Mwanamke anayefahamika kwa jina la Terry Bukuku, kupitia video inayosambaa kwenye mtandao wa TikTok, ameomba msamaha kwa aliyekuwa mume wake, Juma maarufu kama Baba Ivone, huku akieleza kuwa anatamani warudiane na kuendelea kulea watoto wao watano.
Katika ujumbe wake, Terry amekiri kuwa kiburi...