Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ndugu Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni nyota wa filamu ya Tanzania The Royal Tour ameahidi kuja na filamu nyingine itakayoitwa The Hidden Tanzania.
Rais Samia amesema filamu hiyo italenga kuonesha vivutio ambavyo havikuonekana katika filamu yakwanza...
SHAKA ANENA RAIS SAMIA AMEWASHA KIBIRITI KWENYE NYASI KAVU KUIBUA FIKRA KWA TAIFA JINSI YA KUIMARISHA UTALII, KUKUZA UCHUMI NA HISTORIA YA NCHI.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amewataka viongozi wa chama na serikali kuwashirikisha...
Filamu ya Tanzania Royal Tour, imeelezwa kuchangia kupandisha thamani ya madini ya Tanzanite.
Bei ya madini ya Tanzanite na uhitaji wa madini hayo umeongezeka maradufu baada ya filamu ya Royal Tour kumuonyesha Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye machimbo ya madini hayo.
Katika sehemu ya...
Kundi la Watalii zaidi ya 60 linalojumuisha Madaktari na Wanasheria kutoka Nchini Marekani leo tarehe 26 Julai 2022,wamewasili eneo la Hifadhi ya Ngorongoro kwa ajili ya kutembelea Vivutio mbalimbali vilivyoko katika hifadhi hiyo.
Wageni hao ambao wanaendelea kutembelea vivutio mbalimbali vya...
Kwakweli binafsi nashukuru sana kwa nyiongeza nono ya 25,000/= (kabla ya makato) nadhani haya ni baadhi tu ya matunda ya filamu yetu.
Nasema ni matunda maana filamu imemtengeneza msanii kweli kweli na sanaa hiyo aliitumia katika hotuba ya mei mosi na sasa tumeshuhudia na kudhihirisha bila shaka...
Steringi wa hii filamu alitwambia kuwa punde baada ya uzinduzi tutashuhudia faida mara 7000 ya gharama zilizo tumika kwenye maandalizi yake.
Matokeo yake tunaona mfumuko wa bei ukiongezeka, mwezi wa 7 tarehe 1 tumetangaziwa tozo mpya ya serikali kwenye miamala ya bank itaanza na tayari wafanya...
Habari za wasaa wakuu.
Wakuu leo nilikuwa natafakari mwendo wa Uchumi wetu katika nyanja hizi mbili ila nikaona niwashirikishe wadau wa JF nione maoni yao .
Ila kwanza nianze na tafakari zangu binafsi kwa pande zote .
1.The Royal tour inamchango mkubwa kwasababu nchi yetu bado Uchumi wake uko...
Tusidanganyike kirahisi wakuu, Kuna watu maarufu sana duniani kama David Beckham na mke wake walisha wahi kuja kula good time hapa nchini na wakazungukia vivutio vyetu miaka ya nyuma.
Pia kuna ma Rais wastaafu wa nchi kubwa kama US wamewahi kuja kula good time na kusepa, wasanii pia wamekuja...
Baada ya uzinduzi wa Filamu ya The Royal Tour, watalii na wawekezaji katika sekta ya utalii wameongezeka kwa mujibu wa hoteli za kitalii Dar es Salaam ongezeko la wageni limefika asilimia 280 na Arusha asilimia 340.
Kwa upande wa viwanja vya ndege miruko imeongezeka ikiwamo ndege zinazoingia...
Royal tour ebu tuendelee kuitangaza sio kwa ufupi namna ile hii twende nayo kila kona haya mabasi mwendokasi na ikiwezekana hata baadhi ya majengo ya ofisi yawepo matangazo ambayo yatakuwa endelevu
Royal Tour itatupa faida gani ile movie ya kazi gani? Haya ndiyo maneno yaliyojaa kinywani kwa wanaharakati wa Tanzanaia kujaribu kufifisha Juhudi za Rais Samia suluhu Hassan.
Sisi tuliozaliwa kwenye mazingira ya utalii tuliona na kufahamu kuwa sekta ya utalii ililala usingizi wa pono.
Moja...
Raia wa Uholanzi zaidi ya 40 wameanzisha mbio za baiskeli kuzunguka mlima Kilimanjaro kilometa 400 kwa ajili ya kuchangisha fedha kusaidia sekta ya afya nchini.
Mbio hizo za baiskeli zijulikanazo kwa jina la ‘Africa Classic’ zimeratibiwa na Shirika la Amref Netherlands kwa kushirikiana na Amref...
Tatizo la Loliondo linatakiwa kazi Sana kujisafisha maana hata vyombo vya nje vimesharipoti kuhusu vurugu kwa wamasai na dunia inajua Mmsai naye ni sehemu ya adventure, yaani ukimuungalia tu utali tosha sasa unamtoaje Mmsai ni bora kumuhamisha twiga Mmsai abaki, tutegemee hapo watalii...
Salaam Wakuu,
Wale Wazungu waliotegemewa kuja Tanzania baada ya Movie ya Royal Tour, wamepinga Kitendo cha Wamasai kuhamishwa kwani Ngorongoro ni ardhi yao.
Kama mnavyojua, Peter alitembezwa kwenye maboma ya Wamasai Ngorongoro.
Nasisitiza, kama kuna Mwarabu anataka kuwekeza Loliondo, aambiwe...
Naendelea kuwasalimia kwa jina la Muungano wa Tanzania.
Hapo awali nilikuwa nikijua Watanzania pekee ndio tunaoona juhudi hizi za makusudi za mama yetu Samia Saluhu Hasani za kuleta maendeleo kwa njia mbalimbali katika nchi yetu.
Jitihada za mama sio tu zinakoshwa na upinzani bali hadi watu wa...
"Ni Matunda ya filamu ya royal tour ndani ya Miezi miwili pekee tu! Watalii wafurika Tanzania".
Ikiwa ni baada ya Miezi miwili tu tangu filamu maalumu ya royal tour iliyomuhusisha rais was jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kutambulishwa rasimi nchini marekani na baadae...
#HABARI MANISPAA ya Kinondoni imesema imejipanga kuhakikisha eneo la ‘Coco Beach’ linakuwa la uwekezaji, kivutio na utunzaji wa mazingira.
=======
Ofisa Elimu Manispaa hiyo, Theresia Kyara, alieleza mikakati hiyo jana mkoani Dar es Salaam, wakati wa upandaji wa miti uliofanywa na kampuni...
Wakuu,
Nimeshindwa kuelewa wanaomuona Mwenda zake Magufuli eti alikuwa Mbunifu.
Ilikuaje akashindwa Kubuni na kutengeneza Vitu vya Maana kama Royal Tour? Rafiki yake Kagame alitengeneza yeye akawa anasema Matajiri nataka waishi kama Mashetani.
Hivi kutengeneza Royal Tour kwa Manuu ya au...
Kama wanavyosema watu kwamba ujinga ni mtaji mkubwa sana wa Wanasiasa hasa wa Africa na zaidi Tanzania. Ukizingatia kwamba ujinga bado ni tatizo kubwa sana kwa Tanzania, wanasiasa wanachofanya ni ku'capitalize' kwenye ujinga wa Watanzania.
Mtu akishakujua wewe ni mjinga maana yake hata akiamua...
Anasimama mbunge bila hata aibu anasema sasa Mahotel ya Dar es salaam yamejaa watalii sababu ya Royal tour. Ni aibu kabisa kuwa na mbnge kama huyu naona aibu hata kumtaja.
Mwingine bila hata aibu anasema Royal tour imeibua fursa mpya kwa wananchi wa Tanzania kuanzia kusini mpaka Kaskazini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.