Klabu ya Chelsea kwa Todd Boehly kwa paundi bilioni 4.25 (Tsh. Trilioni 12.3) ndani ya saa 24 zijazo Vyanzo vya ndani zinaeleza kuwa kuna mafanikio makubwa katika mazungumzo wakati huu ambapo pasipoti ya...
  2. babu M

    Roman Abramovich 'begs his rich celebrity friends for $1million loans to maintain his staff

    Russian oligarch Roman Abramovich is reportedly begging his rich friends including Hollywood director Brett Ratner for £765,000 ($980,000) loans to help him pay his staff after being sanctioned by London and Washington, US sources have claimed. The Chelsea Football Club owner, who has been...
  3. HIMARS

    Mmiliki wa klabu ya Chelsea, Roman Abramovich awekewa vikwazo na Uingereza

    Tajiri wa Urusi, Mmiliki wa Club ya Chelsea awekewa vikwazo, vikwazo hivyo vinahusu mali zote zilizo UK na Club ya Chelsea yahusika Uuzwaji wa Chelsea umesitishwa kwa muda. Chelsea haitaruhusiwa kuuza, kununua wachezaji. Chelsea haitaruhusiwa kuongeza mikataba ya wachezaji waliopo. Chelsea...
  4. John Haramba

    Bodi ya Wadhamini Chelsea FC yasita kubeba mikoba ya bilionea Roman Abramovich

    Wajumbe wa Bodi ya Udhamini wa Klabu ya Chelsea, bado hawajakubali maombi ya bilionea na mmiliki wa klabu hiyo, Roman Abramovich kuhusu kukabidhiwa majukumu ya kuiongoza timu huku yeye akibaki kuwa mmiliki. Inaelezwa kuwa wajumbe saba akiwemo Kocha wa Chelsea ya Wanawake, Emma Hayes...
  5. J

    Tajiri Roman Abromavich akabidhi timu ya Chelsea kwa Bodi ya Wadhamini wa club hiyo

    Tajiri wa kirusi Roman Abromavich anayemiliki club ya Chelsea ya England ameikabidhi timu hiyo kwa Bodi ya wadhamini kufuatia vikwazo vya kiuchumi ilivyowekewa nchi yake. Source: BBC ---- Mmiliki wa Chelsea FC, Roman Abramovich ametangaza kujiweka kando na majukumu ya uongozi ndani ya klabu...
  6. John Haramba

    Wakitaka kumuondoa Abramovich kuimiliki Chelsea wamlipe trilioni 4.6

    Klabu ya Chelsea inaweza kuingia katika wakati mgumu kifedha ikiwa mmiliki wa klabu hiyo, Roman Abramovich ataondolewa klabuni hapo, kwani kutatakiwa kiasi kikubwa cha fedha alipwe kutokana na uwekezaji alioufanya tangu aanze kuimiliki klabu hiyo mwaka 2003. Imeelezwa kuwa kama watataka...
Back
Top Bottom