The Rufiji are an ethnic and linguistic group based in the central coast of Tanzania, near the Rufiji River. In 1987 the Rufiji population was estimated to number 200,000 [1].
Habari za Leo wanafamilia?
Tunauza Samaki wabichi aina ya Kumba/Sato/Tilapia kutoka Rufiji kwa bei Tsh 10,000/ kwa kilo. Samaki hawa ni wakubwa wa size ya juu na kati ambapo uzito wao huwa gram 200 - 400 kwa samaki mmoja. Tunapokea oda za watu wa majumbani na wa biashara.
Tunapatikana Mnazi...
Habari wakuu.
Hapa nazungumzia ukubwa kwa kiasi cha maji yanayotiririka.
Hadi sasa nilikuwa naamini Rufiji ndiyo mkubwa, sasa nimekutana na takwimu zikisema mtiririko wa mto Rufiji ni kama wastani wa mita za ujazo 413 kwa sekunde. Wakati Ruvuma ni 475.
Sina imani sana na data hizi, kwa...
Job Opportunities At Rufiji District Council
District Council of Rufiji has announced new job opportunities to fill village executive positions. For more information get attached PDF file below
TANGAZO ZA NAFASI ZA KAZI RUFIJI DC 12-07-2021
Kwa kutambua umuhimu wa mradi wa kufua umeme wa Mto rufiji Marais wastaafu na mawaziri wakuu wastaafu wametembelea bwawa la kuzalisha umeme la NYERERE
Hii ni hatua kubwa za kuenzi legacy ya JPM Ndio maana tunasema JPM rest in power
===
Viongozi wakuu wastaafu Rais Ali Hassan Mwinyi na Jakaya...
Blue Action Fund (BAF) Project Lead for Rufiji – Mafia – Kilwa (RUMAKI) Seascape Area
WWF is seeking to hire a BAF Project Lead for WWF Tanzania to provide coastal and marine conservation knowledge and skills with ability for ecological monitoring and data analysis, preparation of scientific...
Habari,
Kumekuwa na tatizo la kukatika katika kwa huduma ya umeme katika Wilaya ya Rufiji hasa Makao makuu ya Wilaya hiyo maarufu kama Utete.
Hili kwakweli limekuwa tatizo la kudumu kwa maana haipiti siku bila umeme kukatika,mfano umeme walikata usiku mzima wa kuamkia jana wakarudisha asubuhi...
Binafsi naona Serikali hii mpaka sasa imeshajiweka katika mazingira magumu yatayopelekea kukubali mashariti magumu kutoka kwa mtu yoyote (wakiwemo wachina) anaetaka kuwekaza fedha zake katika kukamilisha miradi mikubwa ya awamu ya tano kama ule wa Bwawa la Umeme wa mto Rufiji na ule wa ujenzi wa...
Mhandisi Robert Kabudi mwenye miaka 20 ya kusimamia miradi mikubwa ya ujenzi nje ya Tanzania pamoja na wahandisi wengine mahiri wazalendo wapo ktk mradi wa ujenzi wa Bwawa la Umeme la Rufiji linatotegemewa kuzalisha 2115 MW wa umeme Tanzania. Mhandisi Robert anaitaja timu hiyo ya watu 21...
WAZIRI MKUU AFURAHISHWA NA MAENDELEO YA UJENZI WA MRADI WA UMEME MTO RUFIJI:
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kuwa kazi ya Ujenzi wa Mradi wa Kufua Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) wa megawatts 2115 inayofanyika katika eneo la Bonde la Mto Rufiji ni kazi ya uhakika na...
Kampuni ya nchini Misri inayomilikiwa na serikali, Arab Contractors imeshinda tenda ya kubuni/kusanifu na kujenga bwawa la Stiegler's Gorge katika maporomoko ya mto Rufiji.
Baada ya Kampuni hiyo kushinda tenda, Rais wa Misri, Abdel-Fattah al-Sisi amempigia simu Rais Magufuli na kutoa shukrani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.