Rostom Aziz amesema hakuna mwekezaji atawekeza kwenye nchi ambayo kesi ikipelekwa hapo Kisutu kiongozi yoyote anaweza kupiga simu akaielekeza mahakama nini cha kufanya.
Na kwamba mahakama zetu hazina uwezo wa kusikiliza kesi za kimataifa hivyo lazima tuzipeleke huko nje.
Je, kauli hizi...
Habari JF,
Leo katika pita pita zangu nimekutana na kauli kutoka kwa watu wa wawili tofauti zikimuhusu Hayati JPM.
1. Tundu Lissu yeye anasema Rais Magufuli kwenye hili la kuingia mikataba ya hovyo hausiki sana kwa kuwa alikuwa hapendi wageni kukamata mali za Nchi hii.
2. Rostam Aziz yeye...
Tangu nilipokutana na Rostam Abdul Aziz (Mburushi wa Iran, mzaliwa wa Tabora) Jijini Telhaviv nchini Israel mwaka 2012 na kubaini kuwa ni wakala wa CIA katika Ukanda wa Afrika Mashariki nilianza kuogopa.
Mwanafunzi huyu wa CPA kutoka Cambridge University ana akili sana linapokuja suala la...
Mchana wa leo Rostam amefanya mkutano na waandishi wa habari. Pamoja na mambo mengine ametoa tuhuma nzito kwa serikali na mahakama.
Amesema Dr. Slaa alinunuliwa wakati wa uchaguzi na kukisaliti chama chake cha Chadema na kisha kupewa ubalozi. Hizi ni tuhuma nzito za rushwa wakati wa uchaguzi...
Mfanyabiashara mkubwa nchini Rostam Aziz amezungumza na waandishi wa habari Juni 26, 2023 ambapo ameeleza mambo mbalimbali ikiwemo sakata la bandari ya Dar na kuhusika kwake kwenye uwekezaji huo mkubwa.
---
Juzi katika mdahalo pale hoteli ya Serena nilisema kuwa sihusiki na hili jambo (mkataba...
Yaani kuna wakati najiuliza Sababu za Lowassa kukataliwa na CCM kuingia kwenye kinyang'anyiro 2015 nashindwa kuzipata
Namsikiliza Hapa Dr Mwigullu PhD nashindwa kuelewa Kwanini Rostam Aziz hakupata uteuzi wa Uwaziri wa Fedha alipokuwa Mbunge wa Igunga
Nayaona maono ya Akina Laigwanani na...
Mwekezaji ambaye Mkurugenzi wa Taifa Group, Rostam Azizi amesema kuwa katika kuleta mabadiliko ya kiuchumi Nchi imekubaliana Serikali hisifanye biashara kwa lengo la kuongeza uwajibikaji na kuchochea maendeleo.
Amesema kwa upande wake hana tatizo na mjadala wa Bandari lakini katika kufuatilia...
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini Mh. Godbless Lema amemtaka mwekezaji namba 1 Africa mashariki Rostam Aziz kusambaza Umeme wa Solar Nchi nzima.
Kwa sasa Rostam Aziz anafunga Mitambo Zanzibar itakayoifanya Nchi hiyo iachane na Umeme wa Tanganyika.
Lema ametoa ushauri huu twitani.
=========
"Kuanzia Mwezi wa Tano nategemea Kutangaza Kuuzwa kwa Gesi zote nchini Kenya kwa Tsh 500/ ya Kenya ( kama Tsh 9,500/ hadi Tsh 10,000/ tu za Tanzania ) kwani tayari Rafiki yetu kutoka Tanzania Rostam ameshakuja Kuwekeza hapa Kwetu hivyo nataka Wakenya wafurahie Maisha na wapate Gesi kwa gharama...
2017
Hayati JPM anaunda timu kuhakiki mali za Chama cha mapinduzi chini ya Bashiru Ally
Kakurwa.
Kunagundulika matatizo katika hisa za CCM na Rostam ndani ya African Media Group.
Wamiliki wa Chanel 10 na magic Fm
Rostam anapigwa mkwara anakomaa.
2018
Toyota landcruiser iliyotumiwa na Nape...
Kama ni kweli kabisa alikuwa Fisadi mbona Waliomtuhumu hao Chadema walimbembeleza awe mgombea Urais kws ticket ya Chama chao?
Sijawahi kupata majibu ila namshukuru RA kwa kumueleza ukweli Shujaa kwamba Lowassa hana tatizo lolote na baadae Shujaa akaagiza Lowassa arejeshwe CCM na wabunge wake...
Huyu jamaa utajiri wake wa magumashi na kiwanda cha juice eti ndiyo tajiri namba moja. Ukija kwa Bakhressa ana meli, ngano, soda, kiwanda cha sukari chenye thamani ya bilioni 600, Azam TV na Azam Pesa.
Rostam Aziz anayemiliki kampuni ya ndege, caspian, Tigo Tanzania, Taifa gas, inakuwaje...
Biashara bwana, najua kuna watu wanatamani mafanikio ya bakhresa au Mo au GSM au mafanikio ya tajiri yoyote yule, Husitamani mafanikio ya bakhresa, mo, gsm au yoyote aliyefanikiwa.
Unajua chakutamani ni nini....?? Binafsi natamani ningekuwa na ujuzi kama MO, natamani ningekuwa na uzoefu katika...
Ana hela ana hela halafu ana hela tena. Siyo mtu wa makando kando, siyo mtu wa madili japo ilitumika nguvu kubwa kumchafua.
Aziz ni akili kubwa sana, tayari ashanunua shirika lenye ndege nyingi zaidi TZ. Nani mwingine ana jeuri hiyo?
Jamaa ni smart sana, kimavazi na upstairs.
Vijana wa TZ...
Kwenye pages mbalimbali za social media nchini Nigeria ziliporushwa video clips za msanii Kiss Daniel akikamatwa na kuingizwa kituo cha Polisi Oysterbay mjadala umekuwa si msanii huyo kukamatwa bali uzuri wa Kituo cha Polisi Oysterbay ambapo Wa Nigeria wengi walionekana kuusifia uzuri wa kituo...
Salaam Wakuu,
Inadaiwa kuwa, kampuni ya Rostam Aziz, LPG/C Mirambo, ilinunua Gesi kutoka Iran na kuleta Tanzania wakati ambapo Marekani imeiwekea Vikwazo vya Gesi ya LPG Nchi ya Iran.
Inadaiwa Kampuni ya Mirambo imeingiza gesi hiyo kutoka Iran na kuingiza Zanzibar.
Hivyo Benki za Tanzania...
Nimekutana na hii habari kwamba Rostam Azizi amezuiwa kuuza Gesi yake Kenya kisa eti maswala ya mazingira.
Wakenya kwenye figusifigusi wako vizuri sana hawa jamaa hata Dange amewavulia kofia. Wao wana enjoy sana freedom ya kufanyabiashara Tanzania lakini Kampuni za Kitanzania kule Kenya huwa...
Katika hafla iliyoandaliwa na TANZANIA PRIVATE SECTOR FOUNDATION (TPSF), Angelina Ngalula amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa EAST AFRICA BUSINESS COUNCIL (EABC)
Hafla hiyo ilihudhuriwa na wadau mbalimbali akiwemo bilionea Rostam Aziz.
Akiongea wakati wa kutoa pongezi zake, Rostam Aziz alisema...
Intelejensia ya Dunia katika karne ya 21 imebadilika sana! Nchi nyingi duniani sasa zinafanya kazi kutengeneza nguvu na ushawishi kwenye uchumi!
Kupata nguvu na ushawishi kwenye Uchumi kunahusisha kutengeneza matajiri wakubwa wenye pesa wanaoweza kuwekeza, kushawishi uwekezaji, kuongeza ajira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.