Mlezi wa Kikundi cha Marsho Manufacturing Company kinachojishughulisha na shughuli za ujasiriamali kupitia zao la ndizi ambae pia ni Mbunge wa Rombo Prof. Adolf Mkenda, Jumanne ya March 11,2025 amekikabidhi hundi ya Shilingi Milioni 5 ikiwa kama sehemu ya ahadi yake yakukisaidia kikundi hicho...
Moto ambao chanzo chake hakijajulikana umeteketeza nyumba ya familia ya Bibi Maria Kaudidi Mkazi wa Kijiji cha Urauri Kata ya Rea Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro nakuicha familia hiyo bila makazi huku Bibi huyo na wajukuu wake wanne wakinusurika.
Tukio hilo limetokea Usiku wakuamkia Jumatatu...
Diwani wa kata ya Katangara Mrere, Wilayani Rombo Mkoani Kilimanjaro Venance Malleli, ameishukuru serikali kwa kukamilisha Miradi Mbalimbali ndani ya Kata hiyo ikiwemo Mradi wa Daraja la Mwamba ambalo lilikuwa Kilio cha Wananchi kwa zaidi ya Miaka 69.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila...
Katika Hali ya Kutia Moyo na kuonyesha mshikamano kwa kiongozi wao, Wananchi wa Kata ya Katangara Mrere wilayani rombo Mkoani Kilimanjaro wameamua Kufanya maombi kwaajili ya kumuombea Mkuu wa wilaya ya Rombo Mwl. Raymond Mwangwala afya yake iweze kuimarika kufuatia maradhi yaliyokuwa...
Kero.
Mimi ni mkazi wa Kijiji cha Mengwe, Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro ninawasilisha kero kwa niaba ya wakazi wenzangu wa Rombo.
Muhula mpya wa Masomo umeanza Januari 13, 2025 lakini kinachoendelea huku Rombo ni wizi mkubwa tena wilaya ambayo Mbunge wake ni Waziri wa Elimu, Prof. Adolf...
Wazee hapa mtusaidie tu kupaza sauti maana hali sio shwari kipindi hiki cha watu kurudi makazini kwao.
Polisi kitengo cha usalama barabarani wamezuia magari kwa kigezo cha uhakiki wa leseni kitu ambacho kimesababisha shida na kero kwa wasafiri wilayani Rombo.
Mtu unakaa stand hadi unachoka na...
Mimi ni dereva wilayani rombo imetokea kero ya askari polisi kitengo cha usalama barabarani kukamata madereva wasio na uhakiki wa leseni wanakamata gari wanapeleka kituoni kitu kinachosababisha usumbufu kwa abiria na wasafiri wanaotoka na kuingia wilayani rombo....
Ninaomba mamlaka husika...
Anonymous
Thread
daladala
kero
kero ya usafiri
kilimanjaro
mkoani
rombo
usafiri
Wakuu!
Prof Janabi ametuma ujumbe kwa ndugu zetu wa Rombo mkoa wa Kilimanjaro kwamba maji na matunda ndiyo muhimu katika kula na kunywa katika kipindi hichi cha sikuu ya Xmass.
Ila Janabi nimekunyooshea mikono juu kwa ushauri wako :D :EZclap:
================
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali...
Wakuu huu ni msimu wa Kupiga hela Kuna abiria wengi sana wanaotoka Dar kwenda Mikoa ya kanda ya kaskazini hasa Mkoa wa Kilimanjaro hivyo uhitaji ni Mkubwa sana.
Huku JF kwa matajiri najua kuna wenye Magari Madogo au Coaster Nicheki tufanye biashara.
Nina jamaa kibao sana wanahitaji Usafiri...
Baadhi ya wanawake katika vijiji vitatu vya Samanga, Kirongo juu na Sangasa, wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro wameeleza tishio la nyani wilayani humo linavyowaogopesha kutembea peke yao bila waume zao wakihofia kudhuriwa na nyani hao.
Wamesema nyani hao ambao hutembea makundi kwa makundi...
Wakuu,
“Uchaguzi huu utakuwa huru, Utakuwa na Haki”. Haya ni maneno ya Uhakikisho yaliyotolewa na Mkuu wa Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro Mwl. Raymond Mwangwala wakati akiongoza matembezi ya taratibu ‘Jogging’ kwa Wananchi, Watumishi wa Umma na Taasisi mbalimbali zilizopo Wilayani humo...
Hii ni Shule ya Msingi Kasirwa ipo Rombo, kwa sasa asilimia kubwa ya Wanafunzi wanashinda nje ya Madarasa, wanazurura tu nje kwa kuwa madarasa yao yapo kwenye maboresho.
Hivi tunajiuliza uongozi wa Shule, Wilaya na Mkoa wa Kilimanjaro ulikuwa wapi muda wote hadi madarasa yanakuwa katika hali...
Naomba serikali iingilie kati suala la unywaji wa pombe uliokithiri katika wilaya ya Rombo, Serikali imeruhusu uanzishaji wa viwanda vya pombe za bei rahisi, "Pombe za Kijani" kwa kuangalia mapato ila kizazi cha Rombo kinateketea.
Baada ya miaka kadhaa ijayo Rombo itakuwa na hali mbaya sana...
Kuna tuhuma za mteule wa Rais kuiba mafuta; nadhani tunapaswa kumfahamu vyema huyu DAS kabla ya kumuhukumu.
Yawezekana hii ndiyo kazi yake ya kwanza, yawezekana anauguza au may be alipata madhila ya kifamilia yaliyopelekea aende kuchukua fedha za mafuta ya serikali akikataa hata hoja ya...
Baada ya kuripotiwa Shule ya Msingi ya Mlembea inayomilikiwa na Serikali katika Tarafa ya Mashati, Halmashauri ya Rombo Mkoani Kilimanjaro kuandikisha Wanafunzi watatu pekee kwa ajili ya Mwaka wa Masomo 2024, uffanuzi umetolewa.
Awali imeelezwa kuwa baadhi ya sababu za na uhaba wa Wanafunzi ni...
Kama mnavyojua ndugu zetu wachaga wanavyosifika kurudi makwao mwishoni mwa Mwaka au "kwenda kuhesabiwa"kama inavyojulikana na wengi,basi idadi ya mabasi ya kuwasafrisha huwa inazidi namba ya abiria.
Kutokana na Hilo,Maofisa wa Mamlaka ya udhibiti wa usafiri wa ardhini(LATRA)katika mkoa wa...
Ametoa daivesion bila kueka kibao kua kuna daivesion wageni wakija wanapitiliza na kudondokea kwenye vifusi pia divesion imechimbika mashimo na mkandarasi ashahamisha mitambo yake
Anonymous
Thread
barabara
bila
kilimanjaro
lami
mita
mkandarasi
mkoani
rombo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.