Unajua Hii wilaya kwanza kijiografia ipo mwinuko kati ya mita 1300 hadi 2200. Kuna hali nzuri sana ya hewa hilo halina ubishi.
Watu wanaposikia hii wilaya kitu cha kwanza wanajua watu wa huko ni walevi choka mbaya kiasi kwamba hakuna maendeleo yeyote. Ila laiti wangejua Hii wilaya kila mtumishi...