rungwe

Rungwe is a District in Mbeya Region, Tanzania. It is bordered to the north by Mbeya Rural District, to the east by Iringa Region, to the southeast by Kyela District, to the southwest by Ileje District and to the west by Mbeya Urban District.
According to the 2002 Tanzania National Census, the population of Rungwe District was 307,270.The District Commissioner of Rungwe District is Julius Chalya.
Population
The majority of People who are living in the District are Nyakyusa by Tribe.

View More On Wikipedia.org
  1. BigTall

    Rungwe: Madarasa 6 ya Shule ya Msingi yaliyojengwa kwa Milioni 64 yazinduliwa

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu, leo tarehe 07.02.2023 amezindua vyumba sita (06) vya madarasa katika Shule ya Msingi Kinyangwa iliyopo Kijiji cha Katunduru, Kata ya Ilima. Mradi wa ujenzi wa vyumba hivyo umetekelezwa na Kampuni ya Bioland kupitia Mradi wa Cocoa for School kwa gharama ya...
  2. Roving Journalist

    DC aongoza upandaji wa miti 1000 Rungwe ndani ya siku moja, aahidi Mbolea ya Ruzuku kuendelea kusambazwa

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu ameongoza zoezi la Upandaji miti katika Kijiji cha Ijoka, Kata ya Mpombo Halmashauri ya Busokelo ikiwa ni hatua muhimu ya kulinda vyanzo vya maji, kudumisha uoto wa asili, na kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi. Jumla ya miti 1000 imepandwa leo...
  3. BigTall

    DC wa Rungwe, Haniu amuagiza Mkandarasi kufanya kazi usiku na mchana kukamilisha mradi wa maji

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amefanya ziara katika chanzo cha maji Mbaka-Ikama kilichopo Kata ya Itagata Barabara ya Katumba – Mwakaleli. DC Haniu ameuagiza uongozi wa Mamlaka ya Maji Tukuyu Mjini (TUWASA) kuharakisha upanuzi wa chanzo hicho ili kutoa fursa ya kuhudumia zaidi ya...
  4. Roving Journalist

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu afanya ziara Hospitali ya Wilaya Tukuyu

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu akiongozana na Kamati ya Ulinzi na Usalama amefanya ziara fupi tarehe 02.2.2023 katika Hospitali ya Wilaya Tukuyu (Makandana) na kujionesha shughuli za utoaji wa huduma ya matibabu zinavyoendekea sambamba na kuzungumza na wagonjwa. Akiwa katika wodi...
  5. T

    Hashimu Rungwe: Tunamkaribisha sana Mbatia chauma tutamtafutia nafasi ila sio kuja kuwa mwenyekiti

    Akihojiwa na kituo cha tv mheshimiwa Rungwe amesema wanamkaribisha sana Mbatia kwenye chama chao cha chauma na watamtafutia kazi ila asiwe na wazo la kuwa mwenyekiti maana mwenyekiti tayari yupo. Ameenda mbali na kusema kama ni suala la kukaa muda mrefu kwenye uenyekiti wa chama basi yeye...
  6. Idugunde

    Mabaki ya mwanafunzi aliyepotea siku 250 yapatikana huko Rungwe

    Inasikitisha sana ==== Mabaki ya mwili wa mwanafunzi wa kidato cha nne, shule ya sekondari Ikuti Wilaya ya Rungwe Mkoa wa Mbeya, Levis Mwailemele (16) yamepatikana katika pori la msitu Nkisyo. Mwanafunzi huyo alipotea katika mazingira tata, Januari 9, 2022 na mabaki yake yamepatikana...
  7. BestOfMyKind

    Wilaya ya Rungwe, Ijumaa wanafunzi huwa hawarudi nyumbani saa 5 kama mtaala unavyotaka

    Kati ya mambo ya ajabu nchini, ni hili la kutofuatwa mtaala la wilaya ya Rungwe. Yaani wilaya yote imeamua siku ya Ijumaa vipindi vya darasani vitaisha muda wa kawaida ( saa 9 kwa msingi na saa 11 kwa sekondari) Hakuna uhiari wa kuwepo au kutokuwepo shule muda wa swala ya ijumaa, tofauti na...
  8. okiwira

    Hongera sana TAKUKURURU Wilaya ya Rungwe kama ni kweli

    Hamjachukua muda mrefu kuchukua hatua baada ya kusikia malalamiko ya baadhi ya wananchi MBEYA RUNGWE kata ya IKUTI PALE BUTONGA. Walau wenda viongozi wa kata na kijiji IKUTI RUNGWE wataamka na kutambua huu sio wakati wa kutishana bali uwajibikaji. Japo mkimaliza uchunguzi wenu kuna waamuzi...
  9. S

    Hashimu Rungwe: Magufuli alikuwa anaimba viwanda lakini hakujenga hata kimoja

    Amesema anaomba aoneshwe hata kiwanda kimoja kilichojengwa na serikali ya Magufuli. Amesema utawala wake ndiyo umesababisha ukame wa ajira kwa vijana mpk kuibuka kwa panyaroad. Legacy kwisha! Kwisha kabisaaaa! Chanzo: Hashimu Rungwe anahojiwa startv muda huu.
  10. M

    Hashim Rungwe: Kutaja sifa kwa Mwigulu kunaumiza wananchi

    Hashim Rungwe anasema 1. Kuhusu hizi tozo wananchi hawakuulizwa wala kushirikishwa 2. Amesema serikali haibani matumizi, kwa mfano amesema kuwa magari ya vigogo ni bei kubwa, service yanahitaji service kila wakati, huku vigogo wakipewa mafuta bure 3. Anasema Waziri Mwigulu anatafuta sifa...
  11. Erythrocyte

    Rungwe: Wananchi Wahamasishana kuchanga milioni 100 kujenga ofisi ya Kata ya CHADEMA

    Wananchi wa kata ya Ndato wamekubaliana kwa kauli moja bila kujali itikadi zao kuchangia ujenzi wa Jengo hilo la kata la Chadema ambalo ndani yake kumepangwa kuwa na Maktaba ya kusomea wanafunzi wote wa kata hiyo. Diwani mstaafu wa kata hiyo, Mh Paulo Zambi ndiye aliyeandaa harambee hiyo...
  12. Suley2019

    #COVID19 Mzee Hashimu Rungwe aiunga mkono chanjo ya Covid-19. Agusia suala la tozo na katiba mpya

    Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashim Rungwe, amezungumzia mvutano uliojitokeza kati ya Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima, na Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, akimtetea waziri huyo kuwa hahusiki na...
  13. Mtyela Kasanda

    Kuhamishwa kituo Mkurugenzi wa Rungwe ni kwa kushindwa kuwasimamia anaowaongoza

    Tunaoifahamu Halmashauri ya wilaya ya Rungwe tunajua Loema Peter hatoshi kuwa kiongozi. Ilikua ni ajabu kwa yeye kuendelea kuwepo kwenye mkeka baada ya madudu yaliyofanyika kipindi chake. Lakini hayo yamepita, kazi njema katika kituo chako kipya. Kwako Ndugu Mchau, waangalie hao wa chini...
  14. Chorter

    Karibu tufanye biashara ya mazao mbalimbali kutoka Rungwe, Mbeya

    Habari wanna JF. Sisi n wasambazaji wa mazao mbalimbali kwaajili ya biashara sehemu mbalimbali tz bara, tuliamua kufanya hii kazi ili kuwarahisishia wafanya biashara mbalimbali kujipatia mazao wanayoyahitaji kwaajili ya biashara zao yanayopatikana huku RUNGWE mbeya kwagharama nafuu sana tena...
  15. Stephano Mgendanyi

    Waziri Mkuu atembelea shamba na kiwanda cha parachichi Rungwe

    WAZIRI MKUU ATEMBELEA SHAMBA NA KIWANDA CHA PARACHICHI RUNGWE Awahamasisha wananchi waongeze mashamba, parachichi zina faida kubwa. WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametembelea shamba la parachichi na kiwanda cha kuchakata mazao ya parachichi na kuwasisitiza wananchi walime zao hilo kwa kuwa...
  16. S

    Rungwe, Mbeya: Shaka Hamdu Shaka alaani faini kwa wazazi wa wanafunzi wanaopata Mimba

    Na Mwandishi Wetu, Busokelo-Rungwe *Ataka sheria zisimamiwe kuzikomesha Atoa Maelekezo mazito kwa DC wa Rungwe. *Alaani watendaji kuvunja sheria za nchi kwa maslahi yao Chama cha Mapinduzi kimesikitishwa na ongezeko la matatizo ya ujauzito na utoro yaliokithiri kwa wanafunzi wa shule za...
  17. Chorter

    Jifunze kuhusu kilimo cha tangawizi Rungwe

    Habari wana jf, napenda kuwajuza kuhusu kilimo kilicho chukua chat sana na kukua kwa kasi kwa miaka ya karibuni kwa maeneo ya rungwe MBEYA. Kilimo cha tangawizi kimesaidia sana kuboresha maisha ya watu wengi wa Rika tofauti uku kwetu rungwe, lengo la uzi huu ni kwamba saizi ni msimu was kuanza...
Back
Top Bottom