Serikali imeanzisha Rapid Results Initiative (RRI) ya miezi 3 katika Ukanda wa Magharibi, yaani, Western Kenya, ikiwa na lengo la kuharakisha hatua dhidi ya ongezeko la matukio ya unyanyasaji wa kijinsia (GBV) na mauaji ya wanawake (femicide).
Mpango huo umeanzishwa na 'State Department for...