WILAYA ya Rungwe mkoani Mbeya, imemshukuru Dk. Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kuendelea kufanikisha mapambano dhidi ya vifo vitokanavyo na uzazi pingamizi. Kutokana na maboresho makubwa yaliyofanyika katika Hospitali ya Wilaya ya Rungwe, zaidi ya wanawake 350 wanajifungua wakiwa salama na watoto...