Hali ya taharuki imetanda katika mtaa wa Bangladesh slum, Ongata Rongai, baada ya nyumba kadhaa kuripotiwa kuchomwa moto wakati wa maandamano ya wanafunzi wa Multimedia University of Kenya (MMU).
Maandamano hayo yanadaiwa kuanza baada ya mwanafunzi mmoja wa MMU kushambuliwa na watu wanaodaiwa...