Nataka kujua marketing meneja wa Mitungi ya Gesi aliyeisamabaza mpka visiwani huko ukerewe na Ghana alilipwa na ROSTAM au serikali yetu?
Mh Rais nchi hii ni ya kwetu jaman mbona Kuna matumizi hatuyaelewi sisi wengine jaman?
Mbona tozo zimekuwa tozolo?jaman nchi hii na tozolo tunaelekea wapi jaman
Kwenye pages mbalimbali za social media nchini Nigeria ziliporushwa video clips za msanii Kiss Daniel akikamatwa na kuingizwa kituo cha Polisi Oysterbay mjadala umekuwa si msanii huyo kukamatwa bali uzuri wa Kituo cha Polisi Oysterbay ambapo Wa Nigeria wengi walionekana kuusifia uzuri wa kituo...
Salaam Wakuu,
Inadaiwa kuwa, kampuni ya Rostam Aziz, LPG/C Mirambo, ilinunua Gesi kutoka Iran na kuleta Tanzania wakati ambapo Marekani imeiwekea Vikwazo vya Gesi ya LPG Nchi ya Iran.
Inadaiwa Kampuni ya Mirambo imeingiza gesi hiyo kutoka Iran na kuingiza Zanzibar.
Hivyo Benki za Tanzania...
Kenya has frozen plans by a Tanzanian billionaire to set up a gas plant and storage facilities at the Mombasa port, threatening a trade spat between the two neighbouring countries.
The Energy regulator has declined to clear the application by Taifa Gas, which is owned by tycoon Rostam Aziz...
Katika hafla iliyoandaliwa na TANZANIA PRIVATE SECTOR FOUNDATION (TPSF), Angelina Ngalula amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa EAST AFRICA BUSINESS COUNCIL (EABC)
Hafla hiyo ilihudhuriwa na wadau mbalimbali akiwemo bilionea Rostam Aziz.
Akiongea wakati wa kutoa pongezi zake, Rostam Aziz alisema...
Intelejensia ya Dunia katika karne ya 21 imebadilika sana! Nchi nyingi duniani sasa zinafanya kazi kutengeneza nguvu na ushawishi kwenye uchumi!
Kupata nguvu na ushawishi kwenye Uchumi kunahusisha kutengeneza matajiri wakubwa wenye pesa wanaoweza kuwekeza, kushawishi uwekezaji, kuongeza ajira...
Ni wazi kabisa na kuna ushahidi wa kimazingira kuwa hayo mabilioni ya shilingi anayodai mkuu wa nchi kuwa yaligaharamiwa na watanzania kuwezesha ziara yake huko Usa yatakuwa yalitolewa na Rostam Azizi na kundi lake.
Nani mtanzania wa kawaida anayeweza kuchangisha na kupata Zaidi ya bil 11...
Hivi ina maana thamani ya Voda ni mara 20 ya thamani ya tiGO, haya manunuzi kafanya bilionea Rostam.
Mimi sijaelewa kabisa Bei ya manunuzi haya, wataalamu mtufungue. Au ndo Hawa wamefake thamani ya Voda kuwa ni trilioni 2 watu wamenunua hisa 25% kwa bilioni 480, halafu Hisa zenyewe haziuziki...
Tajiri Rostam Azizi ndio Mmiliki wa Sasa wa Kampuni za Tigo na Zantel
Pia, soma=>Tigo na Zantel kuuzwa kwa Axian group ya Madagascar, naona wanakimbia Socialism economy
Caspian Limited imefikia makubaliano na Kampuni ya South Africa Petra Diamonds ya kununua asilimia 31.5 ya hisa za Williamson Diamonds Limited(WDL) kwa thamani ya dola za Kimarekani million 15.
Caspian Limited ambaye ni technical services contractor wa WDL wamefikia makubaliano mwishoni mwa...
HII BEEF NI KAMA BEEF YA " THE GAME vs JADAKISS" beef ya the game na Jada ilisuburiwa kwa hamu sana lakini haikuwahi kutokea. Jada na Game wote ni lyricists wazuri sana. kwa hapa Tz hakuna waandishi wazuri kama ROSTAM na Nikki Mbishi.. Lets wait and...
Jamaa anasema alitaka kuwekeza $130 million halafu akazinguliwa, kha kwa namna tunawahitaji wawekezaji na kuwabembeleza kwa kila namna hainiingii akilini huyo Mhindi alitaka kuwekeza hela yote hiyo tukamtupia nje, ichunguzwe kwenye ngazi zote.
Ikumbukwe kwa kipindi cha JPM wawekezaji wengi...
Mfanya biashara billionea wa Tanzania bwana Rostam Aziz leo akizungumza kwenye kongamano la wafanyabiashara kati ya Tanzania na Kenya kwenye ziara ya rais Samia amesema mazingira ya uwekezaji kati ya hizi nchi mbili hayako sawa.
Rostam amesema ni rahisi sana kwa Mkenya kuwekeza Tanzania lakini...
Rais Samia amefungua kongamanano la wafanyabiashara nchini Kenya ambalo limehusisha pia wafanyabiashara kutoka Tanzania.
Rostam Aziz ametaka uwepo wa uwiano mzuri wa kibiashara kati ya Kenya na Tanzania badala ya nchi moja kuwa msambazaji wa mali ghafi na mwingine akiwa muuzaji wa finished...
Rostam Aziz speaks out on the difficulty of Tanzanians investing in Kenya
WEDNESDAY MAY 05 2021
Mr Rostam Aziz in an interview with BusinessWeek PHOTO|SYRIACUS BUGUZI
Summary
Rostam was speaking at a high level business forum that was hosted by Presidents Samia Suluhu Hassan and Uhuru...
Hapa nazungumzia mabilionea wenye uwekezaji hadi mashariki ya mbali na Ulaya siyo hawa wenye mabasi malori na guest houses.
Wote tunajua mabilionea Mo Dewji, Rostam Aziiz na Freeman Mbowe walikuwa wabunge na sasa wanaendelea na biashara zao huku wakichochea ukuaji wa uchumi kwa vitendo kupitia...
Salama wakuu,
Mimi ni mmoja wa waandishi wa zamani wa New Habari 2006 Ltd inayomilikiwa na Rostam Aziz. Nimefuatilia mafao yangu PPF kwa zaidi ya miaka saba sasa.
Lakini kila siku ninaambiwa bado michango haijapelekwa. Nikienda ofisini, watu wa utawala wanasema kampuni haina fedha, sasa...
Ikumbukwe kuwa Rostam Aziz alijiuzulu Ubunge wa Jimbo la Igunga kwa madai kuwa amechoshwa na siasa uchwara.
Je, sasa ataukubali wito wa mwenyekiti wa chama chake CCM Rais Magufuli kwamba kama vipi 2025 agombee ubunge Morogoro mjini na kumfurusha mbunge wa sasa Abood Aziz?
Ikumbukwe kuwa hawa...
Naona sasa viongozi wa chama dume CCM mmesahau kilichotokea mwaka 2011 ambapo CCM ilijinasibu kujivua gamba.
Ccm ilijinasibu kujivua gamba kwa kuwa ilikuwa imechafuka kwa ufisadi na mafisadi wengi waliokuwa wanaliibia taifa letu walikuwa ni viongozi wa Ccm.
Mmoja wa watu waliosadikiwa kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.