ruangwa

Ruangwa is one of the five districts of the Lindi Region of Tanzania. It is bordered to the north by the Liwale District, to the south by the Nachingwea District and to the west by the Morogoro Region.
According to the 2002 Tanzania National Census, the population of the Ruangwa District was 1,204,516.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    Uchaguzi 2020 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa apita bila kupingwa jimbo la Ruangwa. Akabidhiwa barua na Msimamizi wa Uchaguzi

    Waziri Mkuu na Mgombea Ubunge wa CCM Jimbo la Ruangwa Ndg Kassim Majaliwa akabidhiwa barua ya kupita bila kupingwa jimbo la Ruangwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa, Frank Chonya ambaye ni Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Ruangwa, Leo Agosti 25,2020.
  2. B

    Polisi wakanusha kutekwa kwa Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Ruangwa

    POLISI WAKANUSHA KUTEKWA KWA KATIBU WA CHADEMA WILAYA YA RUANGWA Lakamata vijana watatu wakiwa na nondo ziliviringishiwa bendera za ACT WAZALENDO Jeshi la Polisi Mkoa wa Lindi limekanusha taarifa zilizosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa Katibu wa CHADEMA wa Wilaya ya Ruangwa, Bw. Claudio...
  3. ACT Wazalendo

    Uchaguzi 2020 ACT Wazalendo: Mgombea Ubunge wetu jimbo la Ruangwa avamiwa na kutekwa akiwa nyumbani kwake. Apatikana akiwa ametupwa porini Mkuranga

    UTEKAJI UMERUDI NCHINI TAARIFA KWA UMMA TUMECHOSHWA NA UNYAMA HUU Chama cha ACT-Wazalendo kimepokea kwa mshutuko taarifa za kuvamiwa, kutekwa akiwa nyumbani kwake na baadaye kupelekwa kusikojulikana mwanachama wetu, Joackim Gerion Ng’ombo na watu ambao hawajafahamika. Ng’ombo ambaye alishika...
  4. Malick M. Malick

    Uchaguzi 2020 Jimbo la Ruangwa tumuache Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa apite bila kupingwa

    Wana Lindi wenzangu habari Leo nimependa niwakumbushe wakati tunaenda katika uchaguzi mkuu , Nina waomba Wana Lindi bila kujali ITIKADI, Jimbo la Ruangwa tumuache waziri mkuu ,mhe KASIMU MAJALIWA apite bila kupingwa ,ni heshima Kwa mikoa yetu ya kusini, Sisi sio wa Kwanza kufanya hivyoo Mikoa...
  5. Erythrocyte

    Uchumi wa Kati: Waziri Mkuu akisalimiana na bibi Asumin Milanzi huko Ruangwa

    Waziri Mkuu Mh Kasim Majaliwa alikuwa kwenye ukaguzi wa mradi wa kisasa wa kilimo cha mboga mboga. Hawa ndio Watanzania wa uchumi wa kati. Pichani akisalimiana na bibi Asumini ambaye ni mpiga kura wa Ruangwa.
  6. YEHODAYA

    Uchaguzi 2020 Wanachama 2,565 wajitokeza kumdhamini Dkt. Magufuli Ruangwa

    WANACHAMA 2,565 WAJITOKEZA KUMDHAMINI DKT. MAGUFULI RUANGWA Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishuhudia wakati mwanachama wa CCM, Jacob Masumbuko alipotia saini fomu ya kumdhamini, Rais Dkt. John Pombe Magufuli ili aweze kuteuliwa kuteuliwa tena kugombea urais. Zoezi hilo lilifanyika kwenye...
  7. Suley2019

    Ruangwa, Lindi: Wagombea wote wa vyama vya upinzani wameondolewa

    Pia taarifa kutoka Liwale Mkoa huo huo wa Lindi viongozi wote wa upinzani wanatafutwa na vyombo wa dola
  8. Stuxnet

    Nini kilimpata Rais Magufuli akiwa anahutubia Ruangwa?

    Rais Magufuli alipokuwa anahutubia wananchi huko Ruangwa kwenye kijiji fulani juu ya gari, mara moshi ukaanza kufuka. Na hapo hapo akakatisha hotuba. Angalia video hapo chini.
Back
Top Bottom