rufiji

The Rufiji are an ethnic and linguistic group based in the central coast of Tanzania, near the Rufiji River. In 1987 the Rufiji population was estimated to number 200,000 [1].

View More On Wikipedia.org
  1. Serikali yatoa ufafanuzi kuhusu Tanzania kupanga kununua umeme nchini Ethiopia

    Naam kama kawa kama dawa, Wazee WA UFAFANUZI wameshatoa UFAFANUZI kuwa umbali wa kutoka Ethiopia Hadi Same ni mfupi kuliko Mwalimu Nyerere Hydro Power pale Rufiji Hadi Same Soma Pia: Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini
  2. Ronald De La Bere Barker 1889-1965. Mzungu aliyeishi kwenye mapori ya mto Rufiji.

    Simulizi hizi unaweza kuzisoma Bure ndani ya app ya Maktaba Sauti. Ipo Playstore. Huyu mzungu alizaliwa huko New Zealand. Baadaye akaja kuishi kwenye mapori ya mto Rufiji akiwa muwindaji. Majina yake mengine ni Mzee Rufiji au Mtawa maporini. Aliandika vitabu vinne vya kuchekesha sana juu ya...
  3. Pre GE2025 CCM Rufiji kumpitisha Mchengerwa mgombea pekee

    Wakuu Katibu wa CCM Wilaya ya Rufiji Prudence Sempa amesema atalifanyia kazi Ombi la Mwenyekiti wa Halmashauri ya Rufiji la kuwataka kumpitisha Mbunge Mohamed Mchengerwa kuwa Mgombea pekee wa Ubunge kupitia CCM. Bw. Sempa alitoa kauli hiyo baada ya Mwenyekiti wa Halmashauri ya Rufiji Abdul...
  4. Rufiji inastahili kuwa Mkoa

    Rufiji inafaa sasa kuwa Mkoa kamili. Ili kumpelekea mwananchi maendeleo. Kaskazini mtusubiri Kwanza. **Rufiji ndipo alipotokea Mpigania Uhuru maarufu nchini Mheshimiwa [Bibi Titi Mohammed] MAKAO MAKUU: Ikwiriri, Wilaya: 1. Mkuranga, 2. Rufiji, 3. Mafia, 4. Kilwa, 5. Kibiti.
  5. Naibu Waziri Katimba: Rufiji Imepata Mafanikio Makubwa

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amepongeza jitihada za maendeleo zinazofanywa na serikali ya awamu ya sita chini ya uongozi wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika sekta ya Elimu,Afya na miundombinu ya Barabara za Mijini na...
  6. Rufiji: Wawili wakamatwa na Shehena ya Kopa Tani 7.7 waya za kopa Kilo 2,628.5 7.7 za TRC na TANESCO

    Baada ya kutoa taarifa Desemba 12, 2024 ya kukamatwa kwa watuhumiwa wawili wenye asili ya Asia katika operesheni iliyofanyika katika Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Kipolisi Rufiji wakiwa na nyaya za copper ambazo zilitambuliwa kuhujumiwa kutoka miundombinu ya TANESCO na Shirika la Reli Tanzania...
  7. Rufiji FM Kipindi Maalum Bibi TITI Mohamed

    https://youtu.be/MKE0ogAnTNk?si=cFfZRgBGJ1CZOah4
  8. Rufiji na Geita zapandishwa Hadhi ,Maendeleo hayana Chama

    RAIS SAMIA AZIPANDISHA HADHI RUFIJI NA GEITA. Na Malick Maliki, Chamwino Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameipandisha hadhi Halmashauri ya Wilaya ya...
  9. Rais Samia aipandisha hadhi wilaya Rufiji kwenda kwenye hatua ya kuwa Mji

    Wakuu, Rais Samia Suluhu Hassan siku ya leo ameidhinisha kupandishwa hadhi kwa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji kuwa Halmashauri ya Mji, na Halmashauri ya Mji wa Geita kuwa Manispaa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa, alitoa...
  10. Mohammed Mchengerwa: Rais Samia Ameipandisha Hadhi Geita kuwa Manispaa na Rufiji kuwa Halmashauri ya Mji

    Hayo ndio maelezo ya Waziri wa Tamisemi bwana Mohammed Mchengerwa akirejea maamuzi ya Rais Samia. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameipandisha hadhi...
  11. Pre GE2025 Mchengerwa kutoa Milioni 60 kwa ajiri ya ujenzi wa Studio ya Muziki! Wana Rufiji hiki ndicho mmemuagiza mbunge wenu awaletee?

    Wakuu, Hivi Rufiji kuna wasanii wengi eeeh kiasi kwamba demand ni kubwa sana? Wanarufiji mambo yote safi mpaka wameomba wajengewe studio🌚 === Waziri wa TAMISEMI na Mbunge wa Jimbo la Rufiji Mohamed Mchengerwa ameahidi kuchangia Milioni 60 kwa ajili ya ujenzi wa Studio ya Muziki kwa ajili ya...
  12. Mchengerwa na bibi Titi feastival Rufiji

    Kwenye vipindi tofauti vya Kitenge WCB na Crow Media leo siku nzima ni matangazo ya tamasha linaloitwa la kumuenzi marehemu bibi Titi Mohamed kesho sasa tujiulize. Bwana waziri ana ukwasi kiasi gani kulipa Wasanii wote waliotajwa wakiwemo Diamond, Harmonize na all the way from DRC Mbilia Bell...
  13. Bashungwa Akagua Ukarabati Hospitali ya Wilaya Utete - Rufiji

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekagua na kuridhishwa na ukarabati wa miundombinu ya Hospitali ya Wilaya Utete, Rufiji inayogharimu Shilingi Milioni 900 ikiwa ni dhamira ya Serikali ya Awamu ya Sita ya kuboresha utoaji wa huduma bora za Afya kwa wananchi. Bashungwa amefanya ukaguzi huo...
  14. Mchengerwa: Rais ameridhia kuipandisha hadhi Rufiji kuwa Halmashauri ya Mji. Soko kubwa na Stendi kuanza kujengwa

    Kwa mujibu wa Waziri wa Tamisemi bwana Mohammed Mchengerwa amenukuliwa akisema kuwa Rais Samia Ameridhia Iliyokuwa Halmashauri ya Rufiji kupewa Hadhi ya Mji ambapo Jengo kubwa la Makao Makuu la zaidi ya Bilioni 10 litajengwa Ikwiriri. Kana kwamba haitoshi,ikumbukwe kwamba Mkuranga imeomba kuwa...
  15. Pre GE2025 Rufiji: Akina mama wagalagala chini kumpokea Mbunge Mchengerwa Ikwiriri

    Hivi ndivyo Mbunge Mohamed Mchengerwa ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, TAMISEMI alivyopokelewa jimboni Rufiji, Ikwiriri na akina Mama kwa kugalagala. Soma Pia: Waziri Jenista Mhagama agalagala chini ikiwa ni ishara ya kumshukuru Rais Samia kwa miradi jimbo kwake Uzi Maalum wa...
  16. B

    Benki ya CDRB yatoa msaada wa mbegu za mahindi kwa waathirika wa mafuriko Rufiji

    Rufiji. Tarehe 29 Mei 2024: Kutokana na mafuriko yaliyotokea katika msimu wa masika mwaka huu, Benki ya CRDB imekabidhi msaada wa mbegu za mahindi zenye thamani ya shilingi milioni 50 kwa wananchi wa Wilaya ya Rufiji mkoani Pwani. Benki ya CRDB imekabidhi kilo 7,148.857 za mbegu za kisasa za...
  17. M

    Kambi ya Chumbi ni hatari Kwa waathirika wa Mafuriko Rufiji

    Nimefika katika kijiji Cha Chumbi kushuhudia athari za mafuriko katika maeneo hayo na namna wananchi wanavyohudumiwa. Nimeangalia mazingira ya walipowekwa ni kama Serikali imefabya kuondoa lawama Kwa kuwa eneo la Kambi Mvua ikinyesha Bado maji yataingia ndani ya Kambi husika Mazingira ya vyoo...
  18. N

    TAWA yafanya msako wa mamba tishio kwa maisha ya binadamu Rufiji

    Katika kuhakikisha usalama wa maisha ya watu wilayani Rufiji, Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania - TAWA imefanya msako wa mamba wanaotajwa kutishia maisha ya watu kutokana na kusogea karibu na makazi ya watu kufuatia kusafirishwa na mikondo ya maji yaliyosababishwa na mafuriko...
  19. Waathirika wa mafuriko Rufiji wapokea msaada kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA)

    Wananchi walioathiriwa na mafuriko wilayani Rufiji wameiona thamani na umuhimu wa uwepo wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania - TAWA baada ya leo Aprili 16, 2024 kupokea misaada mbalimbali kutoka kwa taasisi hiyo yenye thamani ya shillingi millioni 20 ikiwemo tani 6.4 za unga wa...
  20. Kusema Maji ya mafuriko ya Rufiji yatafutiwe njia ya kwenda baharini, si kumtukana Rais. Wananchi wanateseka

    Tunashukuru Serikali ya Tanzania kwa kuyoa Tan 300 za unga, mchele na maharage kwa watu wa Rufiji japo ambazo zimefika na kuonekana kwa macho ni Tan 32. Labda hizo tani nyingine bado zipo njiani. Huko Rufiji Serikali imepeleka tan 100 za maharage, tani 100 za mchele na tani 100 za maharage...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…