Rombo. Kijana wa miaka 15 (jina linahifadhiwa), mkazi wa Kijiji cha Ngareni, Kata ya Ngoyoni, wilayani hapa, anashikiliwa na Jeshi la Polisi akidaiwa kumuua mama yake mdogo, Taudensia Massawe (62) kwa kumpasua kichwa akitumia jiwe wakati akikata majani ya ng'ombe.
Tukio hilo linadaiwa kutokea...