Ruangwa is one of the five districts of the Lindi Region of Tanzania. It is bordered to the north by the Liwale District, to the south by the Nachingwea District and to the west by the Morogoro Region.
According to the 2002 Tanzania National Census, the population of the Ruangwa District was 1,204,516.
Wana JF Heshima kwenu.
Za kutoka jikoni kwa walio Karibu na "Mjomba" wanaeleza wazi kuwa bwana Mkubwa baada ya kuona upepo namna unavyokwenda, aneonesha nia ya kutogombea Tena Jimbo la Ruangwa.
Japokuwa watu Bado wanakumbuka kuwa alitamka siku ya "Ruangwa Marathon" mwaka wa jana,kuwa...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Wananchi wa Ruangwa ni miongoni wa Tanzania walifanikiwa kuifuatilia Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia suluhu Hassan.
Asikuambie mtu Ruangwa kuna joto. Nimefuatilia hali ya hewa maeneo mengi yenye joto Tanzania hii yani Tanga, Dar, Lindi mjini, Mtwara, Dodoma, Singida, Zanzibar, Tabora kwa wiki hii sijaona sehemu yenye joto kushinda Ruangwa (Ruangwa mjini, Lindi Tanzania)
Jana mchana temperature ilifika 37°C...
Nimeona matamasha na marathons nyingi zikifanyika kwenye majimbo na mikoa walipotokea viongozi wakubwa wa nchi hii.
Mfano ni Tamasha la Kizimkazi lililomalizika hivi majuzi na lilifanyika kijijini alipotokea Rais Samia. Pia hivi majuzi tulishuhudia Tulia Marathon huko Mbeya alipotokea Spika...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameutaka Wakala wa Barabara (TANROADS) Mkoa wa Lindi kuhakikisha wanamsimamia Mkandarasi wa Kampuni ya China Railway 15 Bureau Group anayejenga barabara ya Nanganga – Ruangwa (km 53.2) kwa kiwango cha lami, kuelekeza nguvu katika ujenzi wa Daraja la Lukuledi...
Kampuni ya mitaji ya Singapore, PAY imetoa dola za kimarekani milioni 320 kwa mradi wa Graphite mkoani Ruangwa unaotekelezwa na Magnis.
Kampuni ya Magnis Energy kupitia kampuni yake tanzu nchini, Uranex Tanzania Limited inamiliki mradi wa Nachu Graphite uliopo Ruangwa mkoani Lindi.
Kampuni ya...
AWESO AELEKEZA MKANDARASI ENEO LA CHANZO CHA MAJI RUANGWA KURIPOTI KAZINI, ARIDHISHWA NA UJENZI WA TENKI
Waziri wa Maji Mhe.Jumaa Aweso ametembelea na Kukagua ujenzi wa Mradi wa Maji wa vijiji 34 vya wilaya ya Ruangwa na Vijiji 21 vya Wilaya ya Nachingwea kutoka Chanzo cha mto Nyangao.
Aidha...
Kwa Mujibu wa Kinana na Majaliwa mwaka 2025 CCM itatoa fomu Moja tuu ya mgombea Urais Kwa sababu ni utamaduni wa ccm mgombea Rais lazima aendelee kuwa mgombea Kwa awamu ya Pili.
My Take
Utaratibu wa fomu Moja alianzisha Mwendazake
=======
Mbunge wa Ruangwa (CCM), Kassim Majaliwa amesema...
Habari wakuu,
Nimepata link ya jamaa wa Mtwara anadai korosho zinanunuliwa 1000 kwa wakulima na kwenda kuuzwa 1900 kwenye maghala.
Hii ni Fursa wakuu natafuta muwekezaji mmoja tu chapchap tujiridhishe na hizi details tukapige hela.
Karibuni kwenye mjadala
Cc. Sir midwabada
Rais Samia Suluhu amesema amekuta Ruangwa hali ni tofauti na maeneo mengine ambapo kote alikopita amepokea changamoto nyingi za kwenda kufanyia kazi, lakini Ruangwa wamemwambia hawana changamoto yoyote, Ruangwa wametaja mazuri waliyofanyiwa na Serikali. Rais Samia amewapongeza mkoa wa Lindi na...
Jana 17/9/2023 Rais Samia alivyofika Ruangwa baadhi ya wanawake walimpokea kwa kugaladala chini, wakisema hawakutegemea kama Rais Samia anaweza kufika Ruangwa na kwamba wanashukuru sana.
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameshiriki katika mbio za Ruangwa Marathon ambazo ziliongozwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Septemba 9, 2023 Mkoani Lindi.
Akizungumza baada ya kumalizika kwa Marathon hiyo Waziri Mkuu Mhe...
Joseph Panga (1:04:12) na Jackline Sakilu (1:12:08) Washinda Mbio za Ruangwa Half Marathon 2023.
Huku nafasi ya Pili ikienda kwa Hamis Athumani kwa muda wa ( 1:04:15) na nafasi ya tatu ni Nestory Stephen ( 1:04:39) kwa upande wa wanaume.
Kwa upande wa wanawake kwa kilomita 21 , nafasi ya pili...
Raia mmoja ambaye hajatambulika kwa haraka amekutwa amekufa kwa kuuliwa na kuchomwa moto hadi kufa. Kwa mujibu wa mtoa taarifa hii, tukio hili limetokea kijiji cha Luchelegwa Ruangwa Lindi njia inayoelekea Nachingwea kuna mwizi ameuawa na kuchomwa moto na wananchi wenye hasira kali usiku wa...
Mechi ni saa 1 usiku
Kuna mabadiliko makubwa kwenye kikosi cha leo na kile cha mwisho kilichocheza kule Morroco
Pamoja na hoja ya kuwapumzisha wachezaji lakini mtu kama Moses Phiri kukosekana hata benchi kunaongeza maswali.
Kibu D naye mechi hii kaikosa.
LIGI KUU: SIMBA YASHIKWA, YAZUIWA...
Waziri Mkuu Majaliwa hana tofauti kubwa na marehemu Magufuli kila mara yuko nyumbani kwao Ruangwa na ni kupeleka miradi kila baada ya miezi kadhaa.
Hajui yeye ni Waziri Mkuu wa nchi nzima? Leo ametoa mikopo Milioni 256, hii hela ni nyingi sana kwa wilaya moja.
Bado nradi wa maji sijui...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye kijiji cha Nandagala wilayani Ruangwa, Mkoa wa Lindi, leo Jumanne.
Amewasisitiza waendelee kuchukua tahadhari na kujikinga na corona.
Source : Mwanahalisi twitter
======
My take
Imagine waziri mkuu wa nchi anakusanya watu...
Hilo ndilo jimbo ambalo anatokea Waziri Mkuu wa Tanzania Mh Kasimu Majaliwa , kwenye kilichoitwa uchaguzi Mkuu wa 2020 Mh huyu alipita bila kupingwa, baada ya wagombea wa upinzani kuzuiwa kuchukua ama kurejesha fomu , huku wengine wakitekwa na kuokotwa Mkuranga wakiwa hoi.
Video hii ya Mapokezi...
Habarini. Kama kuna yoyote ana mdada wa kazi anayemjua anatafuta kazi anicheki PM.
Anahitajika kwenda kufanya kazi Ruangwa, Lindi. Muhitaji ni mwanamama mtu mzima mtumishi wa serikalini. Hana mtoto wala familia. Watakua ni wao pekee wawili.
wenzetu wa CCM wanasema kuisha kwa uchaguzi ni mwanzo wa chaguzi nyingine.
Ila kuelekea 2025 namuona mheshimiwa Majaliwa akikitwaa kijiti cha kuiongoza nchi kutoka kwa rais Magufuli.
Namuona ndugu yangu Bernard Membe akirudi nyumbani CCM.
Naliona anguko la CHADEMA na kuibuka kwa ACT kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.