Asikuambie mtu Ruangwa kuna joto. Nimefuatilia hali ya hewa maeneo mengi yenye joto Tanzania hii yani Tanga, Dar, Lindi mjini, Mtwara, Dodoma, Singida, Zanzibar, Tabora kwa wiki hii sijaona sehemu yenye joto kushinda Ruangwa (Ruangwa mjini, Lindi Tanzania)
Jana mchana temperature ilifika 37°C...