Habari zenu wakuu. Nimechoka kununua GB 1 kwa Tsh 2,100 kila siku ambalo halimalizi hata kipindi cha lisaa limoja na nusu YouTube. Nimefikia maamuzi ya kununua Router
Nina Smart TV yenye kuingia YouTube, simu janja ya kwangu, mke na wanandugu watatu (Simu 5). Pia Computer, CPU mbili kwa ajili...