romanus mapunda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtia nia Urais aondoka CHADEMA, amtuhumu Lissu kwa kumshambulia Rais Samia

    Aliyekuwa mtia nia wa nafasi ya urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na mwanzilishi wa kundi la G-55 Romanus Mapunda ametangaza rasmi kuondoka katika chama hicho. Pia, Soma: Kada wa CHADEMA, Romanus Mapunda atangaza nia ya kugombea Urais 2025 Mapunda amefikia uamuzi huo...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kada wa CHADEMA, Romanus Mapunda, aliyetangaza kuwania urais, alimwa barua

    Kada huyu wa CHADEMA Romanus Mapunda amelimwa barua na kamati ya utendaji tawi na Mtongani kata ya Kunduchi jimbo la Kawe kwa tuhuma mbili. Soma, Pia: Kada wa CHADEMA, Romanus Mapunda atangaza nia ya kugombea Urais 2025 Kupinga kauli ya "No reform No election" pamoja na kudanganya umma kwa...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ruvuma: Diwani wa CCM ajiuzulu baada ya kutembelea miradi ya maendeleo akiwa na kada wa CHADEMA, Romanus Mapunda

    Wakuu, Diwani wa Kata ya Mshangano, Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma, Samwel Mbano ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo kwa maslahi mapana ya serikali inayoongozwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mbano amesema hayo akizungumza na waandishi wa habari na kutoa taarifa ya maendeleo kwenye kata yake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…