Habari wakuu,
Wiki chache nyuma nilikuja jukwaani kuomba msaada wa jinsi ku block users amabo wanapata access ya password,
Baada ya kuitumia Router ya Airtel kwa kipindi kirefu sasa imeanza kunipa kuchangamoto kadhaa ikiwepo kupungua kwa kasi ya internet nimechoka kuvumilia ikumbukwe nalipia...
Habari zenu wakuu. Nimechoka kununua GB 1 kwa Tsh 2,100 kila siku ambalo halimalizi hata kipindi cha lisaa limoja na nusu YouTube. Nimefikia maamuzi ya kununua Router
Nina Smart TV yenye kuingia YouTube, simu janja ya kwangu, mke na wanandugu watatu (Simu 5). Pia Computer, CPU mbili kwa ajili...
Habari wakuu,
Nimenunua Router ya airtel 5G (smart box), nimejiunga kifurushi cha unlimited cha 110,000/- kwa mwezi, nimepata changamoto ambayo hata airtel wenyewe wameshindwa kunisaidia.
Nimeona kuna tatizo kwenye kifaa chao mfano nilimuunga rafiki yangu kwenye simu yake ya Samsung s20...
router za dukani ni gharama kubwa sana almost laki na kitu.
Router za mitandao ya simu huwa wanauza kwa hasara ama bila faida wanategemea mteja utafidia kwenye vifurushi.
Ni mtandao upi wa simu kwenye maduka yao wana router za huawei ?
Nimechagua huawei sababu kuna features nyingi na support...
Hapo zamani mitandao ilileta routers na modem za kampuni maarufu kama Huawei na zote,
Ma IT na mafundi wengi waliweza kuzifungua kwasababu wazungu, wachina, wahindi, waarabu, n.k. walikuwa wanaumiza vichwa kubuni mbinu za kuzifungua, mafundi wetu walikuwa wanafuata maelekezo, modem na router...
Ni vitu gani nizingatie nikiwa nanunua router kwa ajili ya matumizi ya ofisi kwa wastani wa watumiaji 300?
Naomba msaada ni jinsi gani naweza kuziona hizo specification.
Jipatie router kwa matumizi ya ofsin nyumbani na hata kwenye biashara yako, ambayo utapatiwa bure na utalipia laki moja kila mwezi kwa maps 20,na kuendelea hii kwa walioko dsm tu kwa mawasiliano nipgie 0672696527
Habari wana-JF, naomba kujua bei elekezi kwa 4G router ya Vodacom inayoweza ku-connect devices 5.
Nimeona vifurushi vyao bei iko juu kushinda Airtel ila wateja wengi wanalamikia mtandao wa Airtel. Je, ni ipi bora kuchukua kati ya Vodacom au Airtel?
wakuu kwema
hapa nina changamoto moja hivi nahitaji home internet ila option yangu ni kati ya vodacom na airtel
ambayo wote wana vifurushi vya unlimited kwa mwezi vya 5G
wakuu naombeni msaada nichukue ipi kati ya hizi
naishi Tabata segerea.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.