rombo

Eva Elin Rombo, née Karlsson (born 29 January 1976), is a Swedish operatic soprano. In November 2013 she was named Hovsångerska.

View More On Wikipedia.org
  1. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Uwezi kutoa siku za ikulu ikabaki salama,R.I.P Mzee.

    Nina kusihii wewe aliyeenda nae ikulu mkaketi, uwe makini sana la sivyo watapita na wewe kama walivyopita nae chapu. Nakushii kuwa makini sana.
  2. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Ongea na kamanda yaunganisha elimu ya Lishe bora na ulinzi wa Amani Rombo K'njaro

    Kutoka Dawati la Habari polisi Kilimanjaro Wananchi wapatao 300 wa Kata ya Manda na maeneo ya Tarafa ya Mengwe, Wilaya ya Rombo, wamepata elimu kuhusu umuhimu wa lishe bora, matumizi ya vyakula vya asili, uzalendo na wajibu wa kila mwananchi katika kulinda amani na usalama wa nchi. Elimu hiyo...
  3. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Shirima wa Rombo jela miaka 30 kwa dawa za kulevya

    Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro Mahakama ya wilaya ,wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro ,imemhukumu kwenda jela miaka 30 Festo Richard Shirima baada ya kupatikana na hatia katika shitaka la kupatikana na dawa za kulevya aina ya mirungi zenye uzito wa kilogramu 17 Mshitakiwa huyo alikamatwa Mei...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tarakea Chini, Rombo kuna shida kubwa ya maji hadi Wananchi hulazimika kwenda Kenya kuchukua maji

    Wilaya zinazopakana na Mlima Kilimanjaro zinajulikana kwa kuwa na vyanzo vya maji, lakini hali ni tofauti kabisa katika maeneo ya ukanda wa chini wa Tarakea, Wilaya ya Rombo. Tatizo la ukosefu wa maji katika eneo hili limekuwa la muda mrefu. Tangu utotoni hadi sasa nimefikia utu uzima, lakini...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mke asimulia alivyokabidhiwa Mguu na Mkono wa mumewe aliyeuawa kikatili mgogoro wa Ardhi Rombo

    Kufuatia tukio la mwanaume mmoja aitwae Thomas Silayo, mkazi wa kata ya Tarakea Motamburu wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro, kuuliwa na mtu anayedaiwa kuwa ndugu yake, wakati akisubiria muda wa kuanza kikao cha kunyoosha mipaka, kutokana na yeye kushinda kesi ya ardhi iliyodumu kwa zaidi miaka...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Rombo: Kitengo cha Ustawi kina hali mbaya

    Maafisa Ustawi Kila siku wanatishiwa kuhamishwa na Katibu wa Idara ya Afya bila sababu za kueleweka. Sijui yeye ana hayo Mamlaka ya kumhamisha Mtumishi maana hata kwenye Mfumo wa PEPMIS amewapanga vituo vya afya (bila kupewa barua zozote) ambako wanalazimishwa kwenda kukusanya mapato utadhani...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Huruma Hospital ya Rombo inatumia wanafunzi wasio na uzoefu

    Mimi ni mkazi wa ROMBO MKUU naomba kuelezea kero ya hospitali ya HURUMA. Hospitali hii imekuwa ikiajiri wanafunzi waliohitimu masomo ya vyuoni ambao hawana experience ya kutosha katika kufanya kazi za wodini. Kitu ambacho kimekuwa kikisababisha vifo vya Mara kwa Mara kutokea katika Hospitali...
  8. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Rombo: vibinti vidogo kurubuniwa kutoka Kwa wazazi na kwenda kuuza Bar mpakani

    Vibinti vidogo umri chini ya miaka 17, wamekuwa wakirubuniwa na baadhi ya wafanyabiashara waliopo mpakani mwa Kenya na Tanzania na kwenda kuuza Bar. Maeneo haswa yanayotajwa kushamiri kuwa na wimbi la mabinti wadogo wanaouza Bar ni Tarakea na Mashati Watoto hao wamesena kuwa wafanyabiashara...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Sisi wakatoliki wa Rombo pure tupo tunamuombea Baraka na heri Rais wetu Samia

    Jana kwenye mkesha wa krismasi hapa kwetu wilayani Rombo tulikuwa bize na mkesha wa krismasi moja ya vitu ukiachana na mkesha huo wa krismasi tulikuwa tunamuombea Rais wetu mpendwa Samia Suluhu Hassan kusema ukweli Rais samia sisi huku wachaga wakatoliki pure Tunakupenda na tutaendelea...
  10. and 998 others

    JamiiForums Tanzania PM Mwigulu, karibu Rombo marathon

    Karibu Rombo ukweni Jumanne, tarehe 23/12. Wachaga hatunaga shughuli ndogo
  11. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania CRDB Yachangia Madawati 111 na Ujenzi wa Uzio Shule ya Sekondari Prof. Adolf Mkenda, Rombo

    Mkuu wa Wilaya Rombo, Raymond Mwangwala (watatu kulia) akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 10 kutoka kwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya CRDB Bank Foundation, Coletha Ndunguru (wapili kushoto) kwa ajili ya kuchangia ununuzi wa vifaa vya ujenzi wa uzio wa Shule ya Sekondari...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania DAS Jacob Rombo: Watumishi Zingatieni Maadili, Serikali Inawaamini

    WATUMISHI ZINGATIENI MAADILI, SERIKALI INAWAAMINI : ROMBO Katibu Tawala wa Wilaya ya Arusha, Jacob Rombo amewasihi watumishi wa Wizara ya Ujenzi kuzingatia maadili ya kutunza siri za Utumishi wa Umma kwa kuzingatia kanuni, taratibu na Miongozo iliyowekwa na Serikali ili kufanikisha huduma...
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Linus Silayo achukua fomu ya kutia nia kugombea Ubunge Jimbo la Rombo Kilimanjaro

    Kada wa CCM, Linus Silayo, Mapema leo hii amewasili ofisi za CCM Wilaya ya Rombo kufuata fomu ya kutia nia kugombea Ubunge katika Jimbo la Rombo Kilimanjaro.
  14. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Rombo; Kilimanjaro Baba aua mtoto wake na Kisha kuchimba shimo na kumfukia

    Baba mmoja ajulikanae Kwa jina la Edward mwenye umri mwenye umri wa miaka 66 anashikiliwa na jeshi la polisi wilayani Rombo kwa kosa la kumuua mtoto wake wa kiume Kwa shoka na Kisha kuchimba shimo na kumzika mwenyewe usiku. Hali ya Taaharuki imeikumba Kijiji Cha Kilema katika kata ya...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Esther Malleko Agawa Incubators Kata Zote za Wilaya ya Rombo

    MBUNGE ESTHER MALLEKO AGAWA INCUBATOR KATA ZOTE ZA WILAYA YA ROMBO Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Esther Edwin Malleko ametembelea Wilaya ya Rombo na kuzungumza na wanawake wa UWT huku akiwakabidhi Mashine za Kutotolesha vifaranga vya kuku (Incubator) kwa lengo la kuwaepusha...
  16. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Rombo yatoa semina kwa wajumbe kuhusu mabadiliko ya katiba ya CCM 2025

    Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Rombo, April 17, 2025 kimetoa Semina kwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya chama hicho Wilaya, kuhusu Mabadiliko madogo yaliyofanyika ya Katiba ya Chama hicho kwa Mwaka huu 2025. Akizungumza mara baada ya semina Hiyo Katibu wa Siasa, Mafunzo na Uenezi wa chama Hicho...
  17. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 DC Rombo akabidhi mkopo wa Sh. Milioni 641 kwa vikundi bila riba

    Jumla ya Vikundi 52 vya wajasiriamali wadogowadogo wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro vimekabidhiwa Mkopo wa Jumla ya Shilingi Milioni 641 unaotokana na asilimia 10 ya mapato ya ndani ya Halmashauri ya wilaya hiyo. Zoezi lakukabidhi mikopo hiyo limefanyika leo Jumatano April 16, 2025 kwenye...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Mwili wa aliyekuwa katibu CCM Rombo wazikwa

    Mwili wa aliyekuwa Katibu wa chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro Mary Sulley umezikwa , Machi 22, 2025 katika makaburi ya familia yaliyopo kijiji cha Mangafi,Wilaya ya Karatu mkoani Arusha. Mary Sulley alifariki Dunia Machi 18,2025 katika Hospitali ya Huruma iliyopo...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TANZIA Katibu wa CCM Wilaya ya Rombo, Marry Sule, Afariki Dunia akipatiwa matibabu

    Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro, Marry Sule amefariki dunia jana usiku Machi 18, 2025 akiwa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Huruma. Taarifa za kifo chake zilianza kusambaa kwenye mitandao ya kijamii usiku huohuo zikieleza kuwa Katibu huyo amefariki...
  20. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Mkenda akabidhi shilingi Milioni 5 kwa kikundi cha ujasiriamali Rombo

    Mlezi wa Kikundi cha Marsho Manufacturing Company kinachojishughulisha na shughuli za ujasiriamali kupitia zao la ndizi ambae pia ni Mbunge wa Rombo Prof. Adolf Mkenda, Jumanne ya March 11,2025 amekikabidhi hundi ya Shilingi Milioni 5 ikiwa kama sehemu ya ahadi yake yakukisaidia kikundi hicho...
Back
Top Bottom