router

  1. muhala.jr

    Airtel router 5G for sale

    Nauza hii router ya 5G Ina bando ad 3/4 la unlimited. Reason nilipo airtel mndandao uko chini. Bei 95000.call 0779654041.
  2. Restless Hustler

    Naomba msaada wa ku unlock router hii hapa chini

    Nimeambatanisha d details zote pichani.
  3. Saoka

    Nahitaji router itakayonifaa nimehamia Tarime kikazi

    Habari ndugu zangu nahitaji router nipo Tarime ni ipi itakayonifaa kuendana na mazingira ya huku??
  4. Tomaa Mireni

    Wale wanaotaka router za tenda ninazo

    Ninzo models 2 lakini utendaji unafanana. KWANINI UTUMIE HIZI ROUTERS? Faida ya hizi unaweza kufanya management ukiwa popote na simu yako. Hata kwa kutumia bando la kawaida. Zina band 2 zote yani 2.4Ghz na 5Ghz wazee wa streaming na gamers hapo penyewe. Zilizoponi AC11 ambayo ni 140,000 Na...
  5. G

    Nawezaje kutumia line inayotumika kwenye router ya unlimited internet kwenye simu au pocket router?

    Hizi router zimekuwa mzigo kubeba, nimemiss kutembea na pocket router inayobebeka mfukoni Mwanzoni nilidhani line imefungiwa kusoma kwenye imei moja tu lakini nimetest kwenye router kama yangu ya mtu mwengine inakubali. Nimetesti kwenye pocket router matoleo mawili tofauti, mtandao unaofanana...
  6. G

    Wataalam, Nahitaji uhakika wa umeme kwa vifaa vidogo kama laptop, simu, router, n.k. ikiwa kuna mgao wa siku 2, Je itanigharimu kiasi gani ?

    Inatokea Tanesco wamekata umeme kwa siku 2 Nahitaji vitu gani mfano battery au power bank,n.k. niweze kukidhi mahitaji ya umeme kwa siku 2 kwa vifaa vidogo kama Smart phone 4 zinazochajiwa mara 2 kwa siku, hutumia lisaa kujaa Router 1 inayotakiwa iwe kwenye umeme muda wote Laptop 1 ya Dell
  7. A

    INAUZWA D-link router 4G unlocked

    Router inatumia sim card zote Ipo Kiseke B Mwanza Bei: 70,000 0778002502
  8. Mwanadiplomasia Mahiri

    Nataka kununua router ya Airtel ila mitandaoni malalamiko ni mengi kuhusiana na network yao, naombeni ushauri

    Nataka kununua router ya Airtel ila mitandaoni naona kelele ni nyingi juu ya malalamiko kuhusiana na internet kuwa slow. Nilipo hapa natumia bando la kawaida la Airtel na liko poa. Naombeni ushauri kuhusu hizo router zinafaa au hazifai kabla sijaingia mkenge! NB Matumizi yangu ni ya kawaida...
  9. Optimistic_

    Kwa Tsh 350,000 tu, unapata router mpya ya 5G kutoka Tigo

    Pata Router ya 5G kutoka Tigo – Furahia Internet ya Kasi Bila Kikomo! Kwa Tsh 350,000 tu, unapata router mpya ya 5G kutoka Tigo na mwezi mmoja wa intaneti bila malipo! Hii ni nafasi ya kipekee ya kuunganisha familia na marafiki, kufurahia video za ubora wa juu, na kuvinjari bila kukwama. ✅...
  10. NyegereBOY

    Tengeneza hadi 50,000/= kwa siku kwa kufanya biashara ya kuuza internet kupitia WiFi kwenye maeneo yenye mkusanyiko

    Habari wanajanvi Naomba niwapeleke Moja Kwa Moja kwenye lengo husika kama kichwa kinavyosema. Kuna hii fursa ambayo sisi tumeona tuiite fursa mpya kutokana na uhitaji mkubwa ulionao na upatikanaji wake mdogo. Baada ya kufanya tafiti na kutenga muda mrefu wa kujifunza kuhusu uwekezaji au...
  11. Jay_255

    Nauza Powerbank ya Airtel 5g Router

    Inakaa masaa 8 ukiichaji full. Haijatumika sanaa maana muda wote router inatumika kwenye umeme.. Mara chache umeme ulipokatika ndio ilitumika. bei 20,000 0711707070
  12. Alex Hamadi Hamis

    Nauza Airtel 5G SmartBox Router

    Nimetumia miezi miwili tu Iko full box Bei: 17,5000/- TZS nimenunua 270,000/- TZS +255676095799
  13. run CMD

    Nauza Universal wifi router zinafanya kazi na laini ya mtandao wote Ule

    Hi Ni router za ukweli sana hauhitaji router ya kila kampuni insupport mtandao wowote ule online kama unapata si chini ya 200,000 hata kwenye soko la china.. Mimi nauza nusu bei yaani 120,000 pekee mpya kabisa kuanzia mbili kuna discount. Tupo Dar, Arusha na Nairobi
  14. Mshamba wa kusini

    Airtel mnatapeli wateja wenu wa router

    Mwezi uliopita nilienda Airtel shop kununua router kwa ajili ya internet. Nilipewa options mbili nipewe router bure na niwe nalipia kifurushi 110,000 kila mwezi au ninunue router 200,000 alafu niwe nalipia kifurushi 70,000 kila mwezi. Mi nikalipa 200,000 na kifurushi cha 70,000 kwa mwezi wa...
  15. G

    Msaada: nahitaji router ya kuweza kuwabana watumiaji kwenye speed na MB.

    Speed - niweze kuseti speed ya juu kwa kila mtumiaji, mfano asivuke speed ya kudonload MB 1 kwa dakika MB - iwe kama tunavyonunua mabando ya MB kwenye mitandao ya simu, ukimaliza MB connection inakata.
  16. B

    Jipatie Universal 4G LTE MiFi router

    Heshima yenu wana Jamvi. Ninauza Universal 4G LTE MiFi router(router ya 4G inayoingiza line mtandao wowote. Router hii ina sifa zifuatazo Inaingiza line zote Inaruhusu 3G au 4G kulingana na eneo ulipo Speed mpaka 150Mbps Betri yenye uwezo 30000mAh, betri masaa mpaka 10 Inaweza kuunganisha...
  17. The bump

    Maoni yangu: Usiingie mkenge wa router za 5G za mitandao ya simu

    Mimi ni mtumiaji wa 5G router zote Airtel,voda na Tigo. Ukweli katika hizi router 3 mitandao ya ukweli ambayo naweza mshauri mtu atumie ni miwili tu. Airtel na Vodacom. Tigo ni wezi sio unlimited wanakupa unlimited kwa speed uliyolipia kisha wakiona unakamua kweli kweli bando kwa limit...
  18. lucky_boy

    Router za 5g postpaid ni mkenge au kuna faida?

    Wakuu naomba kujua kama mada inavojieleza, sitaki kuingia mkenge natamani sana kununua router hii ya 5G inayotangazwa sana mitandaoni. Nimeshaongea na baadhi ya wafanya biashara hiyo sijaridhika, sasa nataka kupata neno kwa aliyebahatika kuzitumia. Ni kwa matumizi binafsi lakini hapo mbeleni...
  19. Mkyamise

    Natafuta router ya mtandao wa Halotel au Universal router

    Habari za leo waungwana. Natafuta router ndogo ya mtandao wa Halotel au Universal router. Ninapatikana Mwanza. Kwa maelezo zaidi na bei tuwasiliane 0623304519.
  20. Optimistic_

    Router za 4G au 5G kutoka Tigo Tanzania, ni buure router

    Wakuu 1. Router ni bure 2. Router ni ya 5G 3. Tunakuletea popote 4. Vifurushi ni unlimited 5. Ina connect watu 65 at once umbali wa metre 100 Nini cha kufanya uwe na vifuatavyo Kama ni mtu binafsi 1. Tin certificate 2. Nida ID 3. Pesa ya kifurushi Kama ni taasisi au kampuni uwe na 1. Nida...
Back
Top Bottom